KERO SI CHADEMA na MAANDAMANO ndg yangu!
KERO NI WANAFUNZI ZAIDI YA ASILIMIA 80 KUFELI MITIHANI AU KUONGEZEWA ALAMA WASIZOSTAHILI...Hata hivyo magamba mnaziba mafuriko kwa kiganja..Hamtafanikiwa maana wawekezaji walioko Tanzania chini ya Uongozi wa CCM hawajafanya lolote..Ukitaka kujua hilo usiangalie majengo,,Nenda GEITA mahali penye dhahabu,uangalie kijiji kilicho kilometa 3 kutoka mgodi wa GGM uone kama kina hata maji ya kunywa!Acheni ujinga ndugu zangu!Wawekezaji ni wezi tu!

hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. Mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Usiongee bila kufanya research.
Usiongee bila kufanya research.
Wew snitch ndo huna kaz za kufanya,nenda ikulu ukamsaidie jamaa ako kufuta viatu vya rais wa china.,mngekuwa mnajua maana ya uwekezaji msingepigwa mtwara..nipo nayasubiri kwa hamu maandamano na ntakuwa na maji ya kutosha kwenye rasket...Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Mkuu naomba utuambie njia sahihi zinazochukuliwa UK pindi waziri akiboronga? Je unadhani Dr.Kawambwa na naibu wake hawastahili kuachia ngazi? Kama JK hataki kuwatema, nini kifanyike ili ujumbe ufike? Je mwekezaji gani anapenda kuwekeza katika nchi zenye uongozi mmbaya? Huu ndio wakati muafaka kuandamana ili dunia ione kwa mapana na marefu.Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
KERO SI CHADEMA na MAANDAMANO ndg yangu!
KERO NI WANAFUNZI ZAIDI YA ASILIMIA 80 KUFELI MITIHANI AU KUONGEZEWA ALAMA WASIZOSTAHILI...Hata hivyo magamba mnaziba mafuriko kwa kiganja..Hamtafanikiwa maana wawekezaji walioko Tanzania chini ya Uongozi wa CCM hawajafanya lolote..Ukitaka kujua hilo usiangalie majengo,,Nenda GEITA mahali penye dhahabu,uangalie kijiji kilicho kilometa 3 kutoka mgodi wa GGM uone kama kina hata maji ya kunywa!Acheni ujinga ndugu zangu!Wawekezaji ni wezi tu!
Wawekezaji au wanyonyaji? Wale wachina waliojazana kariakoo unawaita wawekezaji? au Barrick wanavyoiba dhahabu yetu utawaita wawekezaji? sikulaumu sana najua unatetea mlo wako hapo Lumumba, nakuonea huruma
Unakurupuka.Sure we need Foreign Direct Investment
Lakini ni lazima tuwe na uwekezaji kulingana na priorities
Investment ili iwe viable ni lazima iwe consistent na public / National interest otherwise hawa makatibu wakuu wa wizara na hata Rais anaweza kuwa worse kuliko Chifu Mangungo wa Msovero
Hatuwezi kuruhusu uwekezaji wa kizuzu ambako watu wanafanya investment bila kuzingatia namna ambayo unemployed mass wanavyonufaika na kupunguza tatizo la ajira na.kuvunja vicious cycle of poverty
Leo mtu analeta capital anakuja na wafanyakazi wake.Tunahitaji kupata teknolojia mpya lakini kama hakuna transfer of technology uwekezaji huo ni kama ule wa wazungu na chifu Mangungo tu
Leo shule za kata zinazalisha. zero za kutisha ni kwa vipi hawa wataweza kunufaika na ajira zitokanazo na FDI kama hawana namna nyingine ya kujengewa capacity ili hata wawe vibarua.Is this what our youngsters deserve?
Ongea kama msomi uliyeishi nchi zilizoendelea siyo kama illiterate!
Mkuu hii ndo sera ya ccm kuleta udini,.chadema sio mali ya wakristu hadi watangaziwe makanisani,hawa ccm ndo wanaotuletea udin..I HATE CCMMaandamano ya chama cha siasa yanahusiana nini na ibada ya kesho ya wakristo. Je, hiyo sio sawa na makanisa kujihusisha moja kwa moja na siasa?
Hao wachungaji na maaskofu wakitangaza kanisani kuhusu maandamano nitawaona ni wapuuzi na naweza kupuuzia kuhudhuria kanisani tena.
Mkuu naomba utuambie njia sahihi zinazochukuliwa UK pindi waziri akiboronga? Je unadhani Dr.Kawambwa na naibu wake hawastahili kuachia ngazi? Kama JK hataki kuwatema, nini kifanyike ili ujumbe ufike? Je mwekezaji gani anapenda kuwekeza katika nchi zenye uongozi mmbaya? Huu ndio wakati muafaka kuandamana ili dunia ione kwa mapana na marefu.
pole sana ndugu huo uwekezaji wanaokuja kuwekeza unaelewa vizuri wanavyoingia mikataba mibovu na viongozi wezi,walafi wasiyo na chembe ya huruma na nchi na wananchi,kwa hiyo hao unaosema wawekezaji wanaiba mali ya hii nchi kwa sababu ya viongozi wetu mambumbumbu kwa iyo ndugu haki inadaiwa haiombwi.hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?