Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
.Silaa alishaondoka na chadema yake Mkuu saivi ni kilinge cha malapulapu
Ndiyo sababu mmeamua kutoka kuua viongozi wake??
Chama Cha Mauaji mmezidi kuweweseka hebu tulieni kwanza
.Silaa alishaondoka na chadema yake Mkuu saivi ni kilinge cha malapulapu
Amin amin nakwambia mimi nilikuwa mfuasi mzuri wa chadema enzi za akina zito, slaa nk lkn chadema ya sasa hovyo kabisa.
#nakwenda_zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona vijana wa ufipa mnapambanaCCM ya sasa hovyo sana,huwez kuiringanisha na ile ya enzi za mwalimu,yaan ni hovyo mno tena vi. ..la. ..za tu ndio wanaoishabikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeshangaa media zote kupotezea hii habari kwa siku ya leo!!
Kuna jambo wameshagundua bila shaka!
Duh! Mungu akusaidie kuiponda CHADEMA? Huyu mungu atakuwa mjomba wako?Hata mimi aisee. Kwa sasa nimeamua kuiponda hii Chadema ya sasa kadri niwezavyo. Ewe Mungu nisaidie.
Hata mimi aisee. Kwa sasa nimeamua kuiponda hii Chadema ya sasa kadri niwezavyo. Ewe Mungu nisaidie.
Amin amin nakwambia mimi niko radhi kurudi upinzani. Endapo mwenyekiti atamtema lowasa lkn tofauti na hapo ni ubaya ubaya tu.Fikaa salama.Ikibidi nenda Lumumba kabisa
Tengua kauli.
Ndiyo sababu mmeamua kutoka kuua viongozi wake??
Chama Cha Mauaji mmezidi kuweweseka hebu tulieni kwanza
Sahihi kabisaMimi nimeshangaa media zote kupotezea hii habari kwa siku ya leo!!
Kuna jambo wameshagundua bila shaka!
Wapuuzi sana hawa tumewashtukiaWamempeleka NRB ku synchronize statements kusiwe na "lugha-gongana"... poorly planned plot.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip mtu usiyejulikana naona mnatuua haya bwana nchi yenu pekeyenuAmin amin nakwambia mimi nilikuwa mfuasi mzuri wa chadema enzi za akina zito, slaa nk lkn chadema ya sasa hovyo kabisa.
#nakwenda_zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona vijana wa ufipa mnapambana
Ha ha ha, haya sawa. Sema utakavyo moyo wako uridhike.Mwanachama wa Chama Cha Mauaji kazi mliyopewa na Mwenyekiti wenu ni Kutoka,Kutesa na Kuua,watu kama.nyie hata siku moja hamuwezi na hamtaweza kuwa Chadema.
Miaka 55 ya Uhuru Badala ya kuongoza Maendeleo mno busy kufanya Mauaji
Wangetaka kumuua wangepiga risasi upande wake wa gari..huyo dereva aliyesomea Israel masuala ya ulinzi ana mengi ya kutuambia..hapa hachomokiKama mmegundua kuna propaganda nyingi sana za kitoto zinaendelea humu jukwaani. Kuna viumbe wameanza kuja na ishu za shati sio la Lisu yani ilimradi tu kupotosha uma.
Hapo Lisu kaamka na kuongea maneno machache tu watu wanaanza kutafutana. Sasa akitoa story yote sijui itakuaje. Ninachoamini Lisu sio mjinga gari imfwatilie kwa muda mrefu hivyo bila kufahamu nani ana-coordinate hilo zoezi. Naamini akifunguka yote nchi itasimama.
Tumuombee kamanda Lisu apone haraka atueleze story yote ilivyokua.
Zaidi ya yote nawasifu chadema kwa kwenda na dereva Kenya otherwise wangeweza kumuua au kumbana abadili story.
Ndo kwaanza movie imeanza,tusubiri kuna episode za kutosha zinatusubiri kuangalia.
Mtajua niwapuuzi au sio Lisu akitoa story ya tukioWapuuzi sana hawa tumewashtukia
Tengua kauli
Sio mungu bali Mungu.Duh! Mungu akusaidie kuiponda CHADEMA? Huyu mungu atakuwa mjomba wako?