Wakuu.Habari!!!
Kazi kamili itahitimishwa kesho kwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye Wilaya za Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo Vikosi vitarudi Dar es salam kwa maandalizi ya Kanda nyingine baada ya Bunge la Aprili..
Ccm hoyeeee!
hata Mungu hapendi uonevu unaofanywa na CCM
Hizo picha zinatia hamasa sana jamani.
hapa lazima mtu akimbilie honeymoon paris!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimependa kuona bango limeandikwa kuing'oa CCM ,hii ndio haswa nyimbo inayohitaji kupigiwa mbiu na sio kusema Kikwete kwani ikiondolewa CCM mbio za vijiti itakuwa zimefikia mwisho ,lakini kumuondoa Kikwete watamuweka mwingine ,tunasema CCM sasa basii ,kama watabahatika wanaweza kufika 2015,na hapo wasijaribu kugombania tena kwani ushindi wao hautakubalika tena.
Hapana mkuu CUF wamefuata taratibu zote ,Chadema hata hawajapeleka au hata kama wamepeleka maana sijasikia wakisema wamepeleka maombi,just wamezuka "...kama tukikataliwa basi maandamano yapo palepale..." Hii ni kutaka kujifanya wana jeuri au ndio wanatisha ,jamani serikali haitishwi maana ikitishika itakuwa sio serikali,hivyo jaribuni kuwa na subira na sio kutangaza vita ,hii nchi sio ya Slaa wala wafuassi wake.
Mtaishia kunusa tu na kusikia harufu lakini Hamli ng,oo.
nchi ina wenyewe hii
Kikosi kazi cha CDM kilichokuwa kinatalajiwa kutua Bukoba mjini leo hii majira ya saa 7 kimewasili hapa bukoba mjini majira ya saa kumi hivi. Hivi sasa kinahutubia mkutano wa hadhara katika uwanjawa kaitaba. Mahudhurio ni makubwa sana haijapata kutokea. Maandamano yalikwenda vizuri. Polisi hawakuwabugudhi hata kidogo waandamanaji.
I like your style.
Mwaka huu shughuli pevu uwanja wa siasa. Nawasubiri CDM kwa hamu hapa Dar pale Jangwani.
Je inawezekana kumtoa mtu aliyewekwa madarakani kwa wingi wa kura za wananchi na kuapishwa kisheria. Chadema lazima mtumie japo akili kidogo kujua kuwa hamtaweza kumng'oa JK mpaka miaka mitano yake imalizike. sasa msituletee balaa kwa maneno yenu ya uchochezi na kufarakanisha watu ili damu imwagike.
Sisi tunazidi kuomba amani itawale na wenye nia tofauti na hiyo Mola awaadhibu sana.