Swadakta,,Azimio Jipya"Askari haendi vitani akimuona adui badala ya kupambana eti anampa mgongo ni vita tu mpaka tone la mwisho.Ingekuwa ni upuuzi kwa namana yeyote ...kuwakubali na kuwa nyeyekea madiwani kwa namna mambo yalivyokuwa...
NIDHAMU NA UWAIBIKAJI ...ni muhimu ...lazima wafukuzwe na wafukuzwe waende mbali kabisa.... MATOKEO YOTE TUTAYAPOKEA!!
Bora kutokee kitakachotokea kuliko kuanza kunyeyekeaana na kukubali vitisho .... vya aina hiyo ndani ya chama.
Hiyo haiatkuwa na HESHIMA WALA NIDHAMU yeyote sasa na siku zijazo. Lazima kukubali uamuzi hata chamamkivunjieke ...lakini kivunjike kwa heshima.
Kuogopa kupoteza mtu au kikundi cha watu ...kwani Chama kitavunjika ...ni Ujinga ...ujinga na udhaifu wa hali ya juu ..ule ambao umifikisha CCM na taifa hapa lililopo..Lina sambaratika kwa kuogopana na kupigiana magoti...!
Ujinga unaofanywa na vijikampeni vya kitoto vya KUVUANA MAGAMBA kwa woga na kutetemekeakea kule CCM ..IWE NI MWIKO ..
...NDIO IWE NI MWIKO CHADEMA ....NA HESHIMA YA CHADEMA IWE HIYO ..CHAMA KIBAKI AU KISIBAKI ..HATUTAKI MAMBO YA KIJINGA KAMA YA KUVUANA GAMBA...kwa udhaifu wa kutia Aibu chama na Taifa la Tanzania.
DO WHAT MUST BE DONE ...DO THE IMPOSSIBLE...TAKE WHATAEVER THE CONSIQUECESES! ..AND GOD BLESS IT..!!!
Hiiki ndicho kinakosekana nchini..hakuna ujasiri, ushujaa wenye upendo wa maamuzi mazito ulioshehini nidhamu na uwajibikaji!!
Hilo haliwezi kukwepa ili kurudisha heshima ya nchi na waasisi wake!

Sitaki kusema jambo ambalo madiwani hao kesho watatangaza juu ya hatima ya Chadema Aarusha! Chadema kazi mnayo arusha kama mlitumia akili ya kombati kwa jambo hili mtajutiaaaaa! Subirini kesho news kutoka A town!
Mimi sina wasiwasi kabisa hata samaki akivuliwa huwa hafi mara moja atarukaruka baadae atanyooka mwenyewe
hata hawa tuwape muda tutawasahau muda si mrefu.

Tuma salam na wewe binti mtamu, Nawe upo Arusha? Bado ngoma ni mbichi mpaka uchaguzi upite.

Ngoma bado mbichi kabisa subiri utasikia mwenyewe.
WanaJF,
Hoja yangu ni kwamba tangu CHADEMA ianze process ya kuchunguza kilichosababisha hawa madiwani kuingia muafaka feki tumeona hatua nyingi zikitumika.
Hatua kama upelelezi hadi jana kufukuzwa.
Lakini nimeona kwamba hatua zote zile wasemaji wamekuwa ni chama au watetezi wa kupinga muafaka.
Binafsi napinga muafaka feki. Lakini, je, inawezekanaje hawa madiwani wasiwe na hoja kabisa waliyoitumia kujitetea toka kika walipopewa nafasi hiyo.
Hivi utetezi wao ulijengwa kwa msingi upi?
Inawezekana nimezembea kufuatilia jambo hili, lakini inaniwia vigumu kuamini kuwa waliofukuzwa hawajui nini maana ya utovu wa nidhamu kwa kuingia muafaka bila ridhaa ya makao makuu. Na wakang'ang'ania utovu huo hadi kufukuzwa!
Nawaomba ili tufunuane akili kwa kujadili kauli zao walizotumia kujitetea kama mahakamani ambako mhalifu hata akitiwa hatiani tuna rekodi ya utetezi wake.
ni wanachama wa chama gani ?wanaongea kama nani? bila chama uwezi kuwa diwani wanatangaza kurudi kwa baba yao chama cha magamba kazi waliyotumwa imewashinda baada yakuwa, shutikia kuwa ni wasaliti na wavurugaji wa chama cha maendeleo poleni sana ndiyo maisha karibuni sana kwenye kilimo vuli ndiyo inaanza njooniMtafaruku wa kisiasa ndani ya CDM halmashauri ya manispaa ya ARUSHA unazidi kuendelea. Madiwani waliofukuzwa na CDM wameandaa kikao jioni ya leo mjini Arusha kwa lengo la kuwapa wananchi hali halisi kuhusiana na sakata zima la CDM hapo A town. Tunaomba kwa mwenyezi mungu, sakata la CDM liishe salama ili chama kizidi kuchanja mbuga na kushiriki vizuri mchuano wa IGUNGA wasije kupata kisingizio watapopata kipigo cha mbwa mwizi jimboni IGUNGA wasije na kisinngizio cha mtafaruku wa A town.

mkuu freedom of flag, tunachojaribu kukiangalia ni kwanini hawakutii mapendekezo ya kamati kuu pamoja kushauriwa na watu mbalimbali mfano mzee mtei..
1. matakwa ya chadema hayatekelezeki 2. wananchi wanataka kuona mabadiliko tangu wapewe madaraka 3. mbunge hakupita kuchukua hoja za kwenda nazo bungeni kutoka kwao pia hana msaada kwao mfano hakupita kwenye kata zao kuchukua wagonjwa na kuwapeleka kwa babu, 4. kutuhumiwa kuchukua rushwa kitu ambacho sio kweli na hili ndiyo wanataka kufungua kesi ili chadema iwasafishe kwenye mikutanoitakayofanywa na chadema...hayo ni baadhi ya madai yao..ila ngongo akija atayaelezea vema zaidi..
wametoa rushwa lazima kuna taarifa kamati kuu imeruhusu 2bilioni zitumike kama rushwa kubakiza jimbo lakini zubiri makamanda waje hapo utaona kivumbi wananchi wakiambiwa ukweli wa maisha yao wanabadilika ndani ya dk moja huyu jamaa anatapapaSiasa ina mambo ya ajabu mimi sishangai ya hapo arusha. Mimi niko hapa igunga alikuja mweka hazina wa ccm hapa akawakusanya vijana zaidi ya mia tatu kwa makadirio ya kundi nami nilikaribia wamezungumza nae waliporudi wanasema huyu ndio mtu, kiongoz bwana asingekuja igunga ingekwenda upinzan . Nikaona wanashusha bendera za cdm na kuweka za kijan. Wandugu kwa wabongo kaz bado mbichi sio ars tu
Saharavoice,
Afadhali tukose viti in the short term ili tujenge uongozi bora in the long term.
Ngoma bado mbichi kabisa subiri utasikia mwenyewe.
Mtafaruku wa kisiasa ndani ya CDM halmashauri ya manispaa ya ARUSHA unazidi kuendelea. Madiwani waliofukuzwa na CDM wameandaa kikao jioni ya leo mjini Arusha kwa lengo la kuwapa wananchi hali halisi kuhusiana na sakata zima la CDM hapo A town. Tunaomba kwa mwenyezi mungu, sakata la CDM liishe salama ili chama kizidi kuchanja mbuga na kushiriki vizuri mchuano wa IGUNGA wasije kupata kisingizio watapopata kipigo cha mbwa mwizi jimboni IGUNGA wasije na kisinngizio cha mtafaruku wa A town.
I think even if CDM loose the vote in Arusha; they are have done the best decision to be incorporated in our history!