Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Mlipanga siku nyingi kumfukuza Zitto. Mlianzisha visa kitambo. Mlichokifanya juzi ni mpango wenu wa muda mrefu.
Na tushamtosa tayari...kama vp mkaribishe kwako akuoe kabisa..

chadema ukijua maneno pipozi pawa, fisadi, magamba na msaliti tayari wewe umekuwa mwanasiasa. Hakuna sharti jingine ni hilo tu mkuu. Ndo maana kumejaa wenye jazba na wavimba uso tupu!
gwanda acha kulialia hapa unapewa ukweli wa mambo yanavyokwenda huku Ruvuma. Na kesho Mungu akipenda nitawatwanga updates za kufa mtu. Nami ni mjumbe kwenye kikao hicho.
chadema ukijua maneno pipozi pawa, fisadi, magamba na msaliti tayari wewe umekuwa mwanasiasa. Hakuna sharti jingine ni hilo tu mkuu. Ndo maana kumejaa wenye jazba na wavimba uso tupu!
Unasubiri wewe na nani?
na bado twasubiria kiwake mambo yaanze rasmi.
Na tushamtosa tayari...kama vp mkaribishe kwako akuoe kabisa..
Wewe ni taka tu ndani ya chadema hatukutambui kabisa unapga kelele za bure usitufuatilie.hatishiki mtu hapa...waondoke tu!
Kaama wewe mwemye avatar ya utupu!malaya mkubwa we!
hali ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Ruvuma kina hali mbaya kufuatia mwenyekiti wake wa mkoa Joseph Fuime na Katibu wa jimbo Mbogolo kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu sasa. Chanzo cha mgongano ni ubunge 2015 ambapo Joseph Fuime ana mpango wa kugombea nafasi hiyo huku nae mbogolo anaitaka kwa udi na uvumba. Imefikia hatua baadhi ya wanachama wameanza kufungasha virago na kutimkia vyama vingine. Aidha baadhi ya madiwani wamegawanyika ambapo wengine wako upande wa Fuime na wengine kwa mbogolo. Tarehe 28.11.2013 chama hicho kinafanya kikao na moja ya agenda inaedaiwa kuwa itahusu msimamo wa chadema kuhusu kunyang'anywa madaraka ya chama Zitto Kabwe. Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya chadema kimetonya kuwa swala la Zitto limeongeza mpasuko ambapo kundi kubwa la viongozi wa wilaya na mkoa liko upande wa Zitto Kabwe. Kundi hilo linaongozwa na Fuime
Wewe ni taka tu ndani ya chadema hatukutambui kabisa unapga kelele za bure usitufuatilie.