Nothing is late,
CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini mpaka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.
Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu. Tunataka sasa na sisi kusikia sera za Tundu Lissu na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani mpaka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.
Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.
Hakunaga kuchelewa duniani, pale tu unapogundua kuwa upo wrong way, ndio muda muafaka wa kuchukua hatuaHili unalolisemea leo hapa kama CHADEMA yako wangekuwa 'serious' nalo kutokana na 'Mazingira' yaliyopo wangejipanga tokea zamani. Mmefeli!!!
Demokrasia hii mkuu, tuvumiliane. Kitu kidogo unamwaga Omo, ukipewa nchi utaweza kweli. Halafu ukileta uzi kubali hoja za watu, matusi peleka kwenu.Hujaombwa kuchangia, kama huna cha kuchangia ni bora ukafunga hilo domo lako chafu
Asante mkereketwa viongozi fanyieni kazi ushauri huu.CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini mpaka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.
Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu. Tunataka sasa na sisi kusikia sera za Tundu Lissu na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani mpaka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.
Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.
Kabla ya kutaka Lissu aonekane kwenye video kwanza kasome kanuni za habari na uendeshaji wa vyombo vya habari....
Hata chadema wangekuwa na TV yao ingewapa wakati mgumu kurusha matangazo ya Lissu akihutubia!
Lissu ni tatizo hakuna atakaye kubali kurusha matamshi yake
Magufuli hawezi kuruhusu hio. na hao dstv hawatakubali watapelekewa invoice na TRA ya mabilioni.CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini mpaka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.
Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu. Tunataka sasa na sisi kusikia sera za Tundu Lissu na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani mpaka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.
Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.
Tulishasema kuna mtu ndani ya chama anatuhujum kwani kusajiri TV online inachukua siku ngapi?? Kitengo cha habari chadema mtueleze hapa. Vinginevyo mtakuwa mnamhujumu Tundu LissuCHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini mpaka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.
Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu. Tunataka sasa na sisi kusikia sera za Tundu Lissu na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani mpaka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.
Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.
Mbona akina WAITARA NA WABUNGE WENGINE CHADEMA walikuwa wanakatwa mishahara kwa ajili ya kutunisha mfuko wa kampeni ziko wapi?? Si mtumie hizo au zimepigwa??
Tukianzisha TV yetu - Tutawezaje kulalamika kuwa hatuna UHURU wa kuongea kwa wanaotutuma.CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini mpaka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.
Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu. Tunataka sasa na sisi kusikia sera za Tundu Lissu na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani mpaka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.
Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.
Haina mjadala hiiNdo hivyo, watusikie