MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,942
Kawe Alumni sijamuona acomment halafu nduki.
Kwanza naomba nikueleze kwamba mihuri ni mali ya serikali si mali ya wenyeviti wa vijiji , ndio maana hata mwenyekiti akifa bado mihuri inaendelea kutumika , kuna wakati wenyeviti wa vijiji waliamriwa kukabidhi mihuri kwa watendaji wa vijiji , sijui kama umesahau hili.Very poor and awkward analysis; Ili upime nguvu ya uungwaji mkono lazima ushiriki uchaguzi wala sio kususa. Swala la kususa linapelekea mambo mawili kutokea:
Wote hawa, wataonekana kuwa hawakupiga kura; lakini kwa sababu tofauti. Hivyo ni swala la ajabu ukijisifu kuwa wale wote ambao hawajapiga kura wapo upande wao.
- Kundi lisilokuunga mkono wewe uliyesusa kutokujitokeza kupiga kura maana wana uhakika yule wamtakaye ameshinda.
- Kundi la wanao kuunga mkono kutokujitokeza kupiga kura kwa sababu wamtakaye kasusa.
Tusubiri muendelezo pengine hoja yako ikawa sahihi. Miongoni mwa maagizo ya upinzani, pamoja na kuhimiza watu kutokujitokeza kupiga kura, wamehimizwa pia kutokushirikiana na viongozi watakaokuwa wamepatikana. Tunasubiri tuone kwawingi huohuo wakisusa viongozi, kwamaana hata mwananchi akihitaji barua ya utambulisho asuse kwenda kwa kiongozi; hapo tutaamini kuwa wamesusa.
Binafsi sikujitokeza kupiga kura kwa kuwa hapakuwa tena na ushindani.
vitaasisi vinaweza kufa, upinzani hauwezi kufa.subirini na 2020 msusie mkose na wabunge vitaasisi vyenu vife kifo cha mende
Aibu kwa jiwe na wafuasi wake majiwe.Hii ni baada ya kampeni yao ndogo sana na ya muda mfupi ya kuhamasisha wananchi kususia uchaguzi feki wa serikali za mitaa kuungwa mkono na wananchi kwa zaidi ya 90%, hii ni rekodi.
Kwa mfano, msimamizi mmoja wa kituo cha uchaguzi jijini Dar es salaam ametoa siri kwamba kati ya watu zaidi ya 500 waliojiandikisha, waliopiga kura hawakufika 50, hii ni pamoja na wale wanaojifanya wanaccm, maana ya jambo hili ni kwamba ccm imekataliwa hata na wanaojiita wanachama wake yenyewe, hii ni hatua kubwa sana na ya kujivunia kwa wapinzani, maana sasa ni wazi kwamba wamefanikiwa mipango yao ya kupenya kwenye ngome za ccm na hivyo kujitengenezea mtaji wa baadaye.
Hakika Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
======
Maoni ya wadau
Shetani hana rafiki .
Kwani ubunge ni nini ubunge unaweza kiachwa tukapigania tume hurupamoja na kujitoa mnafuatilia uchaguzi kwa makini hivyo?
Jitoeni ubunge muone msukuma kama anajaribiwa...![]()
Kwani ubunge ni nini ubunge unaweza kiachwa tukapigania tume huru
Na ninasema Mimi ni mwana ccm niliye kulia katika msingi ya utawala bora na kuheshimu wengine siku vurugu zikitokea wasababishaji watakuwa ni ccm wenyewe maana wengine tunaona kama hawafai kuwa katika taifa hili imefika kipindi kuwa mpinzani ni adui wa taifa
Uongozi utapita lakini Tanzania itabaki
Vizazi vyetu vitakuja kujivunia nini
Kama tunaona chama kinapendwa tuache ushindani uwe huru
Tanzania ni yetu sote .
Ha haha! Eti themag, themag! Jiite kabisa mchepuko wake kabisa!am sure hawajakuzidi...
jinga.com
Mkuu hivi Akili yako inaona mbali kweli.. Unapoteza mitaa na vijiji harafu unasema Ni hatua nzuri kisiasa?
Hivi unapoambiwa Siasa Ni mchezo Mchafu huwa unaelewa Nini?
Kwa Hali hii CCM itaendelea kukaa Madarakani mpaka hiki kizazi kitakapotoweka.
ukiruhusiwa unafanya fujo kwanini usikatazweView attachment 1272083
Kwenye hali kama hii unashiriki uchaguzi upi ?
pamoja na kujitoa mnafuatilia uchaguzi kwa makini hivyo?
Jitoeni ubunge muone msukuma kama anajaribiwa...![]()
Achana na huyo mshambaHatuhitaji kujua kabila la mtu hapa...!Unataka kutambika?
Tunataka Rais anayejali maslahi ya NchI na anayefuata sheria na Katiba ya nchi, full Stop!
Kabila lake is very immaterial!!!
Mwisho wenu unakaribia mno !ukiruhusiwa unafanya fujo kwanini usikatazwe
zama zenu zimekwisha hamna lenu tenaMwisho wenu unakaribia mno !
zama zenu zimekwisha hamna lenu tena
kwahiyo unatuambiaje tukuelewe mbona hueleweki?