KERO Responded SAUT MWANZA: Udahili Unaongezeka, Miundombinu Iko Wapi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Jordan_5

Member
Joined
Oct 21, 2026
Posts
6
Reaction score
10
KERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA

Ninaomba kuwasilisha kero inayotukabili wanafunzi wa degree katika Chuo Kikuu cha St. Augustine cha Tanzania (SAUT), Main Campus, Mwanza.

Changamoto kubwa ni kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi na kozi zinazotolewa na chuo bila kuonekana kwa ongezeko linalolingana la miundombinu ya kujifunzia, hasa madarasa.

Kwa mfano, kwa upande wa kozi ya Sheria (LLB), mwaka wa tatu pekee tupo zaidi ya wanafunzi 850. Hapo mwanzo wanafunzi tulikua tukigawanywa katika madarasa mawili yaani Stream A na Stream B. Lakini kwa sasa tunasomea katika darasa moja ambalo kwa uhalisia halitoshelezi idadi ya wanafunzi waliopo.

Hali hii inasababisha wanafunzi tunakaa kwa kubanana, joto kuwa jingi na mazingira ya kujifunzia kutokuwa rafiki. Inakuwa vigumu kwa wanafunzi wote kupata nafasi nzuri ya kukaa na kufuatilia masomo kwa ufanisi.

Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba hali hii inaendelea huku tukihisi kuwa hatua za kutosha hazijachukuliwa na uongozi wa chuo kutatua changamoto hiyo.

Lengo langu si kuishambulia taasisi, bali kuibua changamoto hii ili ipatiwe ufumbuzi. naamini kuwa kuongeza udahili na programu za masomo kunapaswa kwenda sambamba na maandalizi ya miundombinu inayokidhi mahitaji ya wanafunzi.

Tunaiomba JamiiForums itusaidie kuifikisha kero hii kwa wahusika ili uongozi wa SAUT uweze kutoa ufafanuzi na kuchukua hatua zinazofaa, ikiwemo kuboresha madarasa au kurejesha mfumo wa kugawa wanafunzi katika streams kulingana na uwezo wa miundombinu.

KUSOMA UFAFANUZI WA SAUT soma hapa ~ SAUT wamjibu Mdau "Inapotokea changamoto mwanzo wa mwaka wa masomo, zinashughulikiwa ngazi ya Idara."
 
Nadhani kabla ya kufanya udahili, TCU walitembelea vyuo kukagua miundombinu husika itakayotumiwa na wanafunzi na pia kufanya sensa ya wahadhiri kuhakiki kama wanatosha kwa kila kozi. Sasa imekuwaje tena kuna mapungufu? Itapendeza kama utawasiliana na TCU moja kwa moja ili watoe majibu ya kuridhisha mkuu Jordan_5 . Inawezekana vyuo vinafanya udahili uliovuka idadi waliyopangiwa kwa tamaa ya fedha huku wanafunzi wakipata elimu chini ya kiwango.
 
KERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA
Ninaomba kuwasilisha kero inayotukabili wanafunzi wa degree katika Chuo Kikuu cha St. Augustine cha Tanzania (SAUT), Main Campus, Mwanza.
Changamoto kubwa ni kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi na kozi zinazotolewa na chuo bila kuonekana kwa ongezeko linalolingana la miundombinu ya kujifunzia, hasa madarasa.
Kwa mfano, kwa upande wa kozi ya Sheria (LLB), mwaka wa tatu pekee tupo zaidi ya wanafunzi 850. Hapo mwanzo wanafunzi tulikua tukigawanywa katika madarasa mawili yaani Stream A na Stream B. Lakini kwa sasa tunasomea katika darasa moja ambalo kwa uhalisia halitoshelezi idadi ya wanafunzi waliopo.
Hali hii inasababisha wanafunzi tunakaa kwa kubanana, joto kuwa jingi na mazingira ya kujifunzia kutokuwa rafiki. Inakuwa vigumu kwa wanafunzi wote kupata nafasi nzuri ya kukaa na kufuatilia masomo kwa ufanisi.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba hali hii inaendelea huku tukihisi kuwa hatua za kutosha hazijachukuliwa na uongozi wa chuo kutatua changamoto hiyo.
Lengo langu si kuishambulia taasisi, bali kuibua changamoto hii ili ipatiwe ufumbuzi. naamini kuwa kuongeza udahili na programu za masomo kunapaswa kwenda sambamba na maandalizi ya miundombinu inayokidhi mahitaji ya wanafunzi.
Tunaiomba JamiiForums itusaidie kuifikisha kero hii kwa wahusika ili uongozi wa SAUT uweze kutoa ufafanuzi na kuchukua hatua zinazofaa, ikiwemo kuboresha madarasa au kurejesha mfumo wa kugawa wanafunzi katika streams kulingana na uwezo wa miundombinu.
Mkuu

Upo sweya au nganza.
 
Nadhani kabla ya kufanya udahili, TCU walitembelea vyuo kukagua miundombinu husika itakayotumiwa na wanafunzi na pia kufanya sensa ya wahadhiri kuhakiki kama wanatosha kwa kila kozi. Sasa imekuwaje tena kuna mapungufu? Itapendeza kama utawasiliana na TCU moja kwa moja ili watoe majibu ya kuridhisha mkuu Jordan_5

kwakweli maana unatoa ada 1.5milion alafu unakuja kukaa chini na hiki ni chuo kikuuu
 
KERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA

Ninaomba kuwasilisha kero inayotukabili wanafunzi wa degree katika Chuo Kikuu cha St. Augustine cha Tanzania (SAUT), Main Campus, Mwanza.

Changamoto kubwa ni kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi na kozi zinazotolewa na chuo bila kuonekana kwa ongezeko linalolingana la miundombinu ya kujifunzia, hasa madarasa.

Kwa mfano, kwa upande wa kozi ya Sheria (LLB), mwaka wa tatu pekee tupo zaidi ya wanafunzi 850. Hapo mwanzo wanafunzi tulikua tukigawanywa katika madarasa mawili yaani Stream A na Stream B. Lakini kwa sasa tunasomea katika darasa moja ambalo kwa uhalisia halitoshelezi idadi ya wanafunzi waliopo.

Hali hii inasababisha wanafunzi tunakaa kwa kubanana, joto kuwa jingi na mazingira ya kujifunzia kutokuwa rafiki. Inakuwa vigumu kwa wanafunzi wote kupata nafasi nzuri ya kukaa na kufuatilia masomo kwa ufanisi.

Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba hali hii inaendelea huku tukihisi kuwa hatua za kutosha hazijachukuliwa na uongozi wa chuo kutatua changamoto hiyo.

Lengo langu si kuishambulia taasisi, bali kuibua changamoto hii ili ipatiwe ufumbuzi. naamini kuwa kuongeza udahili na programu za masomo kunapaswa kwenda sambamba na maandalizi ya miundombinu inayokidhi mahitaji ya wanafunzi.

Tunaiomba JamiiForums itusaidie kuifikisha kero hii kwa wahusika ili uongozi wa SAUT uweze kutoa ufafanuzi na kuchukua hatua zinazofaa, ikiwemo kuboresha madarasa au kurejesha mfumo wa kugawa wanafunzi katika streams kulingana na uwezo wa miundombinu.
Nenda MUM ukasome, ukapate elimu borq
 
Walishaonywa kitambo. Kwani hawataki kusikia?👇
Vyuo vyapewa onyo la kukimbilia wanafunzi | Mwananchi https://share.google/t8wnD5yECccz3tIci
 
Yaani wanafunzi 850 wanagawanywa kwenye srltream 2 za wanafunzi 450! Hiki ni chuo kikuu au ni shule ya kata?
 
kwakweli maana unatoa ada 1.5milion alafu unakuja kukaa chini na hiki ni chuo kikuuu
Malalamiko yako yana mashiko. Ingawa kwa upande wangu nilitamani kuona wawakilishi wenu wa madarasa (CR's) wanayafikisha haya malalamiko kwenye serikali yenu ya wanafunzi na pia uongozi wa chuo ili kupatiwa majibu sahihi, badala ya kuja kulalamikia humu JamiiForums.

Halafu mambo mengine mnatakiwa kuvumilia pale inapowezekana. Mimi niliwahi kusoma Udsm miaka hiyo! Changamoto za vyumba vya kusomea zilikuwepo! Ukienda kwenye hostel hali ndiyo ilikuwa tete kweli kweli. Pale Mabibo hostel tulibebana mwanzo mwisho Block D na E.
 
uongozi wa chuo hausikilizi mtu wanaleta porojo ni kama hawajali wanafunzi wao. kazi yao ni kupokea ada tu
 
Back
Top Bottom