Mpigie simu kama unamtakaHilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Hivi kwanini kila uchao Lumumba hamuishi kuiota CHADEMA? Kila thread ya mwana Lumumba ni CHADEMA/UKAWA vipi habari za tingatinga hazilipi?Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Prof Safari anatengwa sababu ya dini yake na asili yake.. Ukanda na udini ndio sera ya Chadema.
Aaaaahaaa, kijana mzima?Juzi tu hapo alikuwa kwenye Mkutano wa KK sambamba na Lowassa, Mbowe na wengineo, Unataka kuniambia hukumuona??
Au unataka kuuliza swali gani labda?
Na wewe nikuulize swali, Bernad Membe yuko wapi?
BACK TANGANYIKA
DaahProf Safari anatengwa sababu ya dini yake na asili yake.. Ukanda na udini ndio sera ya Chadema.
Wasomi hawana nafasi Chadema!Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Aaaaahaaa, kijana mzima?
Wewe ni mke wa mtu, mume wa mtu unamuulizia wa nini? au Kwa Sababu mke wake ni mpole?Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Hilo si jambo la kushabikia hasa sisi wanaCCM, tukiipanda mbegu hii habari ya ZAMU inaweza kubaki HISTORIA, kalagabahoProf Safari anatengwa sababu ya dini yake na asili yake.. Ukanda na udini ndio sera ya Chadema.
Nimecheka sana nani mke wa mtu? .huyo hawezi kuolewa huyo ila nashangaa anamuulizia mume wa mwenzie kunani?Wewe ni mke wa mtu, mume wa mtu unamuulizia wa nini? au Kwa Sababu mke wake ni mpole?
mbona humuulizia malecela? au Kwa kuwa unaujua mziki wa mkewe ?Tulia na mumeo bana.
kwani hukumwona kwenye ile picha ya kamati kuu iliyozaa UKUTA?Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
kwani hukumwona kwenye picha ya kamati kuu iliyozaa UKUTA?Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.
Udini unakunuka kila sehemuHilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.