CHADEMA SINGIDA magharibi YAPATA PIGO, YAKIMBIWA NA KIONGOZI WAKE

Status
Not open for further replies.

habariyamujini

JF-Expert Member
May 16, 2013
3,094
456
Ihanja; Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), kimepata pigo kubwa katika kampeni zake za kutetea kiti cha udiwani wa Kata ya Iseke, Singida Magharibi, baada ya Katibu wake wa Kata, Francis Antoni, kujiuzulu juzi na kurejea CCM, kitendo kilichokichanganya kabisa chama hicho.

Pamoja na kurejea CCM, Antoni alimkabidhi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Steven Wasira, zaidi ya kadi 350 za Chadema. Antoni alirejea CCM juzi wakati wa mkutano wa hadhara wa kuzindua rasmi kampeni za CCM katika kugombea nafasi ya udiwani wa Kata ya
Iseke, wilayani Ikungi. Aliahidi kumpigia debe mgombe wa CCM Amos Mughenyi, ili aweze kushinda kwa kishindo.

Alisema badala ya kuhimiza maendeleo CHADEMA kimejikita zaidi katika kupandikiza chuki, vurugu na maandamano yasiyokuwa na tija yo yote. Kwa upande wake, Wasira alisema kila Mtanzania sasa ametambua kuwa CHADEMA haina sera za kuwaendeleza watu na badala yake inataka kupandikiza fujo, vurugu, matusi na uchochezi.

source mkutano wa hadhara kata ya iseke na google group.
 
Ihanja; Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), kimepata pigo
kubwa katika kampeni zake za kutetea kiti cha udiwani wa Kata ya
Iseke, Singida Magharibi, baada ya Katibu wake wa Kata, Francis
Antoni, kujiuzulu juzi na kurejea CCM, kitendo kilichokichanganya kabisa chama hicho.

Pamoja na kurejea CCM, Antoni alimkabidhi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM, Steven Wasira, zaidi ya kadi 350 za Chadema.

Antoni alirejea CCM juzi wakati wa mkutano wa hadhara wa kuzindua
rasmi kampeni za CCM katika kugombea nafasi ya udiwani wa Kata ya
Iseke, wilayani Ikungi.

Aliahidi kumpigia debe mgombe wa CCM Amos Mughenyi, ili aweze kushinda
kwa kishindo.

Alisema badala ya kuhimiza maendeleo Chadema kimejikita zaidi katika kupandikiza chuki, vurugu
na maandamano yasiyokuwa na tija yo yote. Kwa upande wake, Wasira
alisema kila Mtanzania sasa ametambua kuwa Chadema haina sera za
kuwaendeleza watu na badala yake inataka kupandikiza fujo, vurugu,
matusi na uchochezi.

source mkutano wa hadhara kata ya iseke na google group.
Cc Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Kitambo sana ni
iwaambia kuwa chadema siyo chama cha siasa ni kundi la wajanja tu.
waulize viongozi wako, halafu wakikupa jibu rudi tena hapa useme wamesemaje, maana la sivyo wangelala tu usingizi kama lingekuwa genge la wahuni,. pole sana kwa fikra zako za kifarao.
 
Ihanja; CHADEMA kimepata pigo baada Katibu wake wa Kata, Francis Antoni, kujiuzulu juzi na kurejea CCM, kitendo kilichokichanganya kabisa chama hicho.

Tatizo lenu maCCM, na nyie maliberali (Lumumba Project) akili zenu hazina akili, CHADEMA hakuna CHEO kama hicho, Katibu kata? Mamburula mwe mnajifikiria kabla ya ku-post
 
Ihanja; Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), kimepata pigo kubwa katika kampeni zake za kutetea kiti cha udiwani wa Kata ya Iseke, Singida Magharibi, baada ya Katibu wake wa Kata, Francis Antoni, kujiuzulu juzi na kurejea CCM, kitendo kilichokichanganya kabisa chama hicho.

Pamoja na kurejea CCM, Antoni alimkabidhi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Steven Wasira, zaidi ya kadi 350 za Chadema. Antoni alirejea CCM juzi wakati wa mkutano wa hadhara wa kuzindua rasmi kampeni za CCM katika kugombea nafasi ya udiwani wa Kata ya
Iseke, wilayani Ikungi. Aliahidi kumpigia debe mgombe wa CCM Amos Mughenyi, ili aweze kushinda kwa kishindo.

Alisema badala ya kuhimiza maendeleo CHADEMA kimejikita zaidi katika kupandikiza chuki, vurugu na maandamano yasiyokuwa na tija yo yote. Kwa upande wake, Wasira alisema kila Mtanzania sasa ametambua kuwa CHADEMA haina sera za kuwaendeleza watu na badala yake inataka kupandikiza fujo, vurugu, matusi na uchochezi.

source mkutano wa hadhara kata ya iseke na google group.
Mbona hujajipa like kwa ile ID yako nyingine? PC bado haijapona?
 
Mtu yeyote makini, mwenye busara , hekima, mzalendo wa kweli mwenye kuitakia mema TANZANIA YETU, hawezikung'ang'ania ama kukimbilia CCM.
Mtanzania ambaye ana ufahamu na uwezo wa kuunganisha nukta za matukio yanayoendelea nchini kwetu, umasikini , ufisadi kushuka/ kuporomoka kwa kasi kwa sekta ya elimu,kushindwa kwa sera za kilimo (ikiwemo kilimo kwanza),ukosefu wahuduma bora za afya na jamii kwa ujumla, kuongezeka kwa chuki za kidini,utekaji, utesaji na mauaji ya wananchi, ufyjwaji wa rasilimali, ujangili, kukithiri kwa biashara ya dawa za kulevya, rushwa na uwepo wa CCM madarakani, HAWEZI KUIKUMBATIA CCM HATA KIDOGO......Wote wanaofanya hivyo wanasukumwa na matumbo yao na si kwa maslahi mapana ya TAIFA LETU.

HALI NGUMU YA MAISHA NA MATATIZO YOTE YANAYOTUKABILI KAMA TAIFA NI MATOKEO YA SERA MBOVU, ILANI ZISIZOTEKELEZEKA NA UTAWALA DHAIFU WA CCM
 
Makapi kama haya ni bora yakaondoka mapema kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa hapo mwakani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
waulize viongozi wako, halafu wakikupa jibu rudi tena hapa useme wamesemaje, maana la sivyo wangelala tu usingizi kama lingekuwa genge la wahuni,. Pole sana kwa fikra zako za kifarao.

naamini mia kwa mia mwalimu nyerere angefufuka leo atakuwa mwanachama wa chadema moja kwa moja.yaani mwasisi wa ccm angekikimbia chama chake!!!!
 
Tatizo lenu maCCM, na nyie maliberali (Lumumba Project) akili zenu hazina akili, CHADEMA hakuna CHEO kama hicho, Katibu kata? Mamburula mwe mnajifikiria kabla ya ku-post

Endelea kujifariji lakini ukweli utabaki pale pale wewe endelea kujificha uso wakati mwili wote uko nje
 
Endelea kujifariji lakini ukweli utabaki pale pale wewe endelea kujificha uso wakati mwili wote uko nje
Hakuna Cheo kama hicho Chadema eti katibu kata? Chama Cha Maliberali ndio kuna huu Umburula
 
Kwa nini tusi hili ukirudi nyumbani ukawaambie na uliowaacha home.

Huu si ndio Usanii WA mchana peupe! Kiongozi ndiye anayekaa NA kadi za wanachama! Was Ira ameamua kujitekenya NA kucheka mwenyewe. Kama Ana ubavu aende kuwanunua NA WA Arusha ambako watu wameshaamka.
 
Taarifa hizi mwaka huu zimekuwa nyingi, bado kusikia Mnyika, Zitto na Lissu kuhama tu. CHADEMA hemu jichunguzeni mmjue tatizo nini linalo fanya viongozi wana kimbia hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom