CHADEMA na wapinzani wameshinda

CHADEMA na wapinzani wameshinda

Sasa subiri takwimu fake za JAFO!
Ifike tu wakati isemekane kufanya uchaguzi awamu hii ni wizi kwa rasilimali za Taifa. Uchaguzi wa Nini wakati mtawala hayuko tayari kushindwa?
 
Utofauti wa Chadema na Wapinzani ni upi mkuu.
 
Nadhani sasa hata wanaccm wenye akili sasa wameanza kumgundua kuwa anaharibu nchi.
Wale washabiki viazi wao wanaendelea kumfuata kama watu walio lishwa limbwata la kizigua

Amini nawaambie siku zaja ccm na wapinzani wataungana dhidi ya adui siku zaja ngumu kuelewa sasa.Akishaumaliza upinzani ataimaliza ccm aweke mfumo wake binafsi
 
makuwadi wa ccm wenye vijimadaraka ni wachache sana. kiganjani hawajai. tuendelee kuwasusia hivi hivi hata 2020 na kuendelea ili mpaka ifike mahala siku ya kupiga kura wakapigiwe kura na watu wa familia zao tu. aibu ikawashike waaibike mpaka waitubu dhambi ya kusigina Katiba ya nchi.
 
yaani unafurahia ujinga wa hao chadema yaani. Uchaguzi umefanyika kwa amani na CCM imeshinda kwa kishindo ulichotegemea fujo za chadema safari hii hakuna ndiyo ujue kuwa CCM kuna watu makini wasio nafujo wangeshiriki hao vilaza wa CHADEMA tungeona fujo za kila aina hiyo inaonyesha kuwa hakuna chadema mwenye akili wote ni matope tu na mleta mada pia
 
makuwadi wa ccm wenye vijimadaraka ni wachache sana. kiganjani hawajai. tuendelee kuwasusia hivi hivi hata 2020 na kuendelea ili mpaka ifike mahala siku ya kupiga kura wakapigiwe kura na watu wa familia zao tu. aibu ikawashike waaibike mpaka waitubu dhambi ya kusigina Katiba ya nchi.
subirini na 2020 msusie mkose na wabunge vitaasisi vyenu vife kifo cha mende
 
Mkuu hivi Akili yako inaona mbali kweli.. Unapoteza mitaa na vijiji harafu unasema Ni hatua nzuri kisiasa?
Hivi unapoambiwa Siasa Ni mchezo Mchafu huwa unaelewa Nini?

Kwa Hali hii CCM itaendelea kukaa Madarakani mpaka hiki kizazi kitakapotoweka.
maana ni kizazi kisichojitambua wacha labda watakuja wenye akili
 
Kibaka amekupora halafu unashawishi watu wasimkimbize ili umkomoe halafu akishatokomea kusikojulikana na mali yako unajisifia ulivyowashawishi raia wasimkimbize.

upinzani unachekesha sana. Tukubali tu hata kama inaleta hasira ila ccm imetushika penyewe. Haya what is next? 2020 tuna mpango wa kusema tumeibiwa au tutasusa? Kwa sasa ccm Baba Lao.
 
Who cares?
 
Sasa Kama wapinzani wameondelewa au wamejitoa unaenda uwanjani kufanya Nini? Hata JPM hakwenda kwa sababu hiyo hiyo
Utoto raha..muulize baba yako wakati wa mwalimu enzi ya chama kimoja kama watu hawakujitokeza hivi kupiga kura
 
Who cares?
kama kweli ww ni mpinzani na unataka kuitoa ccm madarakani you should care, otherwise ni wale upinzani kelele na mafuriko Ila nyuma ya pazia wanaifanyia kazi chama Baba Lao kwa sasa.
 
Acheni kujidanganya, ndio imetoka hiyo....upinzani bila mitaa mnajua kinachofuata mwakani? Yaani siasa itabakia JF na Twitter ...
Upo vizuri upstair waliojitoa kushiriki uchaguzi kwa amri ya viongozi wa vyama basi vyama hivyo ndiyo vimezikwa rasmi hapa wanangojea tu mtifuano wa mwisho kabla ya uchaguzi mkuu wa mwakani halafu kila mtu afe na ubao wake,kuna wenyeviti kutoka upinzani wanatakiwa kukabidhi ofisi baada ya kutoshiriki kugombea kwa maelekezo ya chama na walikuwa na asilimia kubwa za kushinda sasa leo utamfata umwambie akusaidie ili ushinde udiwani,ubunge au urais!? Atakuelewa!!? 😜😜
 
Back
Top Bottom