Siwezi kabisa kukubishia kwa hili, kwa sababu ni kweli tupu unayosema na sote tunaelewa hivyo, haqta CCM wenyewe wanajua ukweli huo.
Lakini sote, pamoja na wewe tunaelewa tunakoelekea kama taifa. Hakuna tena cha hiari/haki. Mtihani mgumu upo hapo.
Iwapo ubunge tu watu wanaondolewa roho (Akwilina), na maskini akina Mbowe na wenzake wanafanyiwa mizwengwe yote ile hadi kubambikiziwa 'uhaini'; sasa sijui matumaini tuyatoe wapi? Mbinu zita'solve' haya? Sitaki unieleze na kutoa siri, lakini ukweli rahisi ni huo. Nataka uujue sote kungali mapema, tusijetukaanza tena wakati huo kutoa visababu, kumbe ukweli ulijulikana toka zamani.
Mku kumbuka Itikadi inamaliza kero zote kwa hiyo wanachema wanaoziishi Itikadi Chadema kikitangazo kuchangia ujenzi za nyumba za chama zitajengwa Nchi nzima bila tatizo lolote Itikadi ndio kila kitu.Hongereni Wapinzani wetu Chadema msikate tamaa kwani wanachama mnao wanaoziishi Itikadi ya Chama chenu.
Hongereni sana
Mku kumbuka Itikadi inamaliza kero zote kwa hiyo wanachema wanaoziishi Itikadi Chadema kikitangazo kuchangia ujenzi za nyumba za chama zitajengwa Nchi nzima bila tatizo lolote Itikadi ndio kila kitu.
Hata chama changu ccm nyumba zote ni wanachama walijenga sio chama kwa hiyo kejeli ktk mambo ya Itikadi hazina nafasi kwenye ujenzi wa chama na kumbuka chadema sio chama cha msimu tena ni chama ambacho kipo ktk ngazi zote kwa hiyo kiko vizuri hakijaamua tuu kuhamasisha wanachama kwa ajili ujenzi .
Mambo yanazidi kuwa moto moto kwa wana cdm ktk kuendelea kujijengea majengo yao ya ofisi na sasa wana singida wamekamilisha ofisi yao.
Aluta kontinyua
View attachment 1087101View attachment 1087102
Hii ni mali ya mtu binafsi bro.
Lazima mnywe kangala kutuliza maumivu
Chama kitoe ramani elekezi. Nimetazama hii na ile ya Musoma, zinaonekana kama guest house.Mambo yanazidi kuwa moto moto kwa wana cdm ktk kuendelea kujijengea majengo yao ya ofisi na sasa wana singida wamekamilisha ofisi yao.
Aluta kontinyua
View attachment 1087101View attachment 1087102
CDM haina maana ni genge tu lililo jificha ndani ya chama cha siasa ili kupiga ruzuku a.k.a kodi za watanzania. Ni adui wa maendeleoIkishakuwa hivyo wewe utafaidika kitu gani maishani mwako?
Au ndiyo itaipandisha thamani sh ya Tanzania dhidi ya dola ya marekani?