[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]alishindwa nini kupata madiwani wengi kwenye jimbo lake??????
Upo too low!
Umaarufu wa chadema unazidi kuporomoka Baada ya Kumtungia Tuhuma zisizo za kweli Mh zitto kabwe, lengo kuu lilikuwa ni kuhakikisha Hapati uwenyekiti na anapotea kisiasa kabisa, waasisi wa jambo hili ovu hawakujua kwamba wanaharibu Mzizi mkuu kabisa wa chama ambao kama ukikatika jumla utapelekea chama chote kuangukia pua, Leo Hii kunawatu ambao hawawezi kumuangalia zitto usoni walitarajia kwamba atashindwa kwa kashfa zao za kutunga. Zitto ni Hazina ya uongozi wa taifa hili na sio mburu....kenge, mhuni na jambazi wa magari wa Arusha ambae kwa bahati mbaya alipewa ubunge, kitu ambacho jamii nzima ya arusha ukiondoa wavuta bange na unga wanajutia. Hakuna siku aliongea na jamii ikaelewa kwamba kunajambo la kujenga jamii kaongea, badala yake kila aongeapo ni kuchochea uvunjifu wa amani tu. Bilashaka Siku itakuja tutaona Chadema wakitaka maridhiano na Kamanda wa Ukweli zitto zuberi Kabwe, wataomba msamaha tu na wataomba waende pamoja kwa lengo la kutokudhuru chama zaidi. mbona nyerere kafa na ccm inazidi kupaa?
Zitto ninayemjua mimi tangu enzi zetu za Chuo Kikuu hawezi kuthubutu kuomba msamaha wazee wa tindikali! Unafikiri yeye hajui Chadema walichomfanyia Wangwe? Team Zitto tunajua mnatafuta kuwa karibu yake kwa nia ya kumuua. Tahadhari zote zilishachukuliwa.
kwa mfano ukiambiwa ionyeshe dunia hicho ambacho cdm ilimfanyia wangwe utakuwa tayari ? Tunasubiri jibu lako ili tuwasiliane na viongozi wa jf ili kuwezesha huu mchakato .
muulize mbowe na deus mallya wana majibu
je ungependa na wewe kuunganishwa kwenye jambo hili ?
Mkuu kahtaan
Njoo umeone mwanao wa kufikia huku anavyoweweseka
Lin utampatia rijali wa kumfanyia nikaha huyu apate utulivu??
Banati ana shida huyu
Kama unampenda sana Zitto nenda kampe basi ili kudhihirsha mapenzi yako kwake, angekuwa mzizi wa chadema mkoani kwake wangepatikana wabunge wengi wa chadema, paka we
Hee, wee umezoea hizo bangi za arusha na moshi tu?Kumbe bangi za kigoma zina nguvu kiasi hiki? Ngoja niende kuzionja nami nitamuelewa jamaa huyu maana dah! Kazi kwelikweli.
Kwa kweli za Bitale ni mwisho mwamba! labda Heru Juu! ina afadhari kulikoni ya Heru Chini. Na ile ya Kazula mimba dah! ukichanganya na nyanya chungu zao utajiju.Hee, wee umezoea hizo bangi za arusha na moshi tu?