Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.
Umeingia lini kwenye payroll ya Nepi?