CHADEMA sasa yamvuruga Zitto ACT-Tanzania

CHADEMA sasa yamvuruga Zitto ACT-Tanzania

Acheni kumchafua Zitto, yeye bado ni CDM damu hao akina Mwigamba na Kitila wajijue wenyewe.
Kwasasa ,Zitto anajipanga kutafuta suluhu na Viongozi wake ili tuwang'oe mafisadi NyiNyiEmu.

Zitto achana nao hawa wanaotumia jina lako kutafuta umaarufu fake.

Fake!, fake! fake!....... Mnatuchafulia nchi yetu kwa mambo yenu fake. Duh hadi uprofesa fake.
 
Porojo tu, zzk amewaacha solemba sasa anaomba suluhu, ninyi hamien ccm fasta.
 
kimsingi zitto hajajitokeza hadharani na kukiri kam yy ndiyebkaasisi ACT zilizopo ni allegations tu. kwani ni nani ndani ya cdm hana makosa? cdm hadi kufika hapo ilipo imepitia dhoruba nyingi kuliko hiyo issue ya zitto.nikwanini wasikae wakamaliza tofauti zao?

Yaani CDM iache kukaa na kupanga mikakati kwa ajili ya uchaguzi mkuu ikae na wasanii,wachumia tumbo,vigeugeu,wanafiki,wasaliti na mamluki wanaotumiwa na ccm kuvuruga harakati za ukombozi?
 
Acheni kumchafua Zitto, yeye bado ni CDM damu hao akina Mwigamba na Kitila wajijue wenyewe.
Kwasasa ,Zitto anajipanga kutafuta suluhu na Viongozi wake ili tuwang'oe mafisadi NyiNyiEmu.

Zitto achana nao hawa wanaotumia jina lako kutafuta umaarufu fake.

Fake!, fake! fake!....... Mnatuchafulia nchi yetu kwa mambo yenu fake. Duh hadi uprofesa fake.

Akafie mbele huyo mnafiki na msaliti MM
 
View attachment 216908

Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimehusishwa na harakati chafu za kukisambaratisha chama cha Alliance for Change and Transparent-TANZANIA (ACT-TANZANIA) ili kumkomoa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe anayehusishwa na chama hicho.

Akizungumzia uhusika wa CHADEMA kwenye mgogoro unaoendelea ndani ya ACT-TANZANIA, Katibu Mkuu wa muda wa ACT, SAMSON MWIGAMBA amesema Mwenyekiti wa muda wa ACT-TANZANIA, KADAWI LIMBU anashirikiana na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kukimaliza chama chao kutokana na kuhofia ACT ikiwa ni pamoja na kumshughulikia ZITTO ili aonekane ni mwanasiasa asiyefaa.

MWIGAMBA alisema baashi ya matamko na maamuzi ya chama yamekuwa yakiandaliwa kwenye moja ya CHUMBA CHA HABARI NCHINI AMBACHO MMILIKI WAKE NI MKEREKETWA WA CHADEMA.

Akithibitisha hilo, Mwigamba lisema ushahidi wa analolisema upo kwani Mwenyekiti wao ni MSHIRIKA KWENYE MOJA YA MAKUNDI YA MTANDAO WA KIJAMII WA WABUNGE WA CHADEMA, ambapo aliwahi kutuma ujumbe wenye kuwaeleza kuwa amekamilisha kazi ya KUWATIMUA yeye na prof.KITLA.

Chanzo: RAI NGUVU YA HOJA.
Hivi gazeti la Rai ndo limekuwa hivi siku hizi! maskini waandishi wetu!
 
Yaani CDM iache kukaa na kupanga mikakati kwa ajili ya uchaguzi mkuu ikae na wasanii,wachumia tumbo,vigeugeu,wanafiki,wasaliti na mamluki wanaotumiwa na ccm kuvuruga harakati za ukombozi?

Hakuna mikakati inaeweza kuza matunda chanya kama wapanga mikakati hawapo kitu kimoja ktk kufanikisha kuwa cdm wanafanya vizuri keenye uchaguzi ujao zitto hakwepeki. kumbuka ana watu wengi pia wanao msuport. suala lingine ni kwamba mchango wa zito ktk ukuaji wa cdm ni mkubwa sana. ni mwanchama wa cdm toka kijana mdogo sana tofauti na watu ambao leo hii mnawaamini na hawana hata miaka sita ndani ya cdm. wengine kipindi hicho walikuwa wafanya baishara, wengine walshauriwa tu wachukuwe form wagombee na wakashinda. tofauti na zitto ambae anakujuwa chadema toka muda mrefu ni mtu ambae amewahi kurisk hata maisha yake kwajili ya cdm leo hiinamwona takataka. bwana mkubwa cdm kwasasa ni chama kikubwa sana kina watu kila kona ya nchi na ukweli wanaujuwa. ni dhahiri kina genge linalo mfitinisha zitto na mbowe na malengo yao ni hasi kwa mstakabali wa cdm.
 
Nyie MAGAMBA mtakoma mwaka huu ; mnafikiri Zitto ni rahisi kama tikiti maji! Zitto ni level nyingine! Zitto sio rahisi kummaliza kama mlivyo mmaliza Amina Chifupa, muulize Ben Saa8, magudulia ya sum.u ameamua kuya-park stoo baada ya ku-prove failure kummaliza Zito.

Nadhani utakuwa na maradhi ya akili,mwambieni afute kesi kama yeye kidume!
 
Hakuna mikakati inaeweza kuza matunda chanya kama wapanga mikakati hawapo kitu kimoja ktk kufanikisha kuwa cdm wanafanya vizuri keenye uchaguzi ujao zitto hakwepeki. kumbuka ana watu wengi pia wanao msuport. suala lingine ni kwamba mchango wa zito ktk ukuaji wa cdm ni mkubwa sana. ni mwanchama wa cdm toka kijana mdogo sana tofauti na watu ambao leo hii mnawaamini na hawana hata miaka sita ndani ya cdm. wengine kipindi hicho walikuwa wafanya baishara, wengine walshauriwa tu wachukuwe form wagombee na wakashinda. tofauti na zitto ambae anakujuwa chadema toka muda mrefu ni mtu ambae amewahi kurisk hata maisha yake kwajili ya cdm leo hiinamwona takataka. bwana mkubwa cdm kwasasa ni chama kikubwa sana kina watu kila kona ya nchi na ukweli wanaujuwa. ni dhahiri kina genge linalo mfitinisha zitto na mbowe na malengo yao ni hasi kwa mstakabali wa cdm.

Hao Watu wengi kama anao si afute kesi wamufuate huko kwenye genge lake la wasaliti? Akafie mbele
 
Hakuna mikakati inaeweza kuza matunda chanya kama wapanga mikakati hawapo kitu kimoja ktk kufanikisha kuwa cdm wanafanya vizuri keenye uchaguzi ujao zitto hakwepeki. kumbuka ana watu wengi pia wanao msuport. suala lingine ni kwamba mchango wa zito ktk ukuaji wa cdm ni mkubwa sana. ni mwanchama wa cdm toka kijana mdogo sana tofauti na watu ambao leo hii mnawaamini na hawana hata miaka sita ndani ya cdm. wengine kipindi hicho walikuwa wafanya baishara, wengine walshauriwa tu wachukuwe form wagombee na wakashinda. tofauti na zitto ambae anakujuwa chadema toka muda mrefu ni mtu ambae amewahi kurisk hata maisha yake kwajili ya cdm leo hiinamwona takataka. bwana mkubwa cdm kwasasa ni chama kikubwa sana kina watu kila kona ya nchi na ukweli wanaujuwa. ni dhahiri kina genge linalo mfitinisha zitto na mbowe na malengo yao ni hasi kwa mstakabali wa cdm.

Kama anafitinishwa na hajalijua hilo akatoka hadharani na kutoa kauli ya kujitenga nao basi ni mtu mpumbavu asiyejielewa
 
CCM niwaaminia wamefaulu kumtoa mtoto wao ACT kafara ili wawaondowe kwa Mhongo na ESCROW yake ili nambo yatulie kabla ya Bunge kuanza !!
 
acha upotashaji jamaa yangu, hakuna alie mzuia kufanya siasa nje ya cdm, yeye mwenyewe ndio king'ang'anizi, kwani hujui kuwa amefungia kesi kuzuia uanachama wake, au unajichetua tu maksudi

kufungua kesi na kuomba zuio la mahakama ilo asifukuzwe uanachama ni haki yake na ilikuwa lazima afanye hivyo kwakuwa anaamini haki haikutendeka wakati wa kufanya maamuzi ya kimvua uanachama
 
Inakuwa vp Mwigamba anasema kuwa ukitaka kuimaliza ACT ndio unakuwa unamkomoa Zitto -ambaye ni mwanachama wa chama kingine yaani Chadema?

mwigamba atoke huko chumbani atuambie waziwazi kuhusu uanachama wa zitto ACT na kwakuwa sam anajiita katibu mkuu wa ACT atutajie hadi namba ya kadi ya uanacha wa zitto na mikakati otherwise tutakuwa tunafanyia kazi hearsay
 
chadema haiwezi kuwa salama kwa kuendelea kuhangaika na kummaliza zitto, kama chama kikuu cha upinzania kinapaswa kutambua kuwa habari za migogoro yake na zitto yamesha pita hivyo wajikite ktk uchaguzi mkuu ujao. viongoz wenye upeo mdogo wa kufikiri hupoteza muda katika kutafuta ushindi ktk mambo yasiyo na maslai ya taifa kusambaratisha ACT has nothing to do with the prosperity of this country. by the way zama tulizo nazo si za kuangalia chama bali utashi wa mtu binafsi wa kutatua matatizo ya wananchi. hata zitto awe mbaya kiasi gani bado taifa hili na wanakigoma wanamuhitaji kuliko walivyo wahi kumuhitaji huko nyuma.Umuhimu wa zitto katika taifa hili ni mkubwa kuliko mbunge yeyote wa chadema, hili ni dhahili kutokana na historia na mambo aliyo wahi kuyafanya kwa taifa.usaliti wake kama kweli upo hauwezi kuondoa umuhimu wake katika kutetea maslahi ya wanyonge. Viongoz wa chadema wanafanya yote hayo kwa maslai ya chama, hii inafaida gani kwetu...........

unajuwa counsel tatzo letu watz tunapenda siasa za majitaka, majungu na kukomoana kiukweli zitto kaisaidia sana cdm kuifikisha hapo ilipo na wanao mponda zitto wote wana mrefer mwigamba na hata huyo mwigamba matamshi yake kuhusu zitto yamejaa mashaka
 
Zitto ni mzito kweli kweli hadi ACT!. Mwishowe atakuwa mzigo.
 
chadema ni chama cha ajabu sana kazi yao kuvuruga wenzao japo zitto naye hata akivurugwa sawa tu maana ni mpuuzi tu,kwanza mwizi na mla rushwa wa kwanza.

teeeh naona umekula BAN... usiwachokoze wakubwa wa humu ndugu yangu ..haya sasa umepigwa BAN wenzio leo tunagawiwa hela huku JF
 
Back
Top Bottom