CHADEMA, sasa twende na mfumo wa 1 by 3; tumechoka sasa

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,979
6,784
Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa

CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi

Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.

Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua

MAPENDEKEZO

Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa

MAANA YAKE
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie

Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP

Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao

MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU

THANKS
 
Umekula lakini?
 
Uzuri wa nchi yetu correctional facilities huwa hazijai. Karibuni ili tuondoe kelele na fujo mitasni.
 
Kama akili ndio hii,taifa lina hasara kubwa sana
 
Hii pia ni mbinu ya kisiasa?
 
Lengo ni nini hasa? Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema?

I mean lazima kuwepo na higher goal worthy of sacrifice. Watu tupo tayari hata kufa kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya dini na hata kwa ajili ya mke na watoto. But come on, mtu ujitese kwa ajili ya mbowe? chadema? F****!

Haya Slaa alishawahi kuvunjwa hadi mkono kwa ajili ya mbowe, alipata nini?
 
Ni suala la muda tu, kwani wangapi achana na kina firauni ,hawa hawa wenzetu tena humu humu Afirika ,viongozi waliokuwa na ushupavu na kulindwa na kkuonekana ipo na amani ,kilipobadilika hakukuweza tena kupauliwa paa lote lilikuja chini.\

wacheni kujifanya mna nguvu saaana, humo humo ndani ya CCM humohumo ndani ya polisi mkae mkijua sio wote wanafurahia mnayoyafanya na kujiona hamna wa kuwagusa, mnafanya mnavyotaka ,ndio ile kulewa madaraka yupo wapi Polepole anajikaza kisabuni. Bashiru ndo humsikii kabisaa wamepotea gafla watu ambao walikuwa wanalindwa na mabunduki na wakijiona wao ndio wenye CCM ,majilabu mengiii . Wanalana wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom