Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,318
- 19,989
ACT mbona wamechambuaNi kweli miaka ya nyuma tulikuwa tunawaona CHADEMA na vyama vingine vya upinzani pamoja na wasomi maarufu wanakuja kutupa ufanunuzi kwa lugha rahisi juu ya report ya mkaguzi mkuu. Na baadaye wanakuja tena kutufafanulia bajeti mara tu inapotangazwa. Sasa mwaka huu ripoti ya mkaguzi mkuu imeshatoka lakini naona wapo kimya sijui wamepigwa ganzi na nini.