CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

Chadema & wasio jielewa CO, nenda kafanyane na jambazi wa A town kama kawaida yenu, Hakikisha umekunywa Viroba au Gongo.

Ulianza taratibu lakini kadri muda unavyoenda rangi zako halisi zinajionyesha,kwani usipotukana ZZK hatakulipa posho yako?
 
Majata pole sana, Zitto Kabwe alishafutika katika siasa za CDM mchukueni nyie. CDM ipo bila Zitto, Slaa, Mbowe, Mnyika etc. CDM ni watanzania wazalendo si kwa mafisadi na watoto wao kama ilivyo katika chama chako. Sasa ngoja na mimi nikajiunge CDM nigombee halafu useme. Mimi si mchaga lakini CDM natamani hata kesho niamke nikute imechukua madaraka nchi hii.
 
zito alikubali kurubunika na maccm,na alipaswa awe m/kiti ili aiue kabisa chadema akashtikiwa nakushangaa wewe ulivyo mshamba na ujinga wako ,kama ni maarufu mchukueni kwenye chama chenu mzidi kuimarika boya wewe

mimi na wewe nani mshamba? wewe unaishi kwa kusikiliza nadharia za wase..nge( kielelezo picha zake akif...anywa) kama jambazi la A town ktk wizi wa magari, umeacha kuhoji mambo ya msingi ndani ya chadema kama matumizi ya ruzuku na kuimarisha umoja ndani ya chama unakurupuka kushabikia ufitini usio hata na chembe ya ukweli.
 
Zito ni mwanasiasa makini sana kiukweli kabisa.. waache mboe,slaa mnyika, lema warukeruke watatua tu

Kwa akili na uelewa wako kupenda upambe naamini iko siku ZZK atakupakata.
 
Zito ni mwanasiasa makini sana kiukweli kabisa.. waache mboe,slaa mnyika, lema warukeruke watatua tu

Mchukueni kwenu akaimarishe chama, alichokuwa anakikuadia!!! ATC walizomewa juzi Mwanza!!! Siku nikisikia ATC inaenda mkoani kwangu kwa influence yangu nitaagiza wapigwe mawe. Chezea sisi watoto wa wazee wewe!!! Tukifika kijijini kusalimu tunapita kila nyumba tukisalimia!!! Ha ha ha !!! Tunaheshimika kwa usemi hata wa neno moja. Zitto msaliti, haini kubwa sana hili.
 
majata

kama una Mapenzi nae kwa kiwango cha juu kiasi hiko,kwanini humpi Mkeo au hata wewe Mwenyewe kama bado ????
 
Last edited by a moderator:
mimi na wewe nani mshamba? wewe unaishi kwa kusikiliza nadharia za wase..nge( kielelezo picha zake akif...anywa) kama jambazi la A town ktk wizi wa magari, umeacha kuhoji mambo ya msingi ndani ya chadema kama matumizi ya ruzuku na kuimarisha umoja ndani ya chama unakurupuka kushabikia ufitini usio hata na chembe ya ukweli.

Zile picha mlizotengeneza kwa photoshop? Na yule changudoa mliotumia ili aharibu jina lake? Yule mbutananga anajulikana dunia nzima, ni biashara yake kule Uingereza!!! Hata mseme nini CDM ni kiboko yenu.
 
Majata pole sana, Zitto Kabwe alishafutika katika siasa za CDM mchukueni nyie. CDM ipo bila Zitto, Slaa, Mbowe, Mnyika etc. CDM ni watanzania wazalendo si kwa mafisadi na watoto wao kama ilivyo katika chama chako. Sasa ngoja na mimi nikajiunge CDM nigombee halafu useme. Mimi si mchaga lakini CDM natamani hata kesho niamke nikute imechukua madaraka nchi hii.

kugombe nini!, bro uenyekiti wa serikali ya mtaa au?
 
majata

kama una Mapenzi nae kwa kiwango cha juu kiasi hiko,kwanini humpi Mkeo au hata wewe Mwenyewe kama bado ????

Bravo Bramo, ukizingatia kwa umri wake hajaoa ni kuzaa tu nje na kudunga dunga tu wake za watu na mabinti tu!!! Kwanza sura mbaya kama ile kuna mwanamke atamtaka kweli?? Kwanza kwa umri ule hajaoa!!!! Mhhhhhhhhhh!!! Eti ndiye anataka uenyekiti hatimaye apate nafasi ya kugombea urais wa nchi hii!!! Mfitini huyua ataongoza nani?
 
majata

kama una Mapenzi nae kwa kiwango cha juu kiasi hiko,kwanini humpi Mkeo au hata wewe Mwenyewe kama bado ????

kwani wewe ushampa slaa tayari? kwasababu nasikia harufu ya kiny esi ktk majibu yako
 
kugombe nini!, bro uenyekiti wa serikali ya mtaa au?

Serikali za mtaa mkuuu?? Acha utani kabisa!!! 2010 kule sea view upanga ile team ya vijana wa IT walikuwa wanafanya nini?? Acha tusiteme mengi hapa!! Ila ninaamini unajua sema uchama unakufanya utetee.
 
ngoja tuone umakini wake kama kweli ni makini.

Umakini wa Zitto mkuu au mtu mwingine?? Siku hizi hata media walishamtupa kule kama mzoga tu!!! He is done!!! Kule Bunge la Katiba jana nilikuwa ninamwangalia sana, tena anaangalia kwa wasiwasi hata camera man akipeleka kwake basi anakosa raha kabisa. Alishanyea kambi huyu!!! Alikubali kuwa toilet paper na kazi yake ilishakamilika na kutupwa ndani ya choo cha shimo!!
 
Mchukueni kwenu akaimarishe chama, alichokuwa anakikuadia!!! ATC walizomewa juzi Mwanza!!! Siku nikisikia ATC inaenda mkoani kwangu kwa influence yangu nitaagiza wapigwe mawe. Chezea sisi watoto wa wazee wewe!!! Tukifika kijijini kusalimu tunapita kila nyumba tukisalimia!!! Ha ha ha !!! Tunaheshimika kwa usemi hata wa neno moja. Zitto msaliti, haini kubwa sana hili.

watu wenye akili timamu hawawezi.kumuheshimu taahira kama wewe, we unaheshimika kwa wavuta bangi.wenzio.tu
 
Mwenyewe naamini bila zitto hakuna chadema inakufa kibudu kabisa kabisa.
 
Wewe utakuwa ndio Kenge usietambua nini unakimaanisha, kama Zitto ndio CDM ebu naomba uniambie katika Jimbo analoliongoza kabla ajaingia kulikuwa na Madiwani wangapi wa CDM na alipoingia yeye kwa awamu ya 1 walikuwa wangapi na sasa hivi wamebaki wangapi.
Halafu uje kwa upande wa Lema uniambie Kabla ajaingia CDM ilikuwa na madiwani wangapi Arusha na baada ya kuingia Lema Arusha ina madiwani wangapi.
Ukileta majibu nafikiri utajua akili zako zikoje.
 
mimi na wewe nani mshamba? wewe unaishi kwa kusikiliza nadharia za wase..nge( kielelezo picha zake akif...anywa) kama jambazi la A town ktk wizi wa magari, umeacha kuhoji mambo ya msingi ndani ya chadema kama matumizi ya ruzuku na kuimarisha umoja ndani ya chama unakurupuka kushabikia ufitini usio hata na chembe ya ukweli.

kwan lazma utoe mitus jamaa?watu washakuambia bila zito chama kipo na hakitapotea katu sasa kila ukijbu hoja n mitusi tu
 
Amekueleza pia kuwa ameomba msamaha akakataliwa? Au ni haya tu?

Wa kumuomba msamaha mwezie ni nani? Acheni uzushi nyie BAVICHA, badala ya kukaa chini na kutafakari wapi mlipokosea mpaka SACCOS inayoyoma, nyie mmekalia majungu. fitna, uzushi, uzandiki na kila aina ya ubaya! Muombeni msamaha Zitto haraka iwezekanavyo! mambo hayaendi vizuri kwa upande wenu!
 
Hakuna siku aliongea na jamii ikaelewa kwamba kunajambo la kujenga jamii kaongea, badala yake kila aongeapo ni kuchochea uvunjifu wa amani tu.
Mkuu majata
Umenena maneno ya busara sana!
Mtu yeyote anayeshabikia na kuchochea kuvunjika kwa umoja na mshikamano wetu ni wa kuogopwa kama ukoma.
Amani ndio silaha pekee tunayojivunia watanzania. Asitokee mjinga yeyote wa kuvuruga AMANI yetu.
 
Last edited by a moderator:
Ahhhhhhhhh raha sana Mwanaume kumsifia mwanaume mwenzio. hapo kunashida tena kubwa tuuu
 
Back
Top Bottom