CHADEMA si CHADEMA tena

CHADEMA si CHADEMA tena

Ufipa hali si swari kabisaa na mpaka sasa sisi wanachama kindakindaki wa CHADEMA hatujui tushike lipi.

Ni hivi, kwa hali ya sasa hakuna taasisi tena inayoitwa CHADEMA bali ni jina tu la chama lililopo kwa msajili na vikundi kadhaa vilivyogawanyika chini ya hilo jina. Mgawanyiko huu unatufanya tubaki macho wazi au macho juu.

CHADEMA TLS
Hii ni CHADEMA ya Tundu Lissu na team yake, CHADEMA hii yenyewe imeamua kujiendesha kwa matukio yaliyojificha nyuma ya maslahi binafsi ya Tundu Lissu bila kujali kama maslahi hayo yanaigharimu au kuiharibia nchi tunayoishi. CHADEMA hii ni ngumu kuitenganisha na Chama cha wanasheria, kila tukio linalohusu sheria litageuzwa kuwa la kisiasa na kila la kisiasa litageuzwa kuwa sheria.

CHADEMA hii iko tayari kushirikiana na mafisadi ili mradi tu waendelee kujipatia umaarufu na kumpinga Mh Rais. Wazee wengi ndani ya chama wamejitenga na hii CHADEMA akiwemo mweyekiti

CHADEMA URAIS
Hii ni CHADEMA ya Lowassa, wao wameshajitangazia na kujimilikisha nafasi ya ugombea mwaka 2020 bila kuzingatia kanuni wala mchakato halali wa chama. CHADEMA hii iko busy kila siku kuhakikisha wanawaaminisha wanachama eti tayari mgombea wa urais 2020 ameshapatikana na kuhalalishwa na ni Lowassa.

Utawaona wakijitokeza mara kadhaa katika matukio fulani fulani na kutoa matamko yanayohusu uchaguzi 2020 huku wakitaja mgombea wa CHADEMA, ndugu Lowassa kuwa atashinda.Hii CHADEMA vijana makini hawaipendi kabisaa, na hata baadhi ya wazee wameanza kujiepusha nayo

CHADEMA MKAKATI
hii ni chadema inayopenda maendeleo ya nchi na wamekuwa wakiunga mkono juhudi za kimaendeleo za mh Rais lakini kwa usiri mkubwa. Chadema hii wao wanaridhishwa na juhudi ya kupinga ufisadi, ukusanyaji kodi na mambo mengine ya msingi yanayoendelea.Hawa hukutana kwa usiri na kupanga mikakati yao inayolenga kuhama chama na kuwahamasisha madiwani na viongozi wa chini kukihama chama.Chadema hii pia hupata ufadhiri kutoka chama tawala.

CHADEMA KASKAZINI

hii chadema kwa sasa imekoa umaarufu kutokana na matukio ya tundu lisu na wanafanya mikakati ya kumdhibiti.Hii ndo chadema ya mwenyekiti na Lema. umaarufu wao umepungua sana na hata wanachama hawawasikilizi tena. Wana mpango mkakati mkali wa kuhakikisha wanarudi katika mainstream na cha kwanza wanachotaka kufanya ni kumthibiti lisu.Chadema hii haina nguvu kabisaa hasa baada ya ile muvi ya can you fly to KIA

CHADEMA asilia

Hii ni chadema ya kina mnyika, hawa wameamua kukaa kando na kujionea yanayoendela.Hawataki kabisaa kujishughulisha na haya yanayoendelea , walichobaki nacho ni jina la uanachama na ubunge baasi.Hata vikao vya ndani hawaji tena, wakialikwa wanasingizia ugonjwa. Ni kama wamesusa hivi

kwa mgawanyiko huu sisi tuliokuwa wanachama fuata viongozi mpaka sasa tuko mdomo wazi, kama kuna muda CCM mnataka kuvuna wnachama wa CHADEMA , njooni sasa, kwasababu hili kundi la tusiojua wapi tushike tumeshachoka.
Duh! Ni hatari
 
Halafu chadema ukiutaja huu mgwanyiko wanatukana hao ! Mpaka matusi ya nguoni !
 
Siku sizonje akiruhusu siasa nakuambia tutamzika. Lazima pressure itampanda na kufa hapo hapo kwa mikutano moja tu.

Kama yeye mwanaume kweli najaribu zone.
 
Hii ni kweli tupu kamanda. Ona jinsi mawakili walivyomgomea mwanasheria mkuu wa chadema Lisu (aka rais wa TLS) na kumuona kama takataka tu, licha ya yeye kupiga mayowe huku amevaa kilemba cheusi akitaka mawakili wote wagome. Watu wameendelea na shughuli zao kama vile hawakumsikia.
Kwani hata katika uchaguzi wa TLS alichaguliwa na wote,waliyompimga ndiyo waliogoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufipa hali si swari kabisaa na mpaka sasa sisi wanachama kindakindaki wa CHADEMA hatujui tushike lipi.

Ni hivi, kwa hali ya sasa hakuna taasisi tena inayoitwa CHADEMA bali ni jina tu la chama lililopo kwa msajili na vikundi kadhaa vilivyogawanyika chini ya hilo jina. Mgawanyiko huu unatufanya tubaki macho wazi au macho juu.

CHADEMA TLS
Hii ni CHADEMA ya Tundu Lissu na team yake, CHADEMA hii yenyewe imeamua kujiendesha kwa matukio yaliyojificha nyuma ya maslahi binafsi ya Tundu Lissu bila kujali kama maslahi hayo yanaigharimu au kuiharibia nchi tunayoishi. CHADEMA hii ni ngumu kuitenganisha na Chama cha wanasheria, kila tukio linalohusu sheria litageuzwa kuwa la kisiasa na kila la kisiasa litageuzwa kuwa sheria.

CHADEMA hii iko tayari kushirikiana na mafisadi ili mradi tu waendelee kujipatia umaarufu na kumpinga Mh Rais. Wazee wengi ndani ya chama wamejitenga na hii CHADEMA akiwemo mweyekiti

CHADEMA URAIS
Hii ni CHADEMA ya Lowassa, wao wameshajitangazia na kujimilikisha nafasi ya ugombea mwaka 2020 bila kuzingatia kanuni wala mchakato halali wa chama. CHADEMA hii iko busy kila siku kuhakikisha wanawaaminisha wanachama eti tayari mgombea wa urais 2020 ameshapatikana na kuhalalishwa na ni Lowassa.

Utawaona wakijitokeza mara kadhaa katika matukio fulani fulani na kutoa matamko yanayohusu uchaguzi 2020 huku wakitaja mgombea wa CHADEMA, ndugu Lowassa kuwa atashinda.Hii CHADEMA vijana makini hawaipendi kabisaa, na hata baadhi ya wazee wameanza kujiepusha nayo

CHADEMA MKAKATI
hii ni chadema inayopenda maendeleo ya nchi na wamekuwa wakiunga mkono juhudi za kimaendeleo za mh Rais lakini kwa usiri mkubwa. Chadema hii wao wanaridhishwa na juhudi ya kupinga ufisadi, ukusanyaji kodi na mambo mengine ya msingi yanayoendelea.Hawa hukutana kwa usiri na kupanga mikakati yao inayolenga kuhama chama na kuwahamasisha madiwani na viongozi wa chini kukihama chama.Chadema hii pia hupata ufadhiri kutoka chama tawala.

CHADEMA KASKAZINI

hii chadema kwa sasa imekoa umaarufu kutokana na matukio ya tundu lisu na wanafanya mikakati ya kumdhibiti.Hii ndo chadema ya mwenyekiti na Lema. umaarufu wao umepungua sana na hata wanachama hawawasikilizi tena. Wana mpango mkakati mkali wa kuhakikisha wanarudi katika mainstream na cha kwanza wanachotaka kufanya ni kumthibiti lisu.Chadema hii haina nguvu kabisaa hasa baada ya ile muvi ya can you fly to KIA

CHADEMA asilia

Hii ni chadema ya kina mnyika, hawa wameamua kukaa kando na kujionea yanayoendela.Hawataki kabisaa kujishughulisha na haya yanayoendelea , walichobaki nacho ni jina la uanachama na ubunge baasi.Hata vikao vya ndani hawaji tena, wakialikwa wanasingizia ugonjwa. Ni kama wamesusa hivi

kwa mgawanyiko huu sisi tuliokuwa wanachama fuata viongozi mpaka sasa tuko mdomo wazi, kama kuna muda CCM mnataka kuvuna wnachama wa CHADEMA , njooni sasa, kwasababu hili kundi la tusiojua wapi tushike tumeshachoka.

Mburula wa Lumumba mumeishiwa kweli kweli hapo mwenyewe unaona umetumia akili kuandika ujnga huu na mazwazwa wenzio wote wa bk7 wamekugongea like.
 
Miaka ya juzi juzi Chama Cha Demorasia na maendeleo CHADEMA kilipata umashuhuri mkubwa sana hadi bei ya kadi moja iliyopangwa na chama ilikuwa sh 1500/-. Lakini katika blaki maketi kadi ilifika hadi sh 3000/- na maeneo mengine hadi 3500/-.

Je leo hii katika blaki au waiti maketi inaweza kuwa sh ngapi kwa bei ya kadi moja?
 
Kumbe?
 
Ok sawa, za chama chakavu sasa hivi ni bei gani? Au mnafanya promotion ya buy one get four??
 
Hivi siku hizi kuna vyama vya upinzani au kuna Chadema tu? Maana upande fulani mmepanic sana. Lakini pia niendelee kuwashauri, attacking and weakening Chadema is a very wrong strategy, especially if you can't make strides on what you promised to the people...Come 2020, hatutauliza wanachadema wangapi walikamatwa au mikutano mingapi ya Chadema ilifutwa. Tutadai Tanzania ya viwanda. Tutadai 50 million kila kijiji. Tutadai maji safi na salama kwa asilimia kubwa ya Watz. Tutadai uhakika wa shule na matitababu n.k. This is what will cost you.
 
CCM kiboko yao ni CDM
 
CCM kiboko yao ni CDM
Labda ni kweli. Maana naona kama wanachama wao sasa wamezidi woga. Mimi ningetegemea wanachama serious wa chama kinachotawala, wangekuwa na muda mwingi wa kujadili zaidi utekelezaji wa sera zao. But now Chadema has turned to be their number one paranoia...
 
Ufipa hali si swari kabisaa na mpaka sasa sisi wanachama kindakindaki wa CHADEMA hatujui tushike lipi.

Ni hivi, kwa hali ya sasa hakuna taasisi tena inayoitwa CHADEMA bali ni jina tu la chama lililopo kwa msajili na vikundi kadhaa vilivyogawanyika chini ya hilo jina. Mgawanyiko huu unatufanya tubaki macho wazi au macho juu.

CHADEMA TLS
Hii ni CHADEMA ya Tundu Lissu na team yake, CHADEMA hii yenyewe imeamua kujiendesha kwa matukio yaliyojificha nyuma ya maslahi binafsi ya Tundu Lissu bila kujali kama maslahi hayo yanaigharimu au kuiharibia nchi tunayoishi. CHADEMA hii ni ngumu kuitenganisha na Chama cha wanasheria, kila tukio linalohusu sheria litageuzwa kuwa la kisiasa na kila la kisiasa litageuzwa kuwa sheria.

CHADEMA hii iko tayari kushirikiana na mafisadi ili mradi tu waendelee kujipatia umaarufu na kumpinga Mh Rais. Wazee wengi ndani ya chama wamejitenga na hii CHADEMA akiwemo mweyekiti

CHADEMA URAIS
Hii ni CHADEMA ya Lowassa, wao wameshajitangazia na kujimilikisha nafasi ya ugombea mwaka 2020 bila kuzingatia kanuni wala mchakato halali wa chama. CHADEMA hii iko busy kila siku kuhakikisha wanawaaminisha wanachama eti tayari mgombea wa urais 2020 ameshapatikana na kuhalalishwa na ni Lowassa.

Utawaona wakijitokeza mara kadhaa katika matukio fulani fulani na kutoa matamko yanayohusu uchaguzi 2020 huku wakitaja mgombea wa CHADEMA, ndugu Lowassa kuwa atashinda.Hii CHADEMA vijana makini hawaipendi kabisaa, na hata baadhi ya wazee wameanza kujiepusha nayo

CHADEMA MKAKATI
hii ni chadema inayopenda maendeleo ya nchi na wamekuwa wakiunga mkono juhudi za kimaendeleo za mh Rais lakini kwa usiri mkubwa. Chadema hii wao wanaridhishwa na juhudi ya kupinga ufisadi, ukusanyaji kodi na mambo mengine ya msingi yanayoendelea.Hawa hukutana kwa usiri na kupanga mikakati yao inayolenga kuhama chama na kuwahamasisha madiwani na viongozi wa chini kukihama chama.Chadema hii pia hupata ufadhiri kutoka chama tawala.

CHADEMA KASKAZINI

hii chadema kwa sasa imekoa umaarufu kutokana na matukio ya tundu lisu na wanafanya mikakati ya kumdhibiti.Hii ndo chadema ya mwenyekiti na Lema. umaarufu wao umepungua sana na hata wanachama hawawasikilizi tena. Wana mpango mkakati mkali wa kuhakikisha wanarudi katika mainstream na cha kwanza wanachotaka kufanya ni kumthibiti lisu.Chadema hii haina nguvu kabisaa hasa baada ya ile muvi ya can you fly to KIA

CHADEMA asilia

Hii ni chadema ya kina mnyika, hawa wameamua kukaa kando na kujionea yanayoendela.Hawataki kabisaa kujishughulisha na haya yanayoendelea , walichobaki nacho ni jina la uanachama na ubunge baasi.Hata vikao vya ndani hawaji tena, wakialikwa wanasingizia ugonjwa. Ni kama wamesusa hivi

kwa mgawanyiko huu sisi tuliokuwa wanachama fuata viongozi mpaka sasa tuko mdomo wazi, kama kuna muda CCM mnataka kuvuna wnachama wa CHADEMA , njooni sasa, kwasababu hili kundi la tusiojua wapi tushike tumeshachoka.

Namkumbuka sana Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Huyu ndio alifaa kuja kuwa mgombea Urais 2020 kwa tiketi ya Chadema. Majambazi wakamdhuru. Chadema ipo kimyaaaaaaaaaa hata hatupati maendeleo yake.
 
KUFIKIA 2020 hapatakuwa na chadema
 
nahisi unabii wangu unaendelea kufanya kazi
 
Back
Top Bottom