CHADEMA sasa yamvuruga Zitto ACT-Tanzania

CHADEMA sasa yamvuruga Zitto ACT-Tanzania

kufungua kesi na kuomba zuio la mahakama ilo asifukuzwe uanachama ni haki yake na ilikuwa lazima afanye hivyo kwakuwa anaamini haki haikutendeka wakati wa kufanya maamuzi ya kimvua uanachama

we jamaa kigeugeu sijapata ona umesema cdm wamwache akafanye siasa anapoona panafaa, nikauuliza kwani nani amemzuia, then hapa unakuja na sarakasi nyingine, hakuna aliebisha kuwa kwenda mahakamani ni haki yake
 
unajuwa counsel tatzo letu watz tunapenda siasa za majitaka, majungu na kukomoana kiukweli zitto kaisaidia sana cdm kuifikisha hapo ilipo na wanao mponda zitto wote wana mrefer mwigamba na hata huyo mwigamba matamshi yake kuhusu zitto yamejaa mashaka

Aende zake kama anadau malipo aseme.
Tenda wwma uende zako usingoje shukrani.
Kung'ang'ana mwisho ataonekana si lolote wala chochote kwenye chama.
Aende tuone pengo lake.
Tutakukumbukaaa daima milele lakini nenda
Kulalama ni kufuru!.
 
Hao Watu wengi kama anao si afute kesi wamufuate huko kwenye genge lake la wasaliti? Akafie mbele

naamini zitto hawezi kufanya hivyo maana bado ana mapenzi na cdm chama kilicho mlea na kumkuza kisiasa
 
we jamaa kigeugeu sijapata ona umesema cdm wamwache akafanye siasa anapoona panafaa, nikauuliza kwani nani amemzuia, then hapa unakuja na sarakasi nyingine, hakuna aliebisha kuwa kwenda mahakamani ni haki yake

hapa kuna mambo mawili mkuu kwanza kama cdm wanaumiza kichwa kwanini zitto alienda kumpa support lipumba si sawa ukizngatia ushirika wa ukawa uliopo sahzi pili kama suluhu ya zitto na uongozi wake cdm imshindikana ni muhimu aachwe akafanye siasa anapo ona panamfaa.
 
Kwani hiyo ACT-Tanzania ikivurugwa kuna shida?
Sidhani kama kuna shida yeyote maana "Dhahabu lazima ipite kwenye moto mkali ili iwe dhahabu"
Mbona CHADEMA ilishatabiriwa na kifo na mikakati lukuki kuandaliwa ili kuimaliza lakima chama kinaendelea kupaa?
 
Huihitaji degree kujua CDM hahihusiki na mvurugano uliopo act now, mlimtafuta mwenyekiti wa muda wenu, mkijua wakati utakapo fika, zzk aje achukue madaraka na mkasahau kwamba madaraka hua ni matamu sana, jamaa yenu Limbu kanogewa, hataki kumwachia mtu mwingine hicho kiti! CDM inahusikaje hapo? Kama ni hofu nina hakika CDM haiwezi kumwogopa mtu 1, walipomfukuza zzk chamani walijua kabisa asingeweza kuacha siasa cause ipo kwenye damu yake and hence ni lazima angetafuta chama, iwe kipya au ambavyo vipo tayari kwenye daftari la msajiri wa vyama vya siasa, iweje wamwogope mtu 1 na sio taasisi; Ki ukweli kama kuna mtu niliyedhani ni mwana mapinduzi wa kweli na a visionary leader, mwigamba Samson nilikuweka kwenye kundi, kile ulichokifanya na unachokifanya sasa hakika binafsi nimekudharau sana, niseme tu ukweli, kwasasa simlaumu tena Yuda kwa kumsaliti YESU, nimeelewa kumbe kweli pesa inao uwezo wa kumnunua yoyote, zamani nilijua Mwigamba hanunuliki, I was wrong, very wrong!
 
Mbona CHADEMA walishamuondoa ZITO siku nyiiiingi,ACT acha ijifie tu kwani hakikuwa chama cha upinzani bali nyumba ndogo ya CCM
Hii vita ni ngumu, Chadema lazima wafanye hivyo la sivyo ZITTO atawaumiza. SIASA ni kuwahiana.
 
Wewe unamjua mungu wewe??????usingeongea uchafu kama huu.Badala ya kumlaumu seth aliyeiweka ikulu kiganjani unalaumu kamati.B7 hazitzkusaidia kuwa mzalendo
mkuu mimi nadhani zitto acha avurugwe tu kazidi upuuzi juzi bungeni kupitia kamati ya PAC wamehongwa hela na mengi wamekuja kutupotosha kwa kutetea rushwa walizokula.

Jambo lingine baya zaidi zitto anapenda sana ushirikina mtu kama huyo hafai kwenye jamii yenye kumuamini mungu kama yetu akae kwa shetani na michadema yao pamoja na ICT yote majuha tu.
 
hizi siasa bwana...mimi nilishauri CDM wamalize tofauti zao na zitto. Zitto kaifanyia mengi cdm leo hii msihesabu ubaya wa zitto kwa kuona mabaya tu vipi kuhusu mchango wake kuhusu kuikuza cdm. ndani ya cdm kuna wanadiplomasia walio bobea malizeni tatizo la zitto na cdm. kama mnaona hafai mwacheni akafanye siasa anapo ona panafaa
acha kuwadanganya
cdm lazma imteme kikwelikweli zzk maana zzk alijifanya ni mkubwa kuliko chama
zzk ni mroho sana wa madaraka
zzk anajijenga mwenyewe kwa gharama za taasisi (cdm)
zzk hawezi kujenga wala kuongoza taasisi, anaweza kujijenga mwenyewe tu

we need strong taasisi/MIFUMO (like NEC, VYAMA, MASHIRIKA) and not strong people (LIKE mugabe, fat boy of north KOREA, PUTIN)

ZZK aende huko ACT tuone ataifikisha wapi kwa miaka kumi
 
sikweli kuwa zitto anajijenga mwenyewe kwa gharamaza chama. wakati wa buzwgi scandal chadema mikoani ilikuwa baadhi ya maeneo tu lakini huyo zzk mnae mwona si chochote alizunguka nchi nzima kufanya amsha amsha na hata baada ya pale kashiriki sana kuijenga cdm.
 
ACT mna sumu kali sasa mnasingizia kukanyagwa uli muitoe sumu.Kuna wahuni hata wakiwa na wake zao kitandani wanaita zitto---zitto--pumbafu
 
Zitto alinyea kambi, alipo anajuta kwa nini aliungana na kina Mwigamba,

kwa sasa Zitto anahaha kutafuta angalau upenyo wa kuisogelea Chadema, anatamani kukiri kosa lakini anashindwa mwisho ameamua kujisogeza kupitia CUF.

Chadema itafanya kosa la mwaka 2015 ikiwa itaamua kumkaribisha tena Zitto.
 
Yangepita apa ni zomea zomea tu! mwigamba alisema"sisi ni watu tumetangaulia kuandaa njia yuaja ambaye hatusitahili kulegeza kamba za gidam ya viatu vyake" limbu akauma taya sasa anaoesha.
ziko zit to ziko atabaki njia panda.
 
msajili wa vyama anatakiwa kukifuta hiki kikundi cha wahuni ACT mara moja.
 
hizi siasa bwana...mimi nilishauri CDM wamalize tofauti zao na zitto. Zitto kaifanyia mengi cdm leo hii msihesabu ubaya wa zitto kwa kuona mabaya tu vipi kuhusu mchango wake kuhusu kuikuza cdm. ndani ya cdm kuna wanadiplomasia walio bobea malizeni tatizo la zitto na cdm. kama mnaona hafai mwacheni akafanye siasa anapo ona panafaa

kwani kuna aliyemzuia kuondoka CDM? si walitaka kumvua uanachama yeye akakimbilia mahakamani kuzuia. sasa amekuwa malaya anataka kote CDM ale ubunge na PAC huku anajiandaa na ACT apate uenyekiti. HAFAI POPOTE.
 
sikweli kuwa zitto anajijenga mwenyewe kwa gharamaza chama. wakati wa buzwgi scandal chadema mikoani ilikuwa baadhi ya maeneo tu lakini huyo zzk mnae mwona si chochote alizunguka nchi nzima kufanya amsha amsha na hata baada ya pale kashiriki sana kuijenga cdm.
hakuwa na hela ya kuzunguka,chama kilimgharamia kuzunguka kueleza wizi kwenye mikataba ya madini,hivi akili yako ni ndogo kujua hili!zitto alianza kuhongwa baada ya buzwagi,...
 
chadema haiwezi kuwa salama kwa kuendelea kuhangaika na kummaliza zitto, kama chama kikuu cha upinzania kinapaswa kutambua kuwa habari za migogoro yake na zitto yamesha pita hivyo wajikite ktk uchaguzi mkuu ujao. viongoz wenye upeo mdogo wa kufikiri hupoteza muda katika kutafuta ushindi ktk mambo yasiyo na maslai ya taifa kusambaratisha ACT has nothing to do with the prosperity of this country. by the way zama tulizo nazo si za kuangalia chama bali utashi wa mtu binafsi wa kutatua matatizo ya wananchi. hata zitto awe mbaya kiasi gani bado taifa hili na wanakigoma wanamuhitaji kuliko walivyo wahi kumuhitaji huko nyuma.Umuhimu wa zitto katika taifa hili ni mkubwa kuliko mbunge yeyote wa chadema, hili ni dhahili kutokana na historia na mambo aliyo wahi kuyafanya kwa taifa.usaliti wake kama kweli upo hauwezi kuondoa umuhimu wake katika kutetea maslahi ya wanyonge. Viongoz wa chadema wanafanya yote hayo kwa maslai ya chama, hii inafaida gani kwetu...........

Ww punguani kweli, kwanza unatudhalilisha wenye carier ya hilo jina lako uliyoyaandika na hilo gazeti nyote matahira cdm inahusikaje kwenye mgogoro wao, na kama cdm inahusika mi ntakuwa wa kwanza kuwapongeza kwa uwezo wa kijasusi

Period
 
Back
Top Bottom