CHADEMA ndivyo mnvowaenzi waasisi wenu?

Status
Not open for further replies.
In my fathers house, there is many places to dwell in, you are warmly welcome but be aware. Pambaf.
 
Mtu unaenda kwenye msiba badala ya kuungana na waombolezaji wewe unajikita kuangalia magari? hii haijakaa vizuri. Na una uhakika gani kama Mzee Makani alikuwa na gari moja? Au unajuaje 'ethics' za Mzee Makani? Si kila mtu anapenda anasa! RIP Mzee Makani.
 
Ila nadhani hampaswi kumshangaa mleta mada maana kwao CCM wanaabudu katika magari ya kifahari na ndio maana Kilaza kama huyu hawezi kuamini kama John Mnyika ana tumia gari aina ya Vitz.

75264_376445069071152_1600467031_n.jpg
 
Ila nadhani hampaswi kumshangaa mleta mada maana kwao CCM wanaabudu katika magari ya kifahari na ndio maana Kilaza kama huyu hawezi kuamini kama John Mnyika ana tumia gari aina ya Vitz.

]
Mmekamatwa pabaya wanafiki wakubwa CDM, msipoweza kuwatunza waasisi wenu mtamtunza mtanzania aliye kijijini?
Msiba wa Bob Makani umewaumbua kisiasa na unafiki wa sera zenu za kisanii.
 
Mtu unaenda kwenye msiba badala ya kuungana na waombolezaji wewe unajikita kuangalia magari? hii haijakaa vizuri. Na una uhakika gani kama Mzee Makani alikuwa na gari moja? Au unajuaje 'ethics' za Mzee Makani? Si kila mtu anapenda anasa! RIP Mzee Makani.

Mkuu hivi kumnunulia Mzee Makani usafiri ni kupenda kwa hiyo Mbowe na Slaa wanaotembelea Mashangingi V8 wanapenda anasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom