PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 376
- 735
CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini mpaka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.
Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu. Tunataka sasa na sisi kusikia sera za Tundu Lissu na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani mpaka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.
Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.