johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,534
Tukumbuke TB Joshua hana CCM wala Chadema akishuka Tanzania KILA goti linapigwa, wote ni mashahidi.So tuache udini si wa kuushabikia kabisa.Kweli kamanda sio jambo la kushabikia ila limeota mizizi chadema.. Tazama wenye sauti chadema ni kina nani
Lizaboni kwanini hamuishi kujadili vyama vilivyokufa?Kauliza swali la maingi bila ya kuegemea upande wowote. Nashangaa wewe unakuja na suala la udini
kwani hukumwona kwenye ile picha ya kamati kuu iliyozaa UKUTA?
kwani hukumwona kwenye picha ya kamati kuu iliyozaa UKUTA?
Prof Safari anatengwa sababu ya dini yake na asili yake.. Ukanda na udini ndio sera ya Chadema.
tutampa habar kama unamtafutaNamba za simu zinagonga ukuta.
Shikamoo bi mkubwaHilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Ukuta?
Haha kwahiyo zile kauli zenu za CDM kuwa chama cha makatoliki hamuitaki tena?Hilo linawezekana kwani hata Slaa walimtenga kwa ukatoliki wake.