Chadema ndani ya military university...!!

Chadema ndani ya military university...!!

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,062
Reaction score
1,065
Hallo wana-jf,
siku ya tar 28-jan{jumapili} makamanda wa CDM watakuwepo MZUMBE university.
Mpaka sasa board za matangazo zinaeleza viongozi wafuatao watakuwepo:-
1.Zitto
2.Lusinde
3.Mdee
4.Mnyika
5.Msanii Sugu.
6.Tundu Lissu.
Wakiongozwa na katibu mwenezi,bwana John Mnyika.
Nitakuwepo kwnye mkutano kama "jf presenter" kuwapa full update.
Ahsante.
 
JF presenter? Una maana gani mkuu?
 
nadhani amejitolea kuwa correspondent wetu huko....we are waiting to read from you!
 
Lusinde ni mbunge wa Mbozi Mashariki kwa ticket ya Chadema.
 
Itakuwa jpili,tar 29 jan.samahani kwa kuchanganya tarehe.
 
Mbunge wa mbozi magharibi ni Devid Silinde nadhan umechanganya maneno kidogo,
Peoples . . . .
 
Mkuu mbona umesema Military University umekosea au ni mimi siwezi kusoma vyema na kuelewa kitu hapa ?
 
usimfananishe mbunge wangu na kilaza yule!Mbunge wa Mbozi mashariki anaitwa David Silinde,siyo lusinde

Ahsante mkubwa kwa kusafisha mazingira.
PEOPLEEEE.... POWER...,.
 
Taarifa yako ya kesho tafadhari naomba isiwe na makosa kama ya leo

mf Tarehe 28.02.2012 badala ya 29.02.2012
Lusinde badala ya Silinde
Military University
 
Waambieni wasisahau kuhutubia changarawe kuna watoto tuliowaacha enzi zetu wanafaa kujiunga na CDM
 
Miti yote ya bendera iwe mitupu tafadhali tunakuja simika serikali halali isiyotambulika kisheria pipooooooooooooos
 
Back
Top Bottom