Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Mkuu Bramo, kula tano!!! Hayo ni matokea ya mtu kutaka kuzama huwa anajitupatupa huku na kule!! Kwa kifupi mathread yao yote tangu SALITI na HAINI lao ZITTO litupwe nje ya uongozi wa chama basi wanatapatapa kama wanataka kukata roho!!! Hakika roho zao hazitatoka kabisa ili waendelee kuteseka mioyo yao tu. Hawakutegemea kuona kuwa Saliti hajaungwa mkono hata kidogo na wanachadema!!! Pili, masuala ya watu kuanza kuonesha nia ya kugombea mbona hata kule CCM kila kukicha ni URAIS na ubunge tu!!! Watu kila wakati kwenye media wanakashifiana!!! Atueleze hali ya Lowasa, Sumay, Sitta, Januari Makamba, yani list ni ndefu!!! Wameshaanza kuhonga wengine hadi makanisani na misikitini. Alete habari nyingine