CHADEMA Ruvuma kimenuka

CHADEMA Ruvuma kimenuka

Status
Not open for further replies.
mkuu 6gates unaona jinsi watanzania walivyo majuzi wa siasa feki za ubabe za slaa na mbowe kuminya demokrasia.fuime anajitambua mungu ampe life agombee 2015

Teh teh teh! Masalia kwa kutema pumba hamjambo
 
Mbowe na Slaa wamejitia kitanzi wenyewe kwa uchu na tamaa isiyo na mfano.

Kuna kila uwezekano kuwa Mbowe anaogopa kuwachia uenyekiti mpaka ampate ataeficha siri zake za ubadhirifu, kwani waraka unasemaa yeye ndio "purchaser" na yeye ndio "supplier".

Hapo sasa.

"kuwachia"=kuachia. "ataeficha"=atakaeficha.
 
Naona wasemaji wa cdm wamejaa kila mahali safari hii mpaka lumumba ha ha ha ha ......mtahangaika sana,njaa mbaya sana
 
Wewe kitambiheshima unaubongo wa samaki, nani alikwambia mtu anapojiunga na chama anafuata mtu. watanzania walikwisha jifunza wakati wa enzi za Mrema. Siku hizi watu wanafuata sera. Hao unaodai wanamfuata Zito au diwani fulani, ikitokea watu hao wamekufa na wao watakufa?

Habari unazoleta ni za kutunga na wala hazina ukweli wowote buku7 wewe.
 
Mnaanzisha THREAD mna Comment wenyewe, TUWAELEWAJE?
watu wamesha wapuuza kwa sababu YA HOJA DHAIFU sana na THREAD za KITOTO.

CHADEMA haifi WALA HAISAMBARATIKI LEO:
hii ni Peoples Power, ni lazima MAGAMBA yapate joto 2014 - 2015
 
....Yaani.....kama sinema vile....ngoja....tucheke....tuburudike.......tuongeze siku za kuishi......
 
Kama Chadema wanashindwa kutatua migogoro yao watawezaje kutatua kero za watanzania.
 
Hakuna mgogoro hapo, kuna mambo ya msingi ya kujadili, kwa mfano tanesco kimenuka mgawo wa umeme mpaka mortuary lakini wabongo tupo busy na chadema

Acha kuwehuka kaka! unafikiri utamaliza mgao wa umeme kwa mjadala ndani ya JF?!
 
CMD wakisema wategemee udhaifu wa chama tawala kushika dola badala ya uimara wao kushika dola ni kuendelea kuangamiza maisha ya mtanzania...ni bora ccm dhaifu itawale milele kuliko chadema dhaifu itawale miaka mitano...chama imara ni taasisi sio mtu...kama mtu anajiona mafanikio yote ya chama lazima yapatikane kupitia yeye anajidanganya
 
Acha kuwehuka kaka! unafikiri utamaliza mgao wa umeme kwa mjadala ndani ya JF?!

Wewe ndiyo hujawehuka kwasababu mgogoro wa chadema unaweza kumaliza kwa mjadala ndani ya JF
 
Wewe ndiyo hujawehuka kwasababu mgogoro wa chadema unaweza kumaliza kwa mjadala ndani ya JF

Watanzania ni multitasking, sio lazima kusimamisha mambo yote na ku deal na issue moja.

Hoja yako ya kutaka watu wajadili umeme unaweza kuifungulia topic ili ijadiliwe lakini sio kwa kutaka kuziba watu midomo kujadili other issues.

Usijifiche mikundeni! Udikteta hauna nafasi Tanzania.
 
hapa noma! Huyu fuime namfahamu sana, mpiganaji wa kweli, mara nyingi pickup yahe hujaza spika na kutangaza mikutano ya chadema hd vijijini. Mbongoro ni yupi mhusika kati mgombea mzoefu na huyu aitwaye mdogo(mc)? Cha msingi washauriwe kuwa watulivu hd utetezi uwasilishwe! Vinginevyo mtasikia tu "nchimbi weeee, ahaaaaa x 2, chukua jimbo"


Wewe ndiyo unamjua ni mpiganaji.
Mizigo ya Zitto hatutaki hata kuona machoni mwa Watanzani wapenda mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:
Jifurahisheni tuu ila hapa hatuchoki hadi kieleweke
tatizo kubwa watz wengi hawajielewi wala kujitambua
Ni kwa nini usijiulize wazungu waliwezaje na adi sasa wameweza kupata huduma zote
Ni kwa nini wazungu wanaishi maisha mazuri na haki sawa kwa wote why not us?
hii yote ni kwa sababu ya maccm imeakikisa elimu wanayoipata watz ni ya kukremu tuu
Sio elimu yakumwezesha mtanzania kujielewa, kujitambua na ata kufikiri anapopata na tatizo
Huwa mara nyingi watz tuna kurupuka bila kujua nini hatima yake
Ukiona hata majirani wameanza kushtuka ujue wameshatuelewa
Embu nenda ata masokoni uone watz wasivyojua kuhoji au kuuliza haki zao
Utakuta wafanyabiashara wanalipa kodi tena kubwa kila mwezi ila soko ni cafu ajabu
hakuna ata mahali pa kukaa mvua ikinyesa
Wafanyabiasara hawa hawa wanashindwa kujielewa na kuhoji kulikoni kodi zetu kila mwezi
Tutafika tuu na Mungu zaidi
Watz wenangu tuamke
Khaa!! uwe unasoma heading kwanza ndiyo unapost. Siyo unakurupuka tu na maneno yako ya kukrem. Kieleweke nini?? tutafika wapi?? tuamke kwa lipi?? :A S 39:
 
Yaani book 7 wamejaa kwenye huu uzi na wanajibizana wenyewe kwa wenyewe. Hizo propaganda zenu kwenye mitandao hatazisaidia chochote kwani wapiga kura asilimia 90 wala hawaoni huu ujinga mnaondekeza hapa. Amini usiamini.

Tiba
 
"kuwachia"=kuachia. "ataeficha"=atakaeficha.

Ndivyo mwalimu wako alivyokufundisha? mimi Kiswahili ni lugha mama kwangu. Hayo ni "matamshi" yanatofutiana. Huwezi kufananisha hiyo na "nimealikwa karamu" ukaandika "nimealikwa kalamu", ingawa pia ni matamshi lakini yanabadilisha maana kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom