- Thread starter
- #21
Mbowe asiingie kwenye kampeni za Lissu, huyu ni bingwa wa kulalamika, ameshazoeleka. Hana impact ni crying babyMnamfundisha uwoga tu!!!
Aongeze nguvu ya Kampeni, na mbowe SASA aanze kumuunga mkono...
Mbowe asiingie kwenye kampeni za Lissu, huyu ni bingwa wa kulalamika, ameshazoeleka. Hana impact ni crying babyMnamfundisha uwoga tu!!!
Aongeze nguvu ya Kampeni, na mbowe SASA aanze kumuunga mkono...
Duu! Mahera ampelekee Magufuli wito wa kujibu malalamiko ya Chadema?Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk
Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa kuzingatia sheria ili tuzidi kuupima Uhuru wa NEC dhidi ya Boss wao.
Kupeleka malalamiko NEC ya jpm ni sawa na kupeleka kesi ya ngedere kwa nyani.Pale NEC wamejazwa makada hatariii.yule mjaluo aitwaye mahera anaongoza
Unampa mchawi mtoto amlee. Akiwa Arusha, Mahera alisema wanaolalamika wapeleke malalamiko yao.Apeleke malalamiko kwa team manager wa Magufuli necccm
Labda matumizi ya lugha za makabira ila sijui vitisho na rushwa ya ujenzi wa barabara hapo mtachemka. Magufuli bado ni rais wa JMT ana mamlaka yote ya urais. Tena anavyotoa amri huwa anasema kabisa kuwa sasa anatumia kofia ya urais.Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk...
Hebu nipe ufahamu, Magufuli yupo ziara ya kiserikali au ya kichama?Labda matumizi ya lugha za makabira ila sijui vitisho na rushwa ya ujenzi wa barabara hapo mtachemka. Magufuli bado ni rais wa JMT ana mamlaka yote ya urais. Tena anavyotoa amri huwa anasema kabisa kuwa sasa anatumia kofia ya urais.
Shida ni kwamba Mgombea bado anakuwa na majukumu ya URAIS. kwa hiyo bado anatekeleza ilani ya chama ya miaka mitano ambayo itaisha 28/October.Nadhani upo umuhimu mkubwa sana wa kuwasilisha malalamiko kwa sababu zifuatazo.
1) Hadi Sasa NEC wanajifanya wanatenda haki, Tunataka tupate ushahidi usio na Shaka ya namna haki hiyo inavyotendeka. Je watamwita JPM kwenye Kamati ya Maadili?...
Nimesikia pia na Ubungo interchange wamefungua.Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk...
Si wanajiandikia wenyewe. Kwani pingamizi kwa ACT Zanzibat ziliwekwa na na nani?Kwani wanavyoning'inia na Lissu ni nani kapeleka malalamiko? Hawa watu we waache tu. 28th Oct, tuna jambo letu.
Usaliti anafanya Makamba, Nape na KinanaMnamfundisha uwoga tu!!!
Aongeze nguvu ya Kampeni, na mbowe SASA aanze kumuunga mkono,
Mbowe amekuwa tofauti Sana na uchaguzi wa 2015? Alitembea kwenye Kampeni na Lowasa kila Jimbo Hadi Kampeni zinaisha
Je, kunakausaliti mbowe anakafanya Ka Siri Siri?
Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk
Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa kuzingatia sheria ili tuzidi kuupima Uhuru wa NEC dhidi ya Boss wao.
Anaweza kuandika lakini.Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk.
Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa kuzingatia sheria ili tuzidi kuupima Uhuru wa NEC dhidi ya Boss wao.
Kesi ya mbuzi hakimu hawezi kuwa fisi.Apeleke malalamiko kwa team manager wa Magufuli
Ndiyo, ni muhimu. Wakumbushwe kufuata sheria walizotunga wenyewe
Hata wakipeleka malalamiko NEC watayafanyia kazi basi.Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk.
Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa kuzingatia sheria ili tuzidi kuupima Uhuru wa NEC dhidi ya Boss wao.