Ni majirani zangu kabsa ntapita hapo kujichukulia kadi yangu,msalimie yule Dada ana dread anaendesha Nissan Patrol kipisi nyeupeMambo yanazidi kuwa moto moto kwa wana cdm ktk kuendelea kujijengea majengo yao ya ofisi na sasa wana singida wamekamilisha ofisi yao.
Aluta kontinyua
View attachment 1087101View attachment 1087102