Hawa hawakuwa wagombea binafsi, walichaguliwa kupitia Chadema, ni lazima waheshimu taratibu za chama, vinginevyo wamepata walichostahili, big up Mbowe et al.Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.

Mafilili,huna hoja hayo ni maneno ya mfa maji,ukweli na haki vitashinda daima,chadema bado ni imara sana,na tunajua mbinu zote wanazotaka kutumia,ila bado ari ya umma wa Arusha ipo juu sana,na wanafurahia maamuzi ya CC
Sitaki kusema jambo ambalo madiwani hao kesho watatangaza juu ya hatima ya Chadema Aarusha! Chadema kazi mnayo arusha kama mlitumia akili ya kombati kwa jambo hili mtajutiaaaaa! Subirini kesho news kutoka A town!

Ni wewe wasema! Tuliwachagua kwa kudhani ni watu kumbe ni viatu! Subiri uchaguzi ufanyike ndo utaelewa maana yake!
Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.
chama ndio kimekufa bora tugawane mbao

Sitaki kusema jambo ambalo madiwani hao kesho watatangaza juu ya hatima ya Chadema Aarusha! Chadema kazi mnayo arusha kama mlitumia akili ya kombati kwa jambo hili mtajutiaaaaa! Subirini kesho news kutoka A town!
Ngoma bado mbichi kabisa subiri utasikia mwenyewe.

Katika hili, wewe huna jipya. Funga tu domo lako. Tunakumbuka sana wakati wa uchaguzi mwaka jana ulivyomponda Godless Lema. Ingeshangaza kama ungetoa kauli tofauti na hii.
Acha ujuha na kudanganya watu, mtafaruku kama unaendelea ndani ya halmashauri ya manispaa ya Arusha, basi huo mtafaruku hauihusu Chadema. Labda useme hivi sasa wako watu kwenye hiyo halmashauri ambao hawana sifa kwa sababu hawatokani na chama cha siasa kama sheria inavyotaka na hapo mpira uko kwa Tume ya Uchaguzi na si Chadema.Mtafaruku wa kisiasa ndani ya CDM halmashauri ya manispaa ya ARUSHA unazidi kuendelea.
Mbona unazidi kuchanganyikiwa ? Chadema haikumfukuza udiwani mtu yeyote yule, Chadema imewavua uanachama waliokaidi amri halali ya Kamati Kuu. Kama walikuwa madiwani na kwa kuvuliwa uanachama watapoteza udiwani, hayo hayaihusu Chadema - wao walie tu, imekula kwao.Madiwani waliofukuzwa na CDM wameandaa kikao jioni ya leo mjini Arusha kwa lengo la kuwapa wananchi hali halisi kuhusiana na sakata zima la CDM hapo A town.
Acha uwongo, kwanza Mheshimu Mwenyezi Mungu. Pili, sakata la Chadema limeisha kwa wakorofi kutimuliwa na sasa si wanachadema tena. Tatu, toka lini ukaitakia mema Chadema wewe gamba lililokubuhu !Tunaomba kwa mwenyezi mungu, sakata la CDM liishe salama ili chama kizidi kuchanja mbuga na kushiriki vizuri mchuano wa IGUNGA
Unaona ? Hili ndilo tatizo la magamba, ni kama vile ufisadi umewaathiri kisaikolojia. Kwa nini CCM inashindwa kwenda kuwaeleza watu wa Igunga, watu wa Bariadi na watu wa Monduli kwa nini wanataka kuwatosa wanaoitwa mapacha watatu ? Angalau Chadema wanapanga kwenda Arusha kuwaeleza wana Arusha kwa nini hao wakorofi walitumuliwa, huu ndio unaitwa uwajibikaji kwa wapiga kura. Grow up, dude !wasije kupata kisingizio watapopata kipigo cha mbwa mwizi jimboni IGUNGA wasije na kisinngizio cha mtafaruku wa A town.
Sitaki kusema jambo ambalo madiwani hao kesho watatangaza juu ya hatima ya Chadema Aarusha! Chadema kazi mnayo arusha kama mlitumia akili ya kombati kwa jambo hili mtajutiaaaaa! Subirini kesho news kutoka A town!
Acha ujuha na kudanganya watu, mtafaruku kama unaendelea ndani ya halmashauri ya manispaa ya Arusha, basi huo mtafaruku hauihusu Chadema. Labda useme hivi sasa wako watu kwenye hiyo halmashauri ambao hawana sifa kwa sababu hawatokani na chama cha siasa kama sheria inavyotaka na hapo mpira uko kwa Tume ya Uchaguzi na si Chadema.Mbona unazidi kuchanganyikiwa ? Chadema haikumfukuza udiwani mtu yeyote yule, Chadema imewavua uanachama waliokaidi amri halali ya Kamati Kuu. Kama walikuwa madiwani na kwa kuvuliwa uanachama watapoteza udiwani, hayo hayaihusu Chadema - wao walie tu, imekula kwao.[/B]Acha uwongo, kwanza Mheshimu Mwenyezi Mungu. Pili, sakata la Chadema limeisha kwa wakorofi kutimuliwa na sasa si wanachadema tena. Tatu, toka lini ukaitakia mema Chadema wewe gamba lililokubuhu ![/FONT][/SIZE]Unaona ? Hili ndilo tatizo la magamba, ni kama vile ufisadi umewaathiri kisaikolojia. Kwa nini CCM inashindwa kwenda kuwaeleza watu wa Igunga, watu wa Bariadi na watu wa Monduli kwa nini wanataka kuwatosa wanaoitwa mapacha watatu ? Angalau Chadema wanapanga kwenda Arusha kuwaeleza wana Arusha kwa nini hao wakorofi walitumuliwa, huu ndio unaitwa uwajibikaji kwa wapiga kura. Grow up, dude !
hivi hujajiuliza kuwa nguvu ya umma hiyohiyo ilikuwa inataka hao madiwani wavuliwe udiwani kwa kukubali muafaka batili na CCM?
wewe ni Mkweli,Acha ujuha na kudanganya watu, mtafaruku kama unaendelea ndani ya halmashauri ya manispaa ya Arusha, basi huo mtafaruku hauihusu Chadema. Labda useme hivi sasa wako watu kwenye hiyo halmashauri ambao hawana sifa kwa sababu hawatokani na chama cha siasa kama sheria inavyotaka na hapo mpira uko kwa Tume ya Uchaguzi na si Chadema.Mbona unazidi kuchanganyikiwa ? Chadema haikumfukuza udiwani mtu yeyote yule, Chadema imewavua uanachama waliokaidi amri halali ya Kamati Kuu. Kama walikuwa madiwani na kwa kuvuliwa uanachama watapoteza udiwani, hayo hayaihusu Chadema - wao walie tu, imekula kwao.[/B]Acha uwongo, kwanza Mheshimu Mwenyezi Mungu. Pili, sakata la Chadema limeisha kwa wakorofi kutimuliwa na sasa si wanachadema tena. Tatu, toka lini ukaitakia mema Chadema wewe gamba lililokubuhu ![/FONT][/SIZE]Unaona ? Hili ndilo tatizo la magamba, ni kama vile ufisadi umewaathiri kisaikolojia. Kwa nini CCM inashindwa kwenda kuwaeleza watu wa Igunga, watu wa Bariadi na watu wa Monduli kwa nini wanataka kuwatosa wanaoitwa mapacha watatu ? Angalau Chadema wanapanga kwenda Arusha kuwaeleza wana Arusha kwa nini hao wakorofi walitumuliwa, huu ndio unaitwa uwajibikaji kwa wapiga kura. Grow up, dude !