mawazo mgando. CDM hawakusanyi kodi. Ngoja tukianza kutawala utayaona makubwa yatafanyika
Mkuu isijibishane na viwavi jeshi wa Mkama, viko kuharibu thread hakuna chama maana wanachoandika....mawazo mgando. CDM hawakusanyi kodi. Ngoja tukianza kutawala utayaona makubwa yatafanyika
sijui yako mangapi lakini kumiliki magari kama haya kila mkoa ni gharama kubwa sana...hapa Arusha huwa naliona inapotokea kuna mikutano mikubwa ya chama....Yako managapi haya magari?...tunahitaji kila mkoa uwe na moja
sina uhakika kama unazungumzia gari hili
View attachment 29797
sina uhakika kama unazungumzia gari hili
View attachment 29797
Ukiendelea na hoja mufilisi namna hii, ipo siku utashindwa kuongoza hata familia yako. Watoe wawape watu wa Madaba ili programe yao ife?hapa cdm ninawashangaa, kushangaa pinda kushindwa kuwawekea umeme majirani zake. Sasa kwanini cdm isiamue genereta hili kusambazia umeme kwa baadhi ya wananchi wa madaba?? Kumbe ubinafsi upo katika kila chama!
kwa taarifa tu, gari hili upande wa pili - chini ya juukwaa limejaa spika (zinaweza kuwa zaidi ya 50 - sina uhakika na watts zake kila moja) ambazo zikipiga mji mzima lazima uitikie.........linatia hamasa, jioni ni jukwaa....
nakumbuka kama vile zipo mbili.........
nilipata fununu moja ilitolewa kama support na mke wa mwenyekiti Mama Lilian Mbowe
hongera chadema mkombozi wa nchi yetu na vizazi vyetu!
wanamagamba wanayo yao hata kuyamantain ni kazi.......
gari zipo tatu na kila mkoa zinakuja na baada ya songea ni iringa then morogoro
hayahaya SONGEA TWENDE PAMOJA NA OPERATION YA VUA MAGAMBA YA CHAMA CHA MAGAMBA (CCM) mitaa ya matarawe,ruhuwiko,lizaboni,making'inda,msamala,mshangano,matogoro,mateka,makambi,mjimwema,madizini,mfaranyaki,stand kuu,mabatini,manzese,mahenge,deluxe one,songea boys,luhira,namanditi,kibulang'oma,london,machinjoni,majengo wazee wa chadema live,piga chini mafisadi hayo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wakuu chadema sasa wamepiga haodi hapa songea tayari kwa mikutano.
Lile gari linalotumika kama jukwaa la mikutano tayari limeshafika hapa mjini kwa maandalizi tayari kwa mikutano hapo ijumaa.Wale wapenzi wa cdm karibuni tuwapokee wageni wetu.tujitokeze kwa wingi.
hizi ndio zile gari chakavu mlizonunua kwa mboeni gari nzuri kumbe inamjenereta mkubwa sana! NIMEIPENDA SANA HII!
hizi ndio zile gari chakavu mlizonunua kwa mboe
hapa cdm ninawashangaa, kushangaa pinda kushindwa kuwawekea umeme majirani zake. Sasa kwanini cdm isiamue genereta hili kusambazia umeme kwa baadhi ya wananchi wa madaba?? Kumbe ubinafsi upo katika kila chama!