habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 456
- Thread starter
- #21
tatizo ni viongozi wa chama hicho kutembea na sumu hadi bar, kupanga mipango ya kulisha watu sumu, kuwateka na kuwatesa na baya zaidi ni hili la kiliberali ambapo chama kina urafiki navyo huku vinatetea ushoga na usagajiTaarifa hizi mwaka huu zimekuwa nyingi, bado kusikia Mnyika, Zitto na Lissu kuhama tu. CHADEMA hemu jichunguzeni mmjue tatizo nini linalo fanya viongozi wana kimbia hivyo.