CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

sikiliza rafiki watanzania tunataka kutoka kwenye enzi za ujima kuamini uchawi yeye anaturudisha............................. ishu za panya na uchawi(that is not the politic figure that we want)
 
sikiliza rafiki watanzania tunataka kutoka kwenye enzi za ujima kuamini uchawi yeye anaturudisha............................. Ishu za panya na uchawi(that is not the politic figure that we want)
wewe unachoongea ni chuki lakini ukweli unabaki palepale zitto ni chadema hata viongozi wake wanajua wanaogopa kufanya uchaguzi.heri hiki chama kimekufa mungu ashukuriwe
 
wewe unachoongea ni chuki lakini ukweli unabaki palepale zitto ni chadema hata viongozi wake wanajua wanaogopa kufanya uchaguzi.heri hiki chama kimekufa mungu ashukuriwe


huyo unayemwamini mwambie aje kwa wananchi kama ana ujasiri
 
wewe unachoongea ni chuki lakini ukweli unabaki palepale zitto ni chadema hata viongozi wake wanajua wanaogopa kufanya uchaguzi.heri hiki chama kimekufa mungu ashukuriwe
khaa!! We vipi?? mjadala wa ZZK ulifungwa siku nyingi na baba jr
 
Jamani bila kutamka au kuitaja chadema siku haiendi cdm juu
 
Kamisheni ya propoganda na Siasa ya CDM imeshindwa kazi kabisa.
Wachaga ni mahiri ktk kutawala lakini wengi hawana Busara na wanakua na maamuzi ya kukurupuka.
Nadhani Viongozi wa CDM wanaagenda yao ya kunufaika na Chama tu kupitia kakundi kadogo.Kwao kupata wabunge 23 ni mafanikio makubwa na badala ya kuongeza wabunge wafikie 123 wao wanafukuzana na kupigana.
Wamesahau ule msemo ''Vita ya kunguru.....!
 
Mmeshasahau kuwa mwanzoni tulisema kuwa Zitto ni Congolese?
 
Chama Ni misingi yake kuisimamia na siyo mtu, ikiwa huna cha kusema nyamaza ckza wenye la kusema
 
Watu wengine bwana JF ya zamani gani unayozungumzia wewe uliejiunga 2012! tatizo ukweli ukikukolea ndio tabu. Huna zamani wewe hapa JF!.
Ndugu yangu kuna watu wameitembelea JF siku nyingi sana ndipo baadaye wakajiunga nayo(mimi mmojawapo) ,usimbeze huenda alikuwapo toka enzi za "jambo" kama guest then akajiunga as member!
 
mleta mada ni m.we.hu anayehitaji maombi???? cdm ni taasisi yenye misingi na taratibu zake ambazo kila mwanachama sharti azifuate! huyo unayemwongelea ni gamba kama ulivyo wewe,wote mnachumia matumbo yenu kwa pesa za majangili na wauza sembe!
 
mbona lema anakukera sana. inaonekana ulimtaka kimapenzi akakataa. kakojoe ulale
 
Yapata miezi mitatu hivi sasa tangu chadema ilipoingia kwenye mgogoro mkubwa sana wa kiuongozi na aliyekuwa naibu katibu mkuu wake zitto kabwe na wenzake. tangu wakati huo yamejitokeza matukio makubwa hapa nchini ikiwemo uchaguzi wa madiwani kata 27 ambapo chadema iliapata kata tatu maarufu (chopa 3 kata 3), uchaguzi kalenga ambapo ccm waliibuka kidedea na hivi sasa kampeni zinaendelea chalinze.

Aidha kumeripotiwa matukio mbalimbali ndani ya chama hicho ya viongozi kujiuzulu, kufukuzwa au kusimamishwa uongozi.

kwa maoni/mtazamo wako;
1. nini impact kwa chadema baada ya kumsimamisha uongozi zitto na kuwafukuza akina kitila na mwigamba? chama kimeimarika ama kimeporomoka?

karibuni ila matusi hayaruhusiwi, hapa ni hoja kwa hoja sio kwa vioja.
 

Hii ndiyo tathmini? Amakweli Tanzania ina wasomi
 
watanzania wana matatizo mengi hawana muda wa kumjadili huyu kidampa tu,vichwa vyetu vinawaza katiba ambayo ni zaidi ya zito na cdm yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…