Chadema njooni mchukue kadi yenu

Chadema njooni mchukue kadi yenu

Wewe inaonyesha kabisa akili zako zimekaa kimagamba magamba. Wewe sio cdm chadema hakuna wajinga kama wewe.

kwa mtazamo wenu sio wote tunaopinga cdm ni vilaza! Hongereni!
 
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!
Huo ufanisi wa kazi unatoka wapi wakati saa hizi upo JF unapika majungu tu? au hii ndio kazi yako?
 
cdm wanipe kazi mm kazi ?? nadhani utakuwa umeghafikirika !

Nadhan unahtaji kazi ya ziada sema tu sio unatoka povu hapa wewe lafa. Mbona mmedanganya maisha bora kwa kila mtanzania na mmeshndwa dah nawaonea huruma 2015 cjui mtakuja na cd gani ya uongo.
 
kuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume.je dawa ya kuongeza uwezo wa kufikiri ipo?
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Hawa binamu zko wamepewa kazi gani na CCM? KUBEBA JAMBIA LA MBAO?

ccm-viongozi-singida-DSC043501.jpg
 
kuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume.je dawa ya kuongeza uwezo wa kufikiri ipo?
Ukiweza kuimudu njaa ni dawa tosha, uwezo mdogo wa kufikiri unasababishwa na njaa ndio inapelekea unanunuliwa Laptop na modem kuja kujicholesha humu mitandaoni.
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Watu wanazikopa hizo kujengea majumba mahawara zao. Kalaga baho.
 
Hawa binamu zko wamepewa kazi gani na CCM? KUBEBA JAMBIA LA MBAO?

ccm-viongozi-singida-DSC043501.jpg

hawa wanazi wa magamba ndo wanaöngoza kwa ufukara mm namjua huyu mwenezi wa wilaya ya tmk yani kupga debe kote hata elimu hana na kubwa zaid anaishi kwenye nyumba mbavu za mbwa na yeye anasubiri maisha bora kweli ukiwa ccm lazima uwe mvivu wa kufikiri
 
Ukiweza kuimudu njaa ni dawa tosha, uwezo mdogo wa kufikiri unasababishwa na njaa ndio inapelekea unanunuliwa Laptop na modem kuja kujicholesha humu mitandaoni.

hapa lazima niseme kitu. Sina njaa nashukuru Mungu, ila kwa upuuzi huu wa akina zitto hunielezi kitu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom