CHADEMA sasa yamvuruga Zitto ACT-Tanzania

CHADEMA sasa yamvuruga Zitto ACT-Tanzania

zzk ana asili ya kupenda madaraka nafas aliyokuwa nayo cdm ni ndogo?
 
Tamko la 14 hili tangu mwaka mpya umeanza na bado tunasubiri tamko la nyankurungu Hahahaha
 
Epuka sana kutumia kichwa kufugia tu nywele

Nimekuelewa kama hilo hapo chini huioni na kuielewa!


quote_icon.png
By gsu

chadema ni chama cha ajabu sana kazi yao kuvuruga wenzao japo zitto naye hata akivurugwa sawa tu maana ni mpuuzi tu,kwanza mwizi na mla rushwa wa kwanza.
 
Once a Traitor, Always a Traitor!

Msaliti Haachi Asili.. Mwigamba Alikuwa Anaropoka Hihi Hivi Kimkakati Wakimshambulia Mbowe na Chadema Uongozi wake Uonekane wa HOvyo Wafanye Mapinduzi ya Kukiteka Chama... Kwisha habari yao.. Hawafai hata CCM!!
 
hizi siasa bwana...mimi nilishauri CDM wamalize tofauti zao na zitto. Zitto kaifanyia mengi cdm leo hii msihesabu ubaya wa zitto kwa kuona mabaya tu vipi kuhusu mchango wake kuhusu kuikuza cdm. ndani ya cdm kuna wanadiplomasia walio bobea malizeni tatizo la zitto na cdm. kama mnaona hafai mwacheni akafanye siasa anapo ona panafaa

Toa ujuha wako ww nani kamzuia zito wako kufanya siasa na nani kakwambia cdm inamuda na huyo tahira wako mshirikina

Wameumbuka wamekosa sababu kwanini wasiihusishe ccm ila cdm yaani chama kabisa cha upinzani adui yao ni upinzani? this is non sense at the foot!
 
View attachment 216908

Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimehusishwa na harakati chafu za kukisambaratisha chama cha Alliance for Change and Transparent-TANZANIA (ACT-TANZANIA) ili kumkomoa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe anayehusishwa na chama hicho.

Akizungumzia uhusika wa CHADEMA kwenye mgogoro unaoendelea ndani ya ACT-TANZANIA, Katibu Mkuu wa muda wa ACT, SAMSON MWIGAMBA amesema Mwenyekiti wa muda wa ACT-TANZANIA, KADAWI LIMBU anashirikiana na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kukimaliza chama chao kutokana na kuhofia ACT ikiwa ni pamoja na kumshughulikia ZITTO ili aonekane ni mwanasiasa asiyefaa.

MWIGAMBA alisema baashi ya matamko na maamuzi ya chama yamekuwa yakiandaliwa kwenye moja ya CHUMBA CHA HABARI NCHINI AMBACHO MMILIKI WAKE NI MKEREKETWA WA CHADEMA.

Akithibitisha hilo, Mwigamba lisema ushahidi wa analolisema upo kwani Mwenyekiti wao ni MSHIRIKA KWENYE MOJA YA MAKUNDI YA MTANDAO WA KIJAMII WA WABUNGE WA CHADEMA, ambapo aliwahi kutuma ujumbe wenye kuwaeleza kuwa amekamilisha kazi ya KUWATIMUA yeye na prof.KITLA.


Chanzo: RAI NGUVU YA HOJA.

mbona nyepesi yuko kimya,kama ni mwanachama?
 
Chadema haina muda wa kushughulikia chama kidogo kama ACT! Wakae wasuluhishe tofauti zao lakini wasitafute mchawi! Haitawasaidia!
 
Zitto ni mwasiasa wa pekee anayeendana na CHADEMA. Wamalize tofauti zao uchaguzi wa mwaka huu aungurumishe ndani ya CHADEMA.


BP
 
wameamua kuonesha rangi zao kua sasa sio siri tena Zitto ni ACT
 
hizi siasa bwana...mimi nilishauri CDM wamalize tofauti zao na zitto. Zitto kaifanyia mengi cdm leo hii msihesabu ubaya wa zitto kwa kuona mabaya tu vipi kuhusu mchango wake kuhusu kuikuza cdm. ndani ya cdm kuna wanadiplomasia walio bobea malizeni tatizo la zitto na cdm. kama mnaona hafai mwacheni akafanye siasa anapo ona panafaa

utamaliza vipi tofauti zenu na mtu aliyeanzisha chama kipya kwa hasira?
 
Ni kweli kabisa, lakini kuna tatizo gani kama CHADEMA walishamsusa? Wamuache tu kijana wa watu afanye siasa, huko ndiko kuna riziki yake.

Mshauri afute kesi,kinachomfanya ang'ang'ania cdm ni nini?
 
Mwigamba ana akili kuliko mbowe na slaa

Hatujawahi kuwa na mapungufu ya watu wenye akili ktk nchi yetu ila tuna upungufu wa watu wanaotumia akili kuleta Tija MF.watu wanaofikiri il upate uongozi lazima ufanye fitina za siri dhidi ya viongozi waliopo
 
Back
Top Bottom