CHADEMA si CHADEMA tena

CHADEMA si CHADEMA tena

Mimi kama mkereketwa wa sera za upinzani leo najitokeza hadharani kuhoji hiki kinachoendelea ndani ya Chadema.

Kabla ya ujio wa Edward Lowasa, Chadema tulitamba sana kwa kutetea wananchi masikini, siku zote tulitetea wamachinga, mama ntilie, wakulima, na wafugaji. Mitaani Chadema tulikuwa na mvuto wa kipekee kwa sababu ya hoja na sera zetu za kuifikirisha serikali.
Tulikuwa ukivaa magwanda na kupita nayo mtaani unashangiliwa kila kona.

Mara baada ya Edward Lowasa kujiunga chadema, mambo mengi yamebadilika ndani ya chama.
Chadema ya leo haina mvuto kwa wananchi kabisa, hata ukivaa magwanda na kupita nayo mtaani unaonekana kama lofa fulani tu.
Kwa nini imekuwa hivi??
1.Ni kwa sababu Chadema ya leo si mtetezi wa wanyonge tena. Watu maskini wanabomolewa nyumba zao lakini hutasikia wakiwatetea .
Chadema ya leo ni rafiki na mtetezi wa wakwepa kodi, wauza madawa, wala rushwa, majangili na wachawi.!!

2. Imezuka falsafa mpya ndani ya chadema kuwa chama ni watu, kwa hiyo ili mradi tu wewe ni mtu hata kama ni fisadi, mchawi, mkwepa kodi, muuza madawa ya kulevya na mchawi njoo Chadema utapokewa!!!

Je maadili na miiko ya chadema imeenda wapi??

Kutokana na sababu hizo hapo juu nimeamua kutema nyongo kwa Edward Lowasa aturudishie chama chetu, hii siyo chadema tuliyoizoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
UVCCM,kataka ubora wako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengine ni magumu japo naamini kuna siri kubwa sana ya kuwa na vyama vya upinzani. Kwanza kuita chama tofauti na kilichoko madarakani kuwa ni pinzani sidhani kama ni sahihi maana kwa mtu ambaye hawazi mara moja au mbili ni changamoto. Kama nko nje ya mada mtanisamehe ila nikiwaza siasa ambazo kiujumla zinamgusa kila mtu iwe direct au indirect basi ni fumbo kwa mjinga..... haya mtu alikuwa ndani ya serikali toka ujana wake basi kama ni mwema atupe siri zilizoko ndani ya serikali ili sisi kama chama kilichoshindwa (sio pinzani maana hili jina linaleta chuki na uadui) tuikumbushe serikali ni wapi kwenye gap....

Upo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh lowasa yupi mkuu yule wa richmond au mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_1501477436015.jpg

Huyu waliyemsema hapa
e947caba6ea4cf355794fb508a6ae495.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kama mkereketwa wa sera za upinzani leo najitokeza hadharani kuhoji hiki kinachoendelea ndani ya CHADEMA.

Kabla ya ujio wa Edward Lowassa, CHADEMA tulitamba sana kwa kutetea wananchi masikini, siku zote tulitetea wamachinga, mama ntilie, wakulima, na wafugaji. Mitaani CHADEMA tulikuwa na mvuto wa kipekee kwa sababu ya hoja na sera zetu za kuifikirisha serikali.Tulikuwa ukivaa magwanda na kupita nayo mtaani unashangiliwa kila kona.

Mara baada ya Edward Lowasa kujiunga chadema, mambo mengi yamebadilika ndani ya chama. CHADEMA ya leo haina mvuto kwa wananchi kabisa, hata ukivaa magwanda na kupita nayo mtaani unaonekana kama lofa fulani tu.
Kwa nini imekuwa hivi?

1.Ni kwa sababu CHADEMA ya leo si mtetezi wa wanyonge tena. Watu maskini wanabomolewa nyumba zao lakini hutasikia wakiwatetea .
CHADEMA ya leo ni rafiki na mtetezi wa wakwepa kodi, wauza madawa, wala rushwa, majangili na wachawi.

2. Imezuka falsafa mpya ndani ya CHADEMA kuwa chama ni watu, kwa hiyo ili mradi tu wewe ni mtu hata kama ni fisadi, mchawi, mkwepa kodi, muuza madawa ya kulevya na mchawi njoo CHADEMA utapokewa.

Je maadili na miiko ya CHADEMA imeenda wapi?

Kutokana na sababu hizo hapo juu nimeamua kutema nyongo kwa Edward Lowassa aturudishie chama chetu, hii siyo CHADEMA tuliyoizoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli tupu kamanda. Ona jinsi mawakili walivyomgomea mwanasheria mkuu wa chadema Lisu (aka rais wa TLS) na kumuona kama takataka tu, licha ya yeye kupiga mayowe huku amevaa kilemba cheusi akitaka mawakili wote wagome. Watu wameendelea na shughuli zao kama vile hawakumsikia.
 
Mkuu hujaacha ujinga bado?Chadema bado tunapigania haki za Machinga,mama Ntilie,haki za Ardhi nk njoo Dodoma utakuta ofisini mpaka tunayo mafaili kwaajili ya kupigania haki hizi na matokeo yapo wazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu si lowasa tatizo ni yule mkulu kuzuia kila kitu kama mikutano ambayo ndio kero za wananchi walikuwa wanatoa duku duku zao.

Leo wanataka kuwa na gap kubwa katikati hapa
kulaani wananchi kubomolewa kunahitqji mkutano? Ni sawa na kusema ukiumwa kichwa basi udungwe sindano kichwani au ukiumwa tumbo basi utobolewe tumbo kuingiza frajili
 
Iko wazi kuwa CHADEMA imejengwa,imeaminiwa na kusambaa kwenye aina ya 'siasa za kiharakati'. Imejengwa katika misingi ya kuthubutu kusema,kukosoa,kuibua kashfa za ufisadi na kutenda kadiri ya maneno yao. CHADEMA ilikuwa ikitenda kila ilichokuwa inasema.

Kwasasa,CHADEMA imebadilika. Imekuwa na 'upole na siasa za kusema bila kutenda'. Sasa inasema na kupanga halafu hakuna lolote la maana. Imebaki na kutoa Matamko kuhusu mambo hata yale wasiyoyasimamia. Hoja za ufisadi zimepotea ndani ya CHADEMA.

Tangu kuhamia kwa Ndugu Edward Lowassa ndani ya CHADEMA,chama hicho kimehama kutoka kwenye misingi yake niliyoieleza hapo mwanzo. Siasa za CHADEMA katika uhalisia na misingi yake bado zinafanywa na Tundu Lissu. Siasa mpya zinafanywa na Lowassa

CHADEMA sasa inapaswa kuchagua kati ya siasa za Lissu na zile siasa mpya za Lowassa!
 
tumekuelewa, kwahiyo TL amerejea viatu vyake- kukemea mafisadi, kwahiyo anapingana na ideology ya sasa ya CDM. Kama hivi ndivyo, siku zake juu ya jukwaa kuu la C zinahesabika
 
Yes ni kawaida kuwa na mitazamo tofauti ndani ya kundi lolote

Lengo ni moja kumchinjilia mbali mkoloni mweusi ccm

Ccm mnaosoma huu Uzi tumewachoka wajamen

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Back
Top Bottom