msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,143
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.
Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.
Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
We dogo sijui una shida gani!! Kukariri ndo unaona ni hitaji letu kwa sasa?! Unamsifu mtu kwa uwezo wa kukariri? Mbona hata wewe unaweza kuikariri Bilblia ukiamua?? Em jaribu kutumia akili wakati mwingine!