Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Swali rahisi, kama hao waliotajwa mmesema ni wezi, sasa chama makini kinaamini wapora simu za mkononi wapelekwe mahakamani wezi wa mabilioni watajwe tu pale Temeke Mwembe yanga alafu mambo yaishie hapa?...
By the way chama makini lazima kiamini utawala wa sheria na ki-embrace hilo,,, sasa hapa kuna mfano gani mzuri, hivi hawa wakiingia madarakani watapenda haya yatokee?
No, I don't any seriousness!!! Acheni uwana siasa hapa,,, kama data ziko right without doubt wangepeleka mahakamani...
Na mbona watuhumiwa ni wengi wangepeleka angalau mmoja basi,,, maana kila mmoja ameiba kwa wakati wake kulingana na mh. Dr. Slaa
issue ni kwamba hawako sure!!!... kwa mfano katibu mkuu Rutakanzibwa sijui jina lake vizuri alitolea nje hata tarehe tu zilizonakiliwa na Dr. Slaa...
Tuhuma tumesikia na zitaendelea kuwa tuhuma unless zingeenda mahakamani na ku-be-approved, na tuhuma hizi ni za muda mrefu tu!
Kidume Mtikila bwana kesi ngapi ameipiga serikali chini,,, historia itaonyesha daima...
Kwa jamii yetu hata CHADEMA they are still not serious the moment tunawapa nchi ndio tutajua hilo, kwa sasa tushabikie tu!!!!