CHADEMA SAUT kutumika kuficha aibu ya Mbowe Mwanza

CHADEMA SAUT kutumika kuficha aibu ya Mbowe Mwanza

Hii tunaita defensive mechanism!!!!!!!! Na mtaona jumapili barabara ya town-nyegezi lazima ifungwe kwa muda maana kutakuwa na shangwe na nderemo.............
 
Hivi nyie watu hamna mbinu nyingine ya kufikiri zaidi ya kuendelea kutuletea u.pupu ule ule na mambo yale yale tu. Kila kukicha Chadema Chadema. Give us a break nyie watu jamani!!!!!!!
 
Steven Kabelinde; CCM ipi iliyoimarika SAUT, ni ile ambayo vijana wake waganga njaa wanaoogopa kuvaa nguo za kijani mchana isipokuwa usiku na ni pale wanapoenda kulishwa ubwabwa na Lowassa au kiongozi mwingine wa chama cha zamani basi wanakusanyika usiku pale ATM tayari kwenda kubugia ubwabwa. CCM kishakufa, waliobaki ni waganga njaa tu na wengine ni majasusi watakaoondoka muda wowote baada ya kuusoma mchezo. Ili mradi umepingana kimawazo na gamba mwenzio aliyeanzisha thread, ni ishara tosha kwamba hamjui kinachoendelea. Hamtaweza kukihujumu CHADEMA kwasababu kina watu wanaokipenda na kukitumikia kwa nguvu zote tena bila malipo tofauti na CCM jangwa la waganga njaa!
 
Last edited by a moderator:
Nimesona na kurudia hii mara ya 4 sijaelewa nimeamua kuomba msaada kwa mtu aliye elewa huyu kaandika nini , kwa nini , na kwa nani .
 
Cdm lazima, nasisitiza lazima itamtia mtu ujauzito mwaka huu lazima.kama sio gamba basi atakuwa wa kijani yeyote.
 
@Lunyumba; Mkuu pole kwa kusumbua kichwa kwa hii pointless thread, mleta mada ni gamba aliyekengeuka baada ya kusikia Kamanda Mbowe anaenda Mwanza kuwasambaratisha vibaraka wa CCM.
 
Liongo hadi ibilisi anakuogopa kwa kumzidi uzushi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
tawi la chadema saut limejipanga kutumika kama kichaka cha kuficha aibu, ufisadi na uchu wa madaraka wa mwenyekiti wa chadema taifa nd. Freeman mbowe. Matumizi ya tawi hili yamekuja siku chache baada ya tamko lililotolewa na mwenyekiti wa matawi ya chadema mwanza mh. Gwanchele, tamko anbalo lilikemea ufisadi na uchu wa madaraka ndani ya chama ambapo tamko liliwataja mbowe na slaa kama vinara wa ufisadi huo wa chama na kuwataka wasikanyage mwanza kama hawapo tayari kujihuzuru na kupisha uchunguzi wa matumizi ya pesa za chama. Pia tamko la mwenyekiti wa matawi lilipinga maamuzi ya kamati kuu kuhusu kuwavua uongozi kinyume cha katiba: Kitila mkumbo, mwigamba na zitto kabwe.

Kwanini mbowe kakimbilia chadema saut

mbowe ameona aitumie chadema saut kama kichaka chake cha kujifichia kwasababu ameshaona kuwa wananchi na wanachama wa chadema wameshagundua ufisadi unaoendelea katika chama, kwakuwa mbowe anaamini kuwa wananchi huamini wasomi ndio maana mbowe ameamua kuwatumia viongozi wa chadema saut na hili limewezekana kwasababu tu mwenyekiti wa chadema saut ni mchaga ambaye anaamini kuwa chadema si chama cha siasa balini chaga development machame. Tayari wanafunzi wa vyuo vikuu wanaojitambua walishatoa tamko la kukataa ufisadi wa mbowe na kupinga maamuzi ya kamati kuu kuwafukuza watu kwa maslahi binafsi tamko ambalo lilitolewa na viongozi wa wanachama wa chadema vyuo vikuu (chaso).

Utofauti wa chadema saut na chadema vyuo vikuu vingine

- chadema saut ni tawi pekee linalounga mkono hatua ya mbowe kunyofoa kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi wa chama kwenye katiba chadema.

- chadeama saut ni tawi pekee linaloamini kuwa mtu anayekosoa maovu yanayotendeka kwenye chama anatumiwa na ccm.

- chadema saut ni tawi pekee linaloamini kuwa ili ufike mbali kwenye chadema ni lazima unyenyekee na ujipendekeze kwa viongozi.

- chadema saut ni tawi pekee lenye washabiki na wafuasi wengi wa mbowe kuliko wanachama hai wa chadema.

- chadema saut ni tawi pekee linaloamini kuwa chadema haiwezi kuwepo bila mbowe kutokana na ukabila wa mweyekiti wake.

- chadeama saut ni tawi pekee linalounga mkono ruzuku ya chama kutumika makao makuu tu.

- chadema saut ni tawi linaloongoza kwa usahaulifu kwani mara zote limekuwa likiheshimiwa na kutembelewa na viongozi pale tu wanapokuwa na shida zao binafsi au linapowataka wanafunzi hao kwenda kusimamia kura.

- chadema saut ni tawi pekee linaloamini chadema itashinda kwa upepo tu.

Namna chadema saut inavyotumika

· december 8 viongozi wa chadema saut walihongwa pesa na timu ya mbowe ili waite vyombo vya habari (press conference) na kuutangazia umma kuhusu ziara ya mbowe mwanza, pia waliagizwa kumpiga mkwara mwenyekiti wa matawi ya chadema mwanza ngd gwanchele kwa kumtishia kumshitaki, pia waliambiwa wasema kuwa watu wa mwanza wapo tayari kumpokea mbowe, wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu na kwamba watu hawataandamana kumpimga mbowe kama matamko yanavyosema. Hili lilifanyika na habari hii ilitangazwa kwenye vyombo vya habari ikiwemo channel 10 habari tarehe 9/12.2013 saa 1 na dk 3 usiku. Umeona wapi ziara ya kimkoa kwenye mkoa fulani ikitangazwa na viongozi wa tawi?

· viongozi wa chadema saut wahongwa pesa za kuandaa mkutano wa kumsafisha mbowe atakapokuja mwanza. Mkutano huo utafanyika jumamosi tarehe 15/12.2013 ambapo mbowe atakuwepo mkutanoni. Katika mkutano huo viongozi wa chadema saut watatakiwa kutoa tamko la kumuunga mkono mbowe na maamuzi yake pia kupinga tamko la kiongozi wa umoja wa matawi ya chadema mwanza. Viongozi wa chadema saut watatakiwa kuwathibitishia wananchi imani yao kwa chama na pia kuunga mkono maamuzi yote ambayo yamefanywa na chama.

· viongozi wa chadema saut wameahidiwa donge nono ikiwa watafanikiwa kumlinda mbowe asianikwe, kuchafuliwa na kuzomewa katika ziara yake ya mwanza kama inavyotokea kwa dr. Slaa huko kigoma. Tayari viongozi wa chadema saut wameshaandaa watu wa kumshangilia mbowe kwenye mkutano washangiliaji ambao watashangilia kila kitakachosemwa na mbowe hata kama hakina mantiki.

Ikumbukwe kuwa ni chadema saut iliyopewa pesa ya kulipa vyombo vya habari tarehe 28/11/2013 ili watoe tamko la kuunga mkono maamuzi yaliyofanywa na kamati kuu, kupinga tamko la chaso na kupinga matamko yote yaliyotolewa na wanamwanza kuhusu kuandamana kupinga maamuzi ya kamati kuu na ufisadi ndani ya chama. Tamko hilo lilitolewa tarehe 29/11/2013.

Hawa ndio wasomi wetu, watu wanaotegemewa kuwa dira na mwanga kwa wananchi ambao hawakupata bahati ya kwenda shule. Kama wao wanaweza kuburuzwa namna hii tutegemee nini miaka 10-20 ijayo chama kikiwa chini ya viongozi kama hawa?

zoezi hili linaendeshwa na viongozi wa chadema saut wakiongozwa na kitaly wilhad (mwenyekiti), lang’o jackson (katibu) na nick kilunga (mpambe).

View attachment 126446


nafunzi wa saut lazma mjitafari, mlikurupuka kushabikia chadema ona sasa mnavyotumka kama paka wa uchawi au condom? Mara zote wasomi wanatakiwa kua impartial ili kujilindia nafasi ya kusiufu au kukosoa pande zote. Sasa oneni mmefikia hatua wote mnaonekana vibaraka wa chama kimoja kitu ambacho ni sumu kwa msomi unaetakiwa kuwa huru ili ulete mabadiriko ya kweli. Mlifikiri chadema kinaongozwa na malaika na ni chama cha demokrasi na maendeleo kumbe ni [chaga dictatorship movement alliance] poleni ndugu zangu wa saut maisha hayakaririwi.
 
Mda wote huu umeutumia kuandika UPUMBAVU.mala mbowe asikanyage ZO.mara trh 15 yupo ZO shenzi.peopleee's.....mboe juuuuuu
 
Huu ni upuuzi mtupu, nina imani mwandishi wa thread hii anaumwa akili na sio mtanzania hata kidogo anapaswa kusombwa na oparesheni kimbuga na kutupwa nje ya mipaka ya nchi hii. Nchi hii ina matatizo mengi na hujawahi kuyazungumzia, uko kimya tu kwa mfano tatizo la wanyama hai kusafirishwa nje, Elimu kushuka na kuanzishwa kwa Divishen 5, Tembo wanaouawa kwa fujo, huduma duni ya afya, miundo mbinu mibovu, ufisadi, pesa kutunzwa nje ya nchi nk. halafu unaibuka na Mheshimiwa Mbowe..... naomba uelewe kuwa tatizo la nchi hii sio Mbowe hata akiachia madaraka leo, na elewa kuwa Chadema na viongozi wake akiwemo Mheshimiwa Mbowe hawachafuki ng'o hata ujaribu kuwapaka grisi. unajisumbua bure kwani tatizo la nchi hii sio Chadema wala CCM bali ni viongozi tulionao kama Zitto ambao hawana dira yoyote wala msimamo. Hivyo kumchafua kiongozi kama Mh. Mbowe ambaye wananchi wameshamkubali unajisumbua bure. Pia elewa kuwa tuko katika mapambano ama vita ya kubadilisha serikali iliyopo na katika vita kamanda habadilishwi ovyo ovyo kama unavyoota wewe na wenzako, kwa hiyo Mheshimiwa Mbowe ataendelea kushika uenyekiti mpaka KIELEWEKEEEEeeeeeeee
 
Umeandika mengi lakini ni utumbo mtupu.Kwanza hakuna jumuiya halali inayoitwa "Umoja wa Matawi ya CHADEMA Mwanza" kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA bali ni kikundi cha waganga njaa waliokula hela za CCM ili kuhujumu CHADEMA. Unaropoka uongo eti Mhe.Mbowe alinyofoa kipengele kinachoeleza ukomo wa madaraka...tuambie kilikuwa kifungu namba ngapi cha katiba ya CHADEMA ya mwaka gani? Tunajua hamna hoja zaidi ya majungu,Kamanda Mbowe kwake ni kawaida kutembelea tawi la SAUT na hata ukienda ofisi ya tawi utakuta kwenye kitabu cha wageni anavyolitembelea tawi la CHADEMA SAUT bila kuwasahau viongozi wengine kama Dr.Slaa,Tundu Lissu, J.J Mnyika, Vicent Nyerere, Wenje, Heche n.k hivyo huo ni utaratibu wa kawaida wa viongozi kuwatembelea vijana wao wala haihusiani na utumbo ulioleta jamvini. Unaleta uzushi wa kikabila, mbona Mwenyekiti aliyepita alikuwa msukuma (Paschal Patrobass) hamkusema. Naibu katibu nilikuwa Mnyakyusa...mbona hamkusema kuna ukabila? Go to hell!

M4C ipo kwa mujibu wa katiba ipi?
 
Huu ni upuuzi mtupu, nina imani mwandishi wa thread hii anaumwa akili na sio mtanzania hata kidogo anapaswa kusombwa na oparesheni kimbuga na kutupwa nje ya mipaka ya nchi hii. Nchi hii ina matatizo mengi na hujawahi kuyazungumzia, uko kimya tu kwa mfano tatizo la wanyama hai kusafirishwa nje, Elimu kushuka na kuanzishwa kwa Divishen 5, Tembo wanaouawa kwa fujo, huduma duni ya afya, miundo mbinu mibovu, ufisadi, pesa kutunzwa nje ya nchi nk. halafu unaibuka na Mheshimiwa Mbowe..... naomba uelewe kuwa tatizo la nchi hii sio Mbowe hata akiachia madaraka leo, na elewa kuwa Chadema na viongozi wake akiwemo Mheshimiwa Mbowe hawachafuki ng'o hata ujaribu kuwapaka grisi. unajisumbua bure kwani tatizo la nchi hii sio Chadema wala CCM bali ni viongozi tulionao kama Zitto ambao hawana dira yoyote wala msimamo. Hivyo kumchafua kiongozi kama Mh. Mbowe ambaye wananchi wameshamkubali unajisumbua bure. Pia elewa kuwa tuko katika mapambano ama vita ya kubadilisha serikali iliyopo na katika vita kamanda habadilishwi ovyo ovyo kama unavyoota wewe na wenzako, kwa hiyo Mheshimiwa Mbowe ataendelea kushika uenyekiti mpaka KIELEWEKEEEEeeeeeeee

Kwahiyo mi ni mgeni kwasababu tu nimesema ukweli kuhusu chadema saut? hizi kero zako kwanini usipost watu wachangie?
 
Tawi la chadema SAUT limejipanga kutumika kama kichaka cha kuficha aibu, ufisadi na uchu wa madaraka wa Mwenyekiti wa chadema taifa Nd. Freeman Mbowe. Matumizi ya tawi hili yamekuja siku chache baada ya tamko lililotolewa na mwenyekiti wa matawi ya Chadema Mwanza Mh. Gwanchele, tamko anbalo lilikemea ufisadi na uchu wa madaraka ndani ya chama ambapo tamko liliwataja Mbowe na Slaa kama vinara wa ufisadi huo wa chama na kuwataka wasikanyage mwanza kama hawapo tayari kujihuzuru na kupisha uchunguzi wa matumizi ya pesa za chama. Pia tamko la mwenyekiti wa matawi lilipinga maamuzi ya kamati kuu kuhusu kuwavua uongozi kinyume cha katiba: Kitila mkumbo, Mwigamba na Zitto Kabwe.

KWANINI MBOWE KAKIMBILIA CHADEMA SAUT

Mbowe ameona aitumie chadema SAUT kama kichaka chake cha kujifichia kwasababu ameshaona kuwa wananchi na wanachama wa chadema wameshagundua ufisadi unaoendelea katika chama, kwakuwa Mbowe anaamini kuwa wananchi huamini wasomi ndio maana mbowe ameamua kuwatumia viongozi wa chadema SAUT na hili limewezekana kwasababu tu mwenyekiti wa Chadema SAUT ni mchaga ambaye anaamini kuwa chadema si chama cha siasa balini CHAGA DEVELOPMENT MACHAME. Tayari wanafunzi wa vyuo vikuu wanaojitambua walishatoa tamko la kukataa ufisadi wa mbowe na kupinga maamuzi ya kamati kuu kuwafukuza watu kwa maslahi binafsi tamko ambalo lilitolewa na viongozi wa wanachama wa chadema vyuo vikuu (CHASO).

UTOFAUTI WA CHADEMA SAUT NA CHADEMA VYUO VIKUU VINGINE

- Chadema SAUT ni tawi pekee linalounga mkono hatua ya Mbowe kunyofoa kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi wa chama kwenye katiba chadema.

- Chadeama SAUT ni tawi pekee linaloamini kuwa mtu anayekosoa maovu yanayotendeka kwenye chama anatumiwa na ccm.

- Chadema SAUT ni tawi pekee linaloamini kuwa ili ufike mbali kwenye chadema ni lazima unyenyekee na ujipendekeze kwa viongozi.

- Chadema SAUT ni tawi pekee lenye washabiki na wafuasi wengi wa Mbowe kuliko wanachama hai wa chadema.

- Chadema SAUT ni tawi pekee linaloamini kuwa chadema haiwezi kuwepo bila mbowe kutokana na ukabila wa mweyekiti wake.

- Chadeama SAUT ni tawi pekee linalounga mkono Ruzuku ya chama kutumika makao makuu tu.

- Chadema SAUT ni tawi linaloongoza kwa usahaulifu kwani mara zote limekuwa likiheshimiwa na kutembelewa na viongozi pale tu wanapokuwa na shida zao binafsi au linapowataka wanafunzi hao kwenda kusimamia kura.

- Chadema SAUT ni tawi pekee linaloamini chadema itashinda kwa upepo tu.

NAMNA CHADEMA SAUT INAVYOTUMIKA

· December 8 Viongozi wa Chadema SAUT walihongwa pesa na timu ya Mbowe ili waite vyombo vya habari (Press conference) na kuutangazia umma kuhusu ziara ya mbowe Mwanza, pia waliagizwa kumpiga mkwara Mwenyekiti wa matawi ya chadema Mwanza Ngd Gwanchele kwa kumtishia kumshitaki, pia waliambiwa wasema kuwa watu wa mwanza wapo tayari kumpokea mbowe, wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu na kwamba watu hawataandamana kumpimga mbowe kama matamko yanavyosema. Hili lilifanyika na habari hii ilitangazwa kwenye vyombo vya habari ikiwemo Channel 10 habari Tarehe 9/12.2013 saa 1 na dk 3 usiku. Umeona wapi ziara ya kimkoa kwenye mkoa fulani ikitangazwa na viongozi wa tawi?

· Viongozi wa Chadema SAUT wahongwa pesa za kuandaa mkutano wa kumsafisha Mbowe atakapokuja Mwanza. Mkutano huo utafanyika jumamosi tarehe 15/12.2013 ambapo mbowe atakuwepo mkutanoni. Katika mkutano huo viongozi wa chadema SAUT watatakiwa kutoa tamko la kumuunga mkono mbowe na maamuzi yake pia kupinga tamko la kiongozi wa umoja wa matawi ya chadema Mwanza. Viongozi wa chadema SAUT watatakiwa kuwathibitishia wananchi imani yao kwa chama na pia kuunga mkono maamuzi yote ambayo yamefanywa na chama.

· Viongozi wa chadema SAUT wameahidiwa donge nono ikiwa watafanikiwa kumlinda mbowe asianikwe, kuchafuliwa na kuzomewa katika ziara yake ya Mwanza kama inavyotokea kwa Dr. Slaa huko Kigoma. Tayari viongozi wa Chadema SAUT wameshaandaa watu wa kumshangilia mbowe kwenye mkutano washangiliaji ambao watashangilia kila kitakachosemwa na mbowe hata kama hakina mantiki.

Ikumbukwe kuwa ni Chadema SAUT iliyopewa pesa ya kulipa vyombo vya habari tarehe 28/11/2013 ili watoe tamko la kuunga mkono maamuzi yaliyofanywa na kamati kuu, kupinga tamko la CHASO na kupinga matamko yote yaliyotolewa na wanamwanza kuhusu kuandamana kupinga maamuzi ya kamati kuu na ufisadi ndani ya chama. Tamko hilo lilitolewa tarehe 29/11/2013.

Hawa ndio wasomi wetu, watu wanaotegemewa kuwa dira na mwanga kwa wananchi ambao hawakupata bahati ya kwenda shule. Kama wao wanaweza kuburuzwa namna hii tutegemee nini miaka 10-20 ijayo chama kikiwa chini ya viongozi kama hawa?

Zoezi hili linaendeshwa na viongozi wa Chadema SAUT wakiongozwa na Kitaly Wilhad (Mwenyekiti), Lang’o Jackson (Katibu) na Nick Kilunga (Mpambe).

“Life is tough but it is tougher when you're stupid” (John Wayne)
 
Yani mi mtu mingine sijui ikoje! Hivi karagosi kama huyu akiandika bila kuzungumzia ukabila anajisikiaje, eti mwenyekiti wa chadema Sauti mchaga, so what , wachaga waliosambaa tanzania nzima (na wanahaki hiyo) utawachambua mpaka lini, mbona kule kwetu Tarime balozi wangu ni mchaga au kwa kuwa yeye ni CCM. Pum**baavu kabisa, ma mtu kama haya ni ya kunyonga kabisaa ka kale kazee kasariti ka Korea

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hao SAUT wanatumika tu kama, wakimaliza elimunyao na wakitaka kuhombea nafasi ndaninya chama wataona shughulinyake
Bado tuna safari ndefu! Hawa ndio wasomi ambao CCM inawalipa ili wapambane kwenye mitandao!!!
 
Tawi la chadema SAUT limejipanga kutumika kama kichaka cha kuficha aibu, ufisadi na uchu wa madaraka wa Mwenyekiti wa chadema taifa Nd. Freeman Mbowe. Matumizi ya tawi hili yamekuja siku chache baada ya tamko lililotolewa na mwenyekiti wa matawi ya Chadema Mwanza Mh. Gwanchele, tamko anbalo lilikemea ufisadi na uchu wa madaraka ndani ya chama ambapo tamko liliwataja Mbowe na Slaa kama vinara wa ufisadi huo wa chama na kuwataka wasikanyage mwanza kama hawapo tayari kujihuzuru na kupisha uchunguzi wa matumizi ya pesa za chama. Pia tamko la mwenyekiti wa matawi lilipinga maamuzi ya kamati kuu kuhusu kuwavua uongozi kinyume cha katiba: Kitila mkumbo, Mwigamba na Zitto Kabwe.

KWANINI MBOWE KAKIMBILIA CHADEMA SAUT

Mbowe ameona aitumie chadema SAUT kama kichaka chake cha kujifichia kwasababu ameshaona kuwa wananchi na wanachama wa chadema wameshagundua ufisadi unaoendelea katika chama, kwakuwa Mbowe anaamini kuwa wananchi huamini wasomi ndio maana mbowe ameamua kuwatumia viongozi wa chadema SAUT na hili limewezekana kwasababu tu mwenyekiti wa Chadema SAUT ni mchaga ambaye anaamini kuwa chadema si chama cha siasa balini CHAGA DEVELOPMENT MACHAME. Tayari wanafunzi wa vyuo vikuu wanaojitambua walishatoa tamko la kukataa ufisadi wa mbowe na kupinga maamuzi ya kamati kuu kuwafukuza watu kwa maslahi binafsi tamko ambalo lilitolewa na viongozi wa wanachama wa chadema vyuo vikuu (CHASO).

UTOFAUTI WA CHADEMA SAUT NA CHADEMA VYUO VIKUU VINGINE

- Chadema SAUT ni tawi pekee linalounga mkono hatua ya Mbowe kunyofoa kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi wa chama kwenye katiba chadema.

- Chadeama SAUT ni tawi pekee linaloamini kuwa mtu anayekosoa maovu yanayotendeka kwenye chama anatumiwa na ccm.

- Chadema SAUT ni tawi pekee linaloamini kuwa ili ufike mbali kwenye chadema ni lazima unyenyekee na ujipendekeze kwa viongozi.

- Chadema SAUT ni tawi pekee lenye washabiki na wafuasi wengi wa Mbowe kuliko wanachama hai wa chadema.

- Chadema SAUT ni tawi pekee linaloamini kuwa chadema haiwezi kuwepo bila mbowe kutokana na ukabila wa mweyekiti wake.

- Chadeama SAUT ni tawi pekee linalounga mkono Ruzuku ya chama kutumika makao makuu tu.

- Chadema SAUT ni tawi linaloongoza kwa usahaulifu kwani mara zote limekuwa likiheshimiwa na kutembelewa na viongozi pale tu wanapokuwa na shida zao binafsi au linapowataka wanafunzi hao kwenda kusimamia kura.

- Chadema SAUT ni tawi pekee linaloamini chadema itashinda kwa upepo tu.

NAMNA CHADEMA SAUT INAVYOTUMIKA

· December 8 Viongozi wa Chadema SAUT walihongwa pesa na timu ya Mbowe ili waite vyombo vya habari (Press conference) na kuutangazia umma kuhusu ziara ya mbowe Mwanza, pia waliagizwa kumpiga mkwara Mwenyekiti wa matawi ya chadema Mwanza Ngd Gwanchele kwa kumtishia kumshitaki, pia waliambiwa wasema kuwa watu wa mwanza wapo tayari kumpokea mbowe, wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu na kwamba watu hawataandamana kumpimga mbowe kama matamko yanavyosema. Hili lilifanyika na habari hii ilitangazwa kwenye vyombo vya habari ikiwemo Channel 10 habari Tarehe 9/12.2013 saa 1 na dk 3 usiku. Umeona wapi ziara ya kimkoa kwenye mkoa fulani ikitangazwa na viongozi wa tawi?

· Viongozi wa Chadema SAUT wahongwa pesa za kuandaa mkutano wa kumsafisha Mbowe atakapokuja Mwanza. Mkutano huo utafanyika jumamosi tarehe 15/12.2013 ambapo mbowe atakuwepo mkutanoni. Katika mkutano huo viongozi wa chadema SAUT watatakiwa kutoa tamko la kumuunga mkono mbowe na maamuzi yake pia kupinga tamko la kiongozi wa umoja wa matawi ya chadema Mwanza. Viongozi wa chadema SAUT watatakiwa kuwathibitishia wananchi imani yao kwa chama na pia kuunga mkono maamuzi yote ambayo yamefanywa na chama.

· Viongozi wa chadema SAUT wameahidiwa donge nono ikiwa watafanikiwa kumlinda mbowe asianikwe, kuchafuliwa na kuzomewa katika ziara yake ya Mwanza kama inavyotokea kwa Dr. Slaa huko Kigoma. Tayari viongozi wa Chadema SAUT wameshaandaa watu wa kumshangilia mbowe kwenye mkutano washangiliaji ambao watashangilia kila kitakachosemwa na mbowe hata kama hakina mantiki.

Ikumbukwe kuwa ni Chadema SAUT iliyopewa pesa ya kulipa vyombo vya habari tarehe 28/11/2013 ili watoe tamko la kuunga mkono maamuzi yaliyofanywa na kamati kuu, kupinga tamko la CHASO na kupinga matamko yote yaliyotolewa na wanamwanza kuhusu kuandamana kupinga maamuzi ya kamati kuu na ufisadi ndani ya chama. Tamko hilo lilitolewa tarehe 29/11/2013.

Hawa ndio wasomi wetu, watu wanaotegemewa kuwa dira na mwanga kwa wananchi ambao hawakupata bahati ya kwenda shule. Kama wao wanaweza kuburuzwa namna hii tutegemee nini miaka 10-20 ijayo chama kikiwa chini ya viongozi kama hawa?

Zoezi hili linaendeshwa na viongozi wa Chadema SAUT wakiongozwa na Kitaly Wilhad (Mwenyekiti), Lang’o Jackson (Katibu) na Nick Kilunga (Mpambe).

View attachment 126446

Haya mayowe ya nini Kijana?
 
Duh ! Huyu ndiye Msomi anayetaka aachiwe Chama. Yaani Mtu unashindwa Kujenga HOJA bila Kutaja CHAGA Tribe? LoL!
 
Back
Top Bottom