Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,554
Hata mimi ni mmoja kati ya wale ambao tunaojihuliza inakuaje Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa na kadi ya chama cha Siasa lkn baada ya kuanza kutoa ufafanuzi wa kisheria na kuanza kutaja makundi matatu ambayo hayatakiwi kuwa ni mwanachama wa chama cha siasa, nikajua sasa hapa fumbo linafumbuka ila sasa mpaka sasa ubongo umebaki na mzigo wake ule ule.
Hii ndio tz, hakuna.nchi yoyote yenye kuweza kufanya hivyo