CHADEMA SINGIDA magharibi YAPATA PIGO, YAKIMBIWA NA KIONGOZI WAKE

Status
Not open for further replies.
samahani kwa wana singida lakini niseme tu wazi mkoa wenu utaendelea kubaki nyuma kimaendeleo ikiwa mtaandelea kuwa misukule ya ccm, maana mtaji wa ccm ni mkubwa wa cccm ni ujinga wa subjects wake, hivi mna nini cha kujivunia hata mwendelee kuikumbatia ccm hata baada ya miaka 50 ya uduni wa kimaendeleo, wabunge wenu wanaowadanganya eti sgda ni tajiri kwa vile mna kuku wengi wanawadanganya.woke up pepole
mkuu hujakosea, kuna uhusiano mkubwa sana kati ya ccm na umasikini! Mikoa mingi ambayo imekumbatia ccm ni maskini sana,angalia tabora,singida, ruvuma, na hata tanga hali ni mbaya sana!
 
Ubavicha ni ugonjwa kama magonjwa mengine.

...Ndg zangu mbona mnawapa umaarufu zaidi hao BAVICHA, hata kwenu kuna UVCCM kazi yake nini? Hivi mtu akihama CHADEMA au CUF kwenda CCM ni ukombozi kwa jamii wakati amezaliwa na kukikuta hicho chama cha mabavu? Natambua kurudi CCM ni kupalilia tumbo kama alivyofanya huyo Wassira(Homohabilies) kutoka NCCR-Mageuzi kuja hapo CCM na hakuna jambo la ukombozi kwa Jimbo lake la Bunda. Tujitambue.
 
WATU WANAKUFA sembuse kuhama? aende salama huko ccmea. will not be missed
 
Mi nawaambieni kuwa Chamdomo Sgd hakina nafasi tena na Tundu Lissu siku zake zimetimia.Hiki chama Hiki matatizo Tupu na ukitaka kukuamini waulize watu wa jimbo la Lisu hawataki kumwona hata kumsikia.
 
Chamdomo watapoteza kila mjumbe maana hawaambiliki na sasa wananchi washajua mbivu na mbichi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom