WASHE
JF-Expert Member
- Jan 9, 2017
- 746
- 394
Naikumbuka chadema ya kina silaa na Zitto ilikuwa makini Sana tofauti na ya Leo yakina mashinji imekuwa chadema ya hovyo Sana hata hawaeleweki wanasimia nini. Kimekuwa Chama cha matamko ya ajabu ajabu wamekuwa Chama cha kutumia madiaspora kutukana serikali nasikitika. Sana kuona chadema iliyopoteza dira