CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Vifungu gani hivyo alitaja ? Na hakujibu suali..kaulizwa aliingia lini ccm ? Kama kaingia juzi sawa lakini kama kaingia nyuma zaidi basi sio sawa..period
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Yeye alipaswa kujibu alijiunga lini ccm, hilo ndilo swali, hayo kwann alijiunga na kugombea halikuwa swali
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Naibu spika wa vitu maalum, amepewa zawadi kwa kuzunguka mbuyu katika kutafsili mita 200
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
Tena tumuombee saana tuu, na mimi nimegundua wanajua safari hii hawapiti hata kidogo JPM katafuta kiboko yao bungeni kimya
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Una miaka mingapi bro?....uliwahi kurudia darasa?
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Lissu atamfanya huyo Dada aende bleeding siku si zake
 
Nenda mahakamani
mahakama ni zao hata ukienda mahakamani unasumbua muda wako, hakuna lolote utakalotegemea, labda uniambie niende kwa mahakama ya kimataifa na sio ya arusha, lakini kwa humu humu, katu haki hakuna, niambie kuna sheria gani zinazosema gari za serikali ziendeshwe bila plate number, sasa za kwao tunaziona zinaranda mitaani bila plate number kisa gari za serikali, mfano bila kwenda mbali ukatafuta ni gari zipi, ni zile zilizoletwa kipindi cha uchaguzi, nilikuwa mwanza, tabora, na zanzibar, naziona zile land cruiser pick up zinachapa mbuga bila plate number, sasa utasema sheria inawabana, sheria inatubana sisi sio wao, wanalofanya wao ni sawa, wakifanya ambao wapo mlengo wa kushoto ni kosa, funguka
 
Amezaliwa 1976 lakin ana uzoefu wa miaka 14!!! Huyu mtu ni hatariiii
 
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.

Huyu jamaa Le mutuz huwa hafikirii kabla ya kuandika. Nimependa ufafanuzi wako nadhani atakuwa amekuelewa.
 
Mmmh hivi kuna uhusiano wowote wa kuwa ccm na utahira? Hivi hii ccm ndo chama kikongwe kweli na kuwa mfano wa kuigwa kwa vyama vichanga? Mnahubiri democracy but yourself u didn't practice it. Hivi huyo dr. Tulia c amepitishwa kibabe wala sio kidemokrasia na hili lilianekana tangu mwanzo tu mbona?
Wallah nasema Magufuli hataleta afadhali yyt kwa watz japo watu wanaonekana kumwamini maana ccm ina wenyewe na yy c miongoni mwao.
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

le mutuz hivi huwa unajibu tu kiupambe au unakuwa umeelewa mantiki ya jambo? Sasa nimeelewa zaidi kwa nini uko hivyo pamoja na opportunity ndefu uliyokuwa nayo tangu kukua kwako, ubongo hauchambui kwa kadri ya matarajio, pole. Fuata ushauri wa Petro lakini
 
Hebu tueleze vifungu vya sheria na katiba.
Tumemsikia Dr. Tulia akimjibu Mh. Matiko kwa vifungu.
Hebu tupatie vya kwako tuone kakosea wapi.
Usikariri tu kama kasuku.

Mumesikia! mumesikia na nani? Ktk level hii ya kuweza kufungua mtandao unaweza komaa na mambo ya kusikia bila thibitisho?

Angalia aina ya watumishi wasioruhusiwa kujihusisha na mambo ya kisiasa ni akina nani. Hilo huhitaji kuonyeshwa vifungu na mtu mwingine. Huoni Tulia alipeleka jina lake CCM kama mwanachama, badala ya kupeleka kama independent applicant kwa katibu wa Bunge? Hangaika na akili yako.

Ushauri:
Hapa JF siyo sehemu ya burudani. Hapa ni sehemu ya wale wanoweza jenga hoja na kuongeza uelewa. Jitahidi sana kuitumia JF ili kuongeza ufahamu.
Join Date : 16th August 2015
Posts : 1,568
Rep Power : 627
Likes Received 402
Likes Given 502
 
TuliA alikua nafasi ambayo haitakiwi kujihusisha na siasa sasa vp alijuingiza lini huko? Nwa wakati bado alikuakatika position yake
 
Mkasome kwanza sheria ya utumishi wa umma ya 2003 na kanuni zake pamoja na kanuni za kudumu za utumishi wa umma (standing orders) ya 2009. Ndo mje tujadili huu uzi. Lakini kwa ufupi ni kwamba kuna dirisha huwa wazi kama kuna nafasi ya kisiasa inayogombewa ili kupisha watumishi wa umma kushiriki kama alivyo mtu mwingine yeyote isipokuwa walioko kwa vyombo vya ulinzi kwakuwa utumishi wao unasimamiwa na masharti tofauti. Kimsingi hili ni suala la kiufundi na lapaswa kujadiliwa kiufundi bila kuingiza ushabiki wa kisiasa. Nimalizie kwamba watumishi wa umma wana haki ya kugombea nafasi yeyote kwa kuzingatia masharti ya kisheria.
 
Hii ndio tatizo ya la watoto wa nje, yaonekana Mama yake alikuwa housegirl wa mzee Malecela huwezi linganisha akili za huyu (busterd kid) na watoto wa mzee mwenyewe yaani marehemu Hip na Senyagwa.
 
Baba yako alishindwa ubunge, mama yako alishindwa ubunge, wewe ulishindwa ubunge,kaka yako alishindwa ubunge..
Hii familia ya watu failures ...
Teh,teh,teh,teh...daaa!!!umeua.
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Wee boga kweli, Dr. Tulia amekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu hadi pale Magufuri alipotengua uteuzi wake na tayari alikuwa ameshapitishwa na chama agombee nafasi ya Spika.

Wenye akili tunajua... huo ndio mwanzo wa kumuingiza Magufuri CHAKA ili aanze kukubali mauzauza ya kifilauni ya chama. Tuliposema sisiemu hata ipate MALAIKA atabadirika kuwa SHETANI tuliyajua haya; ni chama chenye laana kilichojaa "opportunists" wenye ulafi usioweza kutoshelezwa.
 
Back
Top Bottom