CHADEMA na wapinzani wameshinda

CHADEMA na wapinzani wameshinda

unamuacha demu kisha anachunguza analala nanani....
Yaani ingewezekana hizi user name ghafla zinafumka na kuweka wazi utambulisho wa kila MTU wazi siku moja, basi kuna ambao wangejinyonga kwa kujulikana kumbe ni wapumbavu wakujitakia
 
Kibaka amekupora halafu unashawishi watu wasimkimbize ili umkomoe halafu akishatokomea kusikojulikana na mali yako unajisifia ulivyowashawishi raia wasimkimbize.
upinzani unachekesha sana. Tukubali tu hata kama inaleta hasira ila ccm imetushika penyewe. Haya what is next? 2020 tuna mpango wa kusema tumeibiwa au tutasusa? Kwa sasa ccm Baba Lao.
Kwa hiyo ndo meanza kuwaonea huruma wapinzani, walipokataliwa kirudisha fomu mlikuwa mnakenua
 
Kumbe hata wanaccm wamekataa chama kimoja !
Hakuna wanaochukia chama kimoja kma makada wa ccm. Maana wanaojua wataumia ni wao.

1. Zile posho walizokuwa wanapata kipind cha uchaguz sasa hazipo tena.

2. Ndani ya ccm sasa kutakuwa na udictator. Yan ngombea atachaguliwa kwa matakwa ya nwenyekiti na sio uwezo wake wa kushinda uchaguzi.

3. Utatokea mpasuko mkubwa ccm. Maana kutakuwa na wamiliki wa cccm na wanaojipendekeza ccm.

4. Hili nalo ni pigo baya kwa madiwani na wabunge waliotoka chdma na kwenda ccm. Huu ni muda wao wa kuwekwa bench.
 
kama kweli ww ni mpinzani na unataka kuitoa ccm madarakani you should care, otherwise ni wale upinzani kelele na mafuriko Ila nyuma ya pazia wanaifanyia kazi chama Baba Lao kwa sasa.
Nyie huwa mnafikiri wapinzani wote ni njaa tu. Kwa hiyo wanastrugle kupata msosi,
Wapinzani wamo mawaziri, makatibu wakuu mapolisi, wafanyabiashara
 
kama kweli ww ni mpinzani na unataka kuitoa ccm madarakani you should care, otherwise ni wale upinzani kelele na mafuriko Ila nyuma ya pazia wanaifanyia kazi chama Baba Lao kwa sasa.
Upinzani ni itikadi ni maono ni fikra, kama ccm wanadai ni wajamaa, nini naamini ubepari ndo mfumo sahihii, inaweza kuchukua miaka mingi lakini IPO Siku itikadi yangu itashinda
 
Hii ni baada ya kampeni yao ndogo sana na ya muda mfupi ya kuhamasisha wananchi kususia uchaguzi feki wa serikali za mitaa kuungwa mkono na wananchi kwa zaidi ya 90%, hii ni rekodi.

Kwa mfano, msimamizi mmoja wa kituo cha uchaguzi jijini Dar es salaam ametoa siri kwamba kati ya watu zaidi ya 500 waliojiandikisha, waliopiga kura hawakufika 50, hii ni pamoja na wale wanaojifanya wanaccm, maana ya jambo hili ni kwamba ccm imekataliwa hata na wanaojiita wanachama wake yenyewe, hii ni hatua kubwa sana na ya kujivunia kwa wapinzani, maana sasa ni wazi kwamba wamefanikiwa mipango yao ya kupenya kwenye ngome za ccm na hivyo kujitengenezea mtaji wa baadaye.

Hakika Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
Very poor and awkward analysis; Ili upime nguvu ya uungwaji mkono lazima ushiriki uchaguzi wala sio kususa. Swala la kususa linapelekea mambo mawili kutokea:
  • Kundi lisilokuunga mkono wewe uliyesusa kutokujitokeza kupiga kura maana wana uhakika yule wamtakaye ameshinda.
  • Kundi la wanao kuunga mkono kutokujitokeza kupiga kura kwa sababu wamtakaye kasusa.
Wote hawa, wataonekana kuwa hawakupiga kura; lakini kwa sababu tofauti. Hivyo ni swala la ajabu ukijisifu kuwa wale wote ambao hawajapiga kura wapo upande wao.

Tusubiri muendelezo pengine hoja yako ikawa sahihi. Miongoni mwa maagizo ya upinzani, pamoja na kuhimiza watu kutokujitokeza kupiga kura, wamehimizwa pia kutokushirikiana na viongozi watakaokuwa wamepatikana. Tunasubiri tuone kwawingi huohuo wakisusa viongozi, kwamaana hata mwananchi akihitaji barua ya utambulisho asuse kwenda kwa kiongozi; hapo tutaamini kuwa wamesusa.

Binafsi sikujitokeza kupiga kura kwa kuwa hapakuwa tena na ushindani.
 
Magufuli ni mwenyekiti dhaifu mno kupata kutokea amepoteza nguvu ya ccm yaani wanakimbia uchaguzi anatengeneza bomb kubwa la 2020
 
Kwa hiyo ndo meanza kuwaonea huruma wapinzani, walipokataliwa kirudisha fomu mlikuwa mnakenua
Waonewe huruma ni vilema? Kama huwezi kushawishi majeshi ya ulinzi na usalama yakutetee, kama huwezi shawishi raia wakutetee, kama huwezi shawishi polisi wakutetee wewe kazi yako ni kulia naibiwa na kususa kwanini uonewe huruma?
 
Nyie huwa mnafikiri wapinzani wote ni njaa tu. Kwa hiyo wanastrugle kupata msosi,
Wapinzani wamo mawaziri, makatibu wakuu mapolisi, wafanyabiashara
Upinzani usio na madhara hauna shida.
 
Upinzani usio na madhara hauna shida.
Upinzani siyo vita ni hoja na ushawishi. Vinginevyo kama upinzani unataka madaraka kwa nguvu njia rahisi kwenda msituni kama museveni au kagame,

Kuna,Siku watu wa inner circle watashawishika kubadi mfumo hapo ndo ushindi wa upinzani
 
am sure hawajakuzidi...
jinga.com
Yaani ingewezekana hizi user name ghafla zinafumka na kuweka wazi utambulisho wa kila MTU wazi siku moja, basi kuna ambao wangejinyonga kwa kujulikana kumbe ni wapumbavu wakujitakia
 
Upinzani ni itikadi ni maono ni fikra, kama ccm wanadai ni wajamaa, nini naamini ubepari ndo mfumo sahihii, inaweza kuchukua miaka mingi lakini IPO Siku itikadi yangu itashinda
Hata mm Siamini katika Ujamaa. Siwezi fanya kazi kwa nguvu halafu nikagawane na mvivu NO. Na si kwamba nakubaliana na ccm kwenye kila jambo NO, ni vile ccm hakina mbadala kwa sasa na Ni kwamba upinzani nao ni wanaccm, na wanapenda kuwa ccm maana ni chama baba Lao kwa sasa hizi nyingine ni porojo.
 
Upinzani siyo vita ni hoja na ushawishi. Vinginevyo kama upinzani unataka madaraka kwa nguvu njia rahisi kwenda msituni kama museveni au kagame,

Kuna,Siku watu wa inner circle watashawishika kubadi mfumo hapo ndo ushindi wa upinzani
Msitu upi? Nani akiwaongoza? Usidanganyike na wanaccm walio nje ya chama kwa Jina la upinzani.
 
Nilitoa uzi hapa wa DHAMIRA YA KUUA UPINZANI NI IPI?lakin mods wakauondoa!kisa eti uchochezi au uoga!!!MI NAULIZA ANAEUA UPINZANI TZ NI CCM AU NI MTU?KAMA NI MTU ?ANA MALENGO GANI ?KWASABABU UPINZANI UMEKUWEPO TANGU 1995!HATA JK ALIONGOZA TZ NA UPINZANI ULIKUWEPO WALA HAUKUHARIBU MAENDELEO!!SASA ANAEUA UPINZANI NI MTU AU CCM?UKISEMA NI CCM NAKATAA KWASABABU CCM IMETAWALA MIAKA YOTE NA UPINZANI ULIKUWEPO!!!!!!HUYU ANAEUA UPINZANI NI NANI?KWANINI?ATATOKA MADARAKANI?TUJIULIZE!!!
 
yaani unafurahia ujinga wa hao chadema yaani. Uchaguzi umefanyika kwa amani na CCM imeshinda kwa kishindo ulichotegemea fujo za chadema safari hii hakuna ndiyo ujue kuwa CCM kuna watu makini wasio nafujo wangeshiriki hao vilaza wa CHADEMA tungeona fujo za kila aina hiyo inaonyesha kuwa hakuna chadema mwenye akili wote ni matope tu na mleta mada pia
Maharagwe uliyokula yalikuwa ni matamu sana,tatizo hayajawiva vizuri
 
Mngekuwa mnafanya mambo yenu kisayansi, hii ilikuwa ni fursa yenu nzuri sana ya kuanzia kampeni zenu, kuanzia sasa na kwenda mbele.

Mngekuwa mmejipanga vizuri kunasa namba sahihi ya:
- waTanzania waliojiandikisha kupiga kura
- waTanzania waliojitokeza kupiga kura
- sababu hasa zilizosababisha kuwepo upungufu, kama namba zenu hizo zitawaonyesha hivyo
- ni maeneo yapi hasa ya nchi yanayohitaji kulengwa kwa karibu na ufuatiliaji wa mara kwa mara
- ni viongozi (watu) gani hasa kwenye jamii mnaotakiwa kuwalenga ili kazi yenu ifane, n.k,. n.k.

Haya yote yangewasaidia kuelekeza nguvu zenu huko huko wananchi wanakoelekea ili kuwasaidia kujipanga vizuri kukabili yajayo.

Kwa bahati mbaya sana Erythro, mipango yenu bado mnaifanya kishaglabagara na kama kubahatisha tu, kama unavyotueleza katika mada yako hii.

Namba za hayo unayosema hapo zipo wapi na wapi?

Kazi ya kufanya siasa ni aina ya sayansi fulani. Inazo taratibu zake, sio kurukia tu mambo.

Kuna wakati, miaka michache iliyopita niliwaona kama mmeanza kuelekea huko, lakini hapa katikati, mmeonyesha kuvurugwa sana, na zile hatua za mwanzo mlizokuwa mmezianza zote zimepotea.

Ajabu ni kwamba, ruzuku yenu iliongezeka, na kila mtu angetegemea muitumie vizuri kuwafundisha vijana wenu wafanye kazi zao kisayansi, - matokeo yanaonyesha kinyume cha hapo!

Hata kuajiri ma-'consultant', nguli wa mambo haya kwa muda tu pia imewawia vigumu? Raslimali zenu mmezitawanya wakati ambapo mlitakiwa mzitumie kwa makini sana wakati huu ambao mabavu yanatumika kuwamaliza.
Haya maguvu mngeweza kuyapiku kwa kutumia sayansi, huku mkitumia akili zaidi.

Ona sasa mnavyoendeshwa!
Sikubaliani na wewe kwamba mipango yetu tunaifanya kishaghalabhagala , labda kama unataka tulete VITA ( hili jambo bado Chadema haijaamua kulifanya ) , hakuna usichokijua kuhusu yanayoendelea nchini Tanzania , Chadema imeamua kushawishi nguvu ya umma kwa njia ya amani na imefanikiwa , itoshe tu kusema mazuri uliyoandika hapa tutachukua mabaya na kejeli tutaacha
 
Back
Top Bottom