habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 456
Cc Ben SaananeIhanja; Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), kimepata pigo
kubwa katika kampeni zake za kutetea kiti cha udiwani wa Kata ya
Iseke, Singida Magharibi, baada ya Katibu wake wa Kata, Francis
Antoni, kujiuzulu juzi na kurejea CCM, kitendo kilichokichanganya kabisa chama hicho.
Pamoja na kurejea CCM, Antoni alimkabidhi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM, Steven Wasira, zaidi ya kadi 350 za Chadema.
Antoni alirejea CCM juzi wakati wa mkutano wa hadhara wa kuzindua
rasmi kampeni za CCM katika kugombea nafasi ya udiwani wa Kata ya
Iseke, wilayani Ikungi.
Aliahidi kumpigia debe mgombe wa CCM Amos Mughenyi, ili aweze kushinda
kwa kishindo.
Alisema badala ya kuhimiza maendeleo Chadema kimejikita zaidi katika kupandikiza chuki, vurugu
na maandamano yasiyokuwa na tija yo yote. Kwa upande wake, Wasira
alisema kila Mtanzania sasa ametambua kuwa Chadema haina sera za
kuwaendeleza watu na badala yake inataka kupandikiza fujo, vurugu,
matusi na uchochezi.
source mkutano wa hadhara kata ya iseke na google group.
Kwa nini tusi hili ukirudi nyumbani ukawaambie na uliowaacha home.Pumbafu
Pamoja na kurejea CCM, Antoni alimkabidhi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Steven Wasira, zaidi ya kadi 350 za Chadema.
waulize viongozi wako, halafu wakikupa jibu rudi tena hapa useme wamesemaje, maana la sivyo wangelala tu usingizi kama lingekuwa genge la wahuni,. pole sana kwa fikra zako za kifarao.Kitambo sana ni
iwaambia kuwa chadema siyo chama cha siasa ni kundi la wajanja tu.
Ihanja; CHADEMA kimepata pigo baada Katibu wake wa Kata, Francis Antoni, kujiuzulu juzi na kurejea CCM, kitendo kilichokichanganya kabisa chama hicho.
Mbona hujajipa like kwa ile ID yako nyingine? PC bado haijapona?Ihanja; Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), kimepata pigo kubwa katika kampeni zake za kutetea kiti cha udiwani wa Kata ya Iseke, Singida Magharibi, baada ya Katibu wake wa Kata, Francis Antoni, kujiuzulu juzi na kurejea CCM, kitendo kilichokichanganya kabisa chama hicho.
Pamoja na kurejea CCM, Antoni alimkabidhi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Steven Wasira, zaidi ya kadi 350 za Chadema. Antoni alirejea CCM juzi wakati wa mkutano wa hadhara wa kuzindua rasmi kampeni za CCM katika kugombea nafasi ya udiwani wa Kata ya
Iseke, wilayani Ikungi. Aliahidi kumpigia debe mgombe wa CCM Amos Mughenyi, ili aweze kushinda kwa kishindo.
Alisema badala ya kuhimiza maendeleo CHADEMA kimejikita zaidi katika kupandikiza chuki, vurugu na maandamano yasiyokuwa na tija yo yote. Kwa upande wake, Wasira alisema kila Mtanzania sasa ametambua kuwa CHADEMA haina sera za kuwaendeleza watu na badala yake inataka kupandikiza fujo, vurugu, matusi na uchochezi.
source mkutano wa hadhara kata ya iseke na google group.
Kachukue buku zako
waulize viongozi wako, halafu wakikupa jibu rudi tena hapa useme wamesemaje, maana la sivyo wangelala tu usingizi kama lingekuwa genge la wahuni,. Pole sana kwa fikra zako za kifarao.
Tatizo lenu maCCM, na nyie maliberali (Lumumba Project) akili zenu hazina akili, CHADEMA hakuna CHEO kama hicho, Katibu kata? Mamburula mwe mnajifikiria kabla ya ku-post
Hakuna Cheo kama hicho Chadema eti katibu kata? Chama Cha Maliberali ndio kuna huu UmburulaEndelea kujifariji lakini ukweli utabaki pale pale wewe endelea kujificha uso wakati mwili wote uko nje
Kwa nini tusi hili ukirudi nyumbani ukawaambie na uliowaacha home.
Hizi kadi ni blank au za wanachama?