CHADEMA, sasa twende na mfumo wa 1 by 3; tumechoka sasa

Lengo ni nini hasa? Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema?

I mean lazima kuwepo na higher goal worthy of sacrifice. Watu tupo tayari hata kufa kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya dini na hata kwa ajili ya mke na watoto. But come on, mtu ujitese kwa ajili ya mbowe? chadema? F****!

Haya Slaa alishawahi kuvunjwa hadi mkono kwa ajili ya mbowe, alipata nini?
Lengo, ni moja tu tufungwe wote, maana hata mwenzetu alietangulia kuwekwa huko na uonezi , na police wanaitaka chadema/ Sasa watuweke wote ndani au wafuate sheria, why MMOJA awe ndani KWA kile twakigania wengine tuwe huru, haiwezakanika
 
Vipi police wakipiga risasi hewani badala ya kuelekea juu zikakata kona zikatua kwenye vichwa vya makamanda wote 3 huoni kuwa chama kitakuwa kimepoteza nguvu kubwa ya kukipigania chama?maana yake watu tusikariri kuwa kwa sababu kuna kukamatwa na kuwekwa lock up pia tusisahau kuwa kuna risasi za polisi zinazokata kona na kutua vichwani mwa wananchi na vichwani.
 
Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema? Aanze Yericko Nyerere,kipind cha maandamano ya mange, Yericko Nyerere Alihamasisha ,siku ya tukio akajificha uvunguni
Hatujilazi police kwamba bila sababu, sababu wanatuonea Sana chadema ,nasi tuko tiyari kufungwa , sio wafungwe wachache tu ,bali tufungwe wote, maana hata wale walioko ndani wapo KWA hoja moka tu ,tetea taifa basi , mfano Mbowe anakosa nini katika Maisha yake ya KILA siku?
 
Vipi police wakipiga risasi hewani badala ya kuelekea juu zikakata kona zikatua kwenye vichwa vya makamanda wote 3 huoni kuwa chama kitakuwa kimepoteza nguvu kubwa ya kukipigania chama?maana yake watu tusikariri kuwa kwa sababu kuna kukamatwa na kuwekwa lock up pia tusisahau kuwa kuna risasi za polisi zinazokata kona na kutua vichwani mwa wananchi na vichwani.
Thats nimesema MPANGO uwe wazi ,dunia ijue na watz wajue ,kupiga risasi zikakupata na ukafa sio shida ,shida na kulala kwenye kunguni bila hatia

Kifo Cha risasi ni Kitam kuliko kunyongwa, kuumwa cancer,COVID n.k ,kwani nani ataishi milele
 
Lengo, ni moja tu tufungwe wote, maana hata mwenzetu alietangulia kuwekwa huko na uonezi , na police wanaitaka chadema/ Sasa watuweke wote ndani au wafuate sheria, why MMOJA awe ndani KWA kile twakigania wengine tuwe huru, haiwezakanika
Wanaowekwa ndani wanawekwa ndani kwa sababu ya upumbavu wao tu. Eti tunapambania katiba mpya, (in gwajiboy's voice) kwani katiba ya zamani ina shida gani? Eti tunataka kuikomboa Tanzania, kuikomboa kutoka kwa nani?

Mwaka 2015 chadema ilishinda majimbo mengi ikawa na wabunge kibao bungeni. Hayo majimbo waliyoshinda chadema yana maendeleo gani mapya yanayotuonjesha kwamba nchi nzima ikitawaliwa na chadema italeta kipya tofauti na cha zamani?
 
Ndio ni upumbavu kisa katiba mpya,ila wewe sio mjinga kisa waona katiba mpya sio ya maana, una akili kweli wewe
 
Hatujilazi police kwamba bila sababu, sababu wanatuonea Sana chadema ,nasi tuko tiyari kufungwa , sio wafungwe wachache tu ,bali tufungwe wote, maana hata wale walioko ndani wapo KWA hoja moka tu ,tetea taifa basi , mfano Mbowe anakosa nini katika Maisha yake ya KILA siku?
Mbowe anakosa nini katika maisha yake ya kila siku? Anakosa vingi, ndio maana hata uenyekiti tu kuuachia anapata tabu sana. Mwanzoni tulipokuwa tunakisupport chadema enzi zile tulifanya hivyo tukiamini katika nguvu ya hoja kinzani katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu mbele.

Tulipokuja kustuka kwamba wenzetu wametegesha tu saccoss la kupata ruzuku ndio utwambie tujilaze mahabusu kisa chadema?
 
Kajipange upya ,fisadi papa, hata aibu huna, mtu mzima wewe jua hilo
Mbowe anakosa nini katika maisha yake ya kila siku? Anakosa vingi, ndio maana hata uenyekiti tu kuuachia anapata tabu sana. Mwanzoni tulipokuwa tunakisupport chadema enzi zile tulifanya hivyo tukiamini katika nguvu ya hoja kinzani katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu mbele.

Tulipokuja kustuka kwamba wenzetu wametegesha tu saccoss la kupata ruzuku ndio utwambie tujilaze mahabusu kisa chadema?
 
Machame style.
We ACHA izo CCM anzia msingi mpaka juu, NI MAFISADI PAPA ,na Mungu anasema atwapa stahili yao

Msione SSH rais atembea FANYA filam, eti tangaza utalii why asimwachie mtu mwingine hata waziri wake wa Mambo ya nje? Ni ufisadi mtupu pale, asema bwana
 
Watanzania hatuwezi kupigania haki zetu na tupo tayari hata kununua haki zetu na utamaduni wa kuwapigania wenzetu hatuna tulichonacho ni roho mbaya, chuki na kuombeana mabaya
 
Vipi police wakipiga risasi hewani badala ya kuelekea juu zikakata kona zikatua kwenye vichwa vya makamanda wote 3 huoni kuwa chama kitakuwa kimepoteza nguvu kubwa ya kukipigania chama?maana yake watu tusikariri kuwa kwa sababu kuna kukamatwa na kuwekwa lock up pia tusisahau kuwa kuna risasi za polisi zinazokata kona na kutua vichwani mwa wananchi na vichwani.
Walikuwa wakipiga hewani zikakata kona zikatua kwenye vichwa vya makamanda watatu

😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Hahaaha watu wamechoka sasa hamna namna.
Sana aiseee. Mpaka vijana wetu wanawaza city vya ajabu namna hii. But the bottom line ambayo tunatakiwa tujue ni kwamba maendeleo inatakiwa mtu upambane binafsi kwanza serikali inafanya kidogo tu sehemu yake.

Vipi lakini kwema???
 
Huu ni upumbavu sana.

Kama kuna wakati nimevikubali vyombo vya dola,ni pale walipomkamata Mbowe na kupewa kesi ya ugaidi.

Yaani nchi imetoka kwenye misuko suko ya utawala uliopita,nchi bado inapigwa na covid,yeye anataka kutangaza ubabe na kuleta hali ya mtafaruku usio wa lazima kisa Rais ni mwanamke?

Kama angetangaza ubabe wake kwa jiwe mi ningemwelewa ila alichokitaka amekipata.
 
Chama hakina mwelekeo kinaendeshwa kwa remote control ya matukio au watu maradical wanaowazuga wapo pamoja kumbe wana lengo lao. Kigogo kawapeleka wee wamekuja kugutuka to o late sasa wapo akina maria sarungi , fatuma Ponda na yule yule aliyekuja na.mzee wa.manvi akawatelekezea akawa anazunguka kwenye kampeni na bwana ubeligiji akiwa anatoa dua za ajabu ajabu kabisa juzi tena huyo huyo kaonekana ndio.msemaji wa familia ya lile gaidi. Nchi imejaa wanafiki hiii
 
Sana aiseee. Mpaka vijana wetu wanawaza city vya ajabu namna hii. But the bottom line ambayo tunatakiwa tujue ni kwamba maendeleo inatakiwa mtu upambane binafsi kwanza serikali inafanya kidogo tu sehemu yake.

Vipi lakini kwema???
Kwema sana. Ila sisi tunaopambana kuhusu haki ndio tuna maisha mazuri. Ukiachana na wenye maisha mazuri sana wanaokandamiza haki za wengine. Class ya Hohe hahe hawana habari na swala la demokrasia na maendeleo maana kwao kupata mlo tu ni issue. Haya mengine kwao ni makubwa
 
Back
Top Bottom