Katika muendelezo wa matukio ya aibu yanayoikumba kambi ya Upinzani chini ya Ujemedari wa Lowassa na Mbowe ni pamoja na kushindwa kuratibu shughuli za maandalizi na mapokezi ya mikutano yao ya hadhara kwa umakini hali iliyopelekea viongozi wa ngazi za chini za Mikoa na wilaya kuingia kwenye madeni makubwa ambayo hawana uhakika wa kuyalipa katika kugharamia mikutano ya kampeni ya Mgombea Urais wa UKAWA ndg Edward Lowassa.
Aibu ya kwanza ilikuwa maandamano ya Mtwara na Lindi ambapo viongozi wa UKAWA walishindwa kuwalipa fedha yao ya mafuta na posho ya elfu kumi na tano waliyowaahidi waendesha mabodaboda.
Aibu Nyingine ni hii ya tabora ambapo Viongozi wa CHADEMA na CUF, Ndugu Anderson Mukono na Issa Mtende wako kwenye wakati mgumu wakikabiliwa na deni la shilingi 692,100/= ambayo walikopa mafuta ya Boda boda zaidi ya mia tatu kwa ajili ya mapokezi ya mgombea wa UKAWA ndg Edward Ngoyai Lowassa.
NB: Sheria mpya ya TCRA na Vigezo vimezingatiwa...!!