CHADEMA sasa si ombi tena, Tunahitaji TV moja ya kurusha Mikutano ya Tundu Lissu

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
376
735
CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini mpaka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.

Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu. Tunataka sasa na sisi kusikia sera za Tundu Lissu na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani mpaka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.

Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.
 
Ndio, kwani wanachoshindwa ni nini... Kama ni pesa tunao wahisani wa kutosha
Chadema ipo hoi kiuchumi, ndio maana bakuli linapitishwa kila mara, halafu Mbowe ameshakula hela za wabunge wenzake waliokatwa for five good years. Yule mchizi yupo kimaslahi, anajua nini anafanya.
 
Kiukwlei wanboa mbaya, mara DAr mpyaa, mara chadema media, mara bavicha tv. kina chouzi zaidi ni chadema medioa hata baada ya siku mbili au ttau hawaweki video yeyote.
 
Wachukue citizen au K24
Kwa kanuni mpya zilizopo sidhani kama hivyo vituo vya nje vinaweza kupata nafasi, kila chombo cha habari kama kinatumia mwandishi wa kigeni ni lazima athibitishwe na tcra hiyohiyo inayobana vyombo kutangaza habari za wapinzani, suruhisho ni kuandaa video clips za kila mkutano zisambazwe mtandaoni, takwimu zinaonesha mitandao ina audience kubwa kuliko tv na redio
 
CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini paka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.

Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu.Tunataka sasa na sisi kusikia Sera za Tundu Lisu , na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani paka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.

Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.

Its too late.
 
Chadema ipo hoi kiuchumi, ndio maana bakuli linapitishwa kila mara, halafu Mbowe ameshakula hela za wabunge wenzake waliokatwa for five good years. Yule mchizi yupo kimaslahi, anajua nini anafanya.
Hujaombwa kuchangia, kama huna cha kuchangia ni bora ukafunga hilo domo lako chafu
 
Kwa kanuni mpya zilizopo sidhani kama hivyo vituo vya nje vinaweza kupata nafasi, kila chombo cha habari kama kinatumia mwandishi wa kigeni ni lazima athibitishwe na tcra hiyohiyo inayobana vyombo kutangaza habari za wapinzani, suruhisho ni kuandaa video clips za kila mkutano zisambazwe mtandaoni, takwimu zinaonesha mitandao ina audience kubwa kuliko tv na redio
Wawatumie clips tu za mikutano, si LAZIMA walete wahandishi wao huku
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom