CHADEMA sasa kuingia Milton Keynes! Kama una dongo lilete tulirushe

Kesho ndio ile siku wengi wameisubiri,
Mkutano utaanza saa kumi jioni na habari njema ni kwamba mkutano utafunguliwa kwa kisomo kutoka kwa sheikh na sala kutoka kwa mchungaji
Hii ni kwa ajili ya kudumisha umoja na kuliombea taifa letu amani.
Tunaipenda nchi yetu
tangazo+la+milton+keynes+4.png
 
Naamini kuanzia mwaka 2014 izo harakati za uko ughaibuni zitahamia uko nyumbani tena VIJIJINI ndani.
 
Naomba nyie mlioko Ugaibuni, msisahau kuja kujiandikisha ili mpige kura, ninahakika Kura za Online magamba hawatazikubali na wala hawatkuwa tayari kuiweka hiyo tecknolijia though ipo ndani ya uwezo wao kabisa, please mje mjiandikishe huku Bongo!
 
Naomba nyie mlioko Ugaibuni, msisahau kuja kujiandikisha ili mpige kura, ninahakika Kura za Online magamba hawatazikubali na wala hawatkuwa tayari kuiweka hiyo tecknolijia though ipo ndani ya uwezo wao kabisa, please mje mjiandikishe huku Bongo!
Mkuu mageuzi ni lazima tuko pamoja
 
Umemsahau yule aliyegeuka kuwa jiwe la chumvi (Slobodan Milosovic)yule alikuwa kama Carl Peters, ila leo yuko wapi?
 
vipi m4c Africa!?, tuanzie nchi jirani kama Uganda, Kenya nk!!, kaba mpaka penalt, mpaka magamba ya dondoke pu!!, bado wanakoroma.
 
Ukiweza kujitoa ndani ya boksi utaweza kuona suala hili katika mwanga ulio bora.

Kwa nchi changa na maskini kama yetu, kuna faida nyingi tu kwa chama kujijenga nje ya mipaka ya nchi.

Kwanza, huko nje ya nchi kuna watu wengi tu wenye potential ya kuchangia kiuchumi (m'beba boksi anaweza kuchangia chama 100 $ ama 50 € ambazo mwanachama alieko nyumbani hawezi kutokana na hali ya uchumi). Pili kujenga chama sio kuchangia ama kupiga kura tu, kuna issue za strategising and extrapolating potential for growth kwa siku za usoni. Isitoshe ni muhimu kujenga interest ya kinachoendelea nyumbani just incase watu wenye potential ya kuleta mabadiliko wataamua ama kulazimika kurudi nyumbani.
hivi kuna chama chochote cha uk au usa kina tawi hapa TZ. Utaahira.
 
Mkuu, vijijini wanaelewa vizuri na wameipenda sana M4C, mbona walielewa vizuri habari ya TANU (Tanganyika african national union)na wakati huo wasomi walikuwa wachache? au hujui kuwa TANU ni kiingereza pia?

Yah naelewa, ila tofauti ya hapo ni kwamba TANU ni jina la chama wakati M4C ni operesheni sasa sijui kama wanaelewa maudhui ya hiyo slogan
 
Back
Top Bottom