Uchaguzi 2020 CHADEMA pelekeni Malalamiko NEC ya Ukiukwaji wa Maadili ya Uchaguzi yanayofanywa na Mgombea Urais kupitia CCM

Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk

Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa kuzingatia sheria ili tuzidi kuupima Uhuru wa NEC dhidi ya Boss wao.
Duu! Mahera ampelekee Magufuli wito wa kujibu malalamiko ya Chadema?
Litakuwa ajabu la 8 la dunia
 
Kupeleka malalamiko NEC ya jpm ni sawa na kupeleka kesi ya ngedere kwa nyani.Pale NEC wamejazwa makada hatariii.yule mjaluo aitwaye mahera anaongoza

Wapeleke tu hata kama nyani ataikalia kesi ya tumbili...

Wapeleke kwa uwazi hatua kwa hatua ili kuweka ushahidi...

Hawataweza kushughulikia malalamiko ya CCM, NRA au NEC yenyewe dhidi ya Tundu Lissu/CHADEMA wakati huo huo wakiyaacha ya Tundu Lissu/CHADEMA dhidi ya Magufuli kama mgombea, CCM, Polisi na NEC wenyewe kwa kuwa na double standards ktk kusimamia uchaguzi huu...

Kwa hiyo kupeleka ni ushahidi mzuri wa kuwakaba koo. Na nijuavyo mimi, Tundu Lissu/CHADEMA walisha faili kitambo malalamiko hayo...!!!
 
Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk...
Labda matumizi ya lugha za makabira ila sijui vitisho na rushwa ya ujenzi wa barabara hapo mtachemka. Magufuli bado ni rais wa JMT ana mamlaka yote ya urais. Tena anavyotoa amri huwa anasema kabisa kuwa sasa anatumia kofia ya urais.
 
Hebu nipe ufahamu, Magufuli yupo ziara ya kiserikali au ya kichama?
 
Nadhani upo umuhimu mkubwa sana wa kuwasilisha malalamiko kwa sababu zifuatazo.

1) Hadi Sasa NEC wanajifanya wanatenda haki, Tunataka tupate ushahidi usio na Shaka ya namna haki hiyo inavyotendeka. Je watamwita JPM kwenye Kamati ya Maadili?...
Shida ni kwamba Mgombea bado anakuwa na majukumu ya URAIS. kwa hiyo bado anatekeleza ilani ya chama ya miaka mitano ambayo itaisha 28/October.

Labda tubadili katiba ili Kampeni zinapoanza nchi isiwe na RAIS au akabidhiwe mtu mwingine majukumu ya RAIS. Mtu neutral kama Shangazi hivi au Musiba.
 
Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk...
Nimesikia pia na Ubungo interchange wamefungua.
Ni muhimu tulalamike.
 
Mnamfundisha uwoga tu!!!

Aongeze nguvu ya Kampeni, na mbowe SASA aanze kumuunga mkono,

Mbowe amekuwa tofauti Sana na uchaguzi wa 2015? Alitembea kwenye Kampeni na Lowasa kila Jimbo Hadi Kampeni zinaisha

Je, kunakausaliti mbowe anakafanya Ka Siri Siri?
Usaliti anafanya Makamba, Nape na Kinana
 
Siku Lissu akienda kujieleza bila shaka atakuwa na barua ya malalamiko mkono mwingine. Kuna mengi sana ya Magufuli ya kulalamikia.
Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk

Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa kuzingatia sheria ili tuzidi kuupima Uhuru wa NEC dhidi ya Boss wao.
 
Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk.

Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa kuzingatia sheria ili tuzidi kuupima Uhuru wa NEC dhidi ya Boss wao.
Anaweza kuandika lakini.
 
Hata wakipeleka malalamiko NEC watayafanyia kazi basi.
Mfano wa NEC kukosa uhuru umepelekea kuondoa uhalali kwa ccm kusimamisha mgombea, mgombea halali wa kiti sha urais kisheria ni TAL pekee.
Sasa kama NEC walipuuza pingamizi la kisheria dhidi ya wagombea wa CCM na CUF, je watawezaje kumuhukumu bosi wao katika suala la maadili? Tena bosi mwenyewe wamemuweka kimagumashi lakini sheria ilishamtoa kwenye kinyang'anyiro.
 
Back
Top Bottom