CHADEMA Ruvuma kimenuka

CHADEMA Ruvuma kimenuka

Status
Not open for further replies.
Emanuel Nchimbi Architect wa mauji via Policcm na mfadhili wa Zitto lazima atakuwa na mkono wake hapo! Tunajua kwa Maigizo haya yangeanzia Ruvuma, Kigoma na Iramba... CDM ni Imara na kamwe haitakuwa na mpasuko kwa kuwafukuza wasaliti....
 
Hivi kumsimamisha mtu uwanachama mbona omo nyingi Hamad wa cuf kimya himid wa ccm kimya zitto povu jingi mpango umefeli sasa mnachanganyikiwa dadadeki
 
hao wote wanataka kutumia ugomvi wa zito na chadema kupata umaharufu chadema ruvuma bado kaz ipo kuchukua jimbo.
 
hapo nakuelewa vizuri sana tatzo cdm wanandekeza njaa sana ndo maana wanatekwa kirais kama kuku kwenye mtego wa mahindi fuime njaa tupu kibaraka wa nchimbi, mkae mkao wa kula mamilion ya lowasa yanakuja wenzenu mby wameyabeba wanajengea wameksahau hadi chama..
 
hivi mtu unaweza kuhamia CDM kwa ushawishi wa LEMA?
 
hivi mtu unaweza kuhamia CDM kwa ushawishi wa LEMA?
...Lema kichwa wewe, si unaona alivyosaidia kuupata waraka? mbona hamjadili tena kitofari alichomrushia Mwigamba? akina Kitila na PhD yake anaomba radhi kwa sababu ya Lema.
 
songea haichukui jimbo kutokana na mbogolo kung'ang'ania kugombea kuoita chadema,mfamaji hakuna kitu
 
yeyote ambaye yuko cdm kwasababu ya mtu mwingine afadhali aondoke hata leo .
 
Hali ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Ruvuma kina hali mbaya kufuatia mwenyekiti wake wa mkoa Joseph Fuime na Katibu wa jimbo Mbogolo kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu sasa.

Chanzo cha mgongano ni ubunge 2015 ambapo Joseph Fuime ana mpango wa kugombea nafasi hiyo huku nae Mbogolo anaitaka kwa udi na uvumba.

Imefikia hatua baadhi ya wanachama wameanza kufungasha virago na kutimkia vyama vingine.

Aidha baadhi ya madiwani wamegawanyika ambapo wengine wako upande wa Fuime na wengine kwa Mbogolo.

Tarehe 28.11.2013 chama hicho kinafanya kikao na moja ya agenda inaedaiwa kuwa itahusu msimamo wa CHADEMA kuhusu kunyang'anywa madaraka ya chama Zitto Kabwe.

Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya CHADEMA kimetonya kuwa swala la Zitto limeongeza mpasuko ambapo kundi kubwa la viongozi wa wilaya na mkoa liko upande wa Zitto Kabwe,kundi hilo linaongozwa na Fuime

Hadi hv sasa ninashindwa kuweka kwenye matabaka nabaki najiuliza kama CDM ni chama cha siasa
 
...Lema kichwa wewe, si unaona alivyosaidia kuupata waraka? mbona hamjadili tena kitofari alichomrushia Mwigamba? akina Kitila na PhD yake anaomba radhi kwa sababu ya Lema.

siasa za mkumbo zitapoteza washabiki wote siku moja!!
 
ili wafuasi wa chama na wafuasi wa watu wajulikane,lazima haya yatokee.
 
inategemeana na uweo wako wa kufikiri,kama unafuata sera utahamia kwa kuwa sera ni za chama c za Lema,kama unafuata mtu huwezi
 
chadema ukijua maneno pipozi pawa, fisadi, magamba na msaliti tayari wewe umekuwa mwanasiasa. Hakuna sharti jingine ni hilo tu mkuu. Ndo maana kumejaa wenye jazba na wavimba uso tupu!
Sio bure unafikiri kitambi ndio ujanja...
Mtu atakaye bishana na wewe ni mjinga.
Hauko sawa upstairs.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom